NapigaNgumi
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 529
- 209
siuzi dawa mimi. mtu namsaidia kama nilivyosaidiwa.AHAHAHAHAH...DR. MWAKA WEEE....KWAHIYO AJE PM UMUUZIE DAWA AU UMPE USHAURI AMBAO HAPA YUPO KIGWANGWALA AKIKUSIKIA ATAKUFUNGIA...AHAHAHAHAHA.
siuzi dawa mimi. mtu namsaidia kama nilivyosaidiwa.AHAHAHAHAH...DR. MWAKA WEEE....KWAHIYO AJE PM UMUUZIE DAWA AU UMPE USHAURI AMBAO HAPA YUPO KIGWANGWALA AKIKUSIKIA ATAKUFUNGIA...AHAHAHAHAHA.
Inategemea hilo moja unatumia muda gani kama nusu SAA au dk 45 sawa tu. Lkn kama hicho kimoja unatumia sekunde hapo kunatatizo? Fanya sana mazoezi upate pumzi.Nazani wazima memba wenzanguni.
Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Ushauri taphazali!!!
Wewe unapigwa vingap? Ili jamaa yako asichapiwe eksipiriensi.Kumbe wewe mjinga ni hizi stress ambazo huwa zinakusumbua hadi unanitukana kila wakati?
Nilifikiri unavuta bhange,poor you!
BTW hapo hakuna ushauri zaidi ya kujiweka sawa kisaikolojia kwamba UNACHAPIWA!
Wewe ndio umemshauri vizuri sio nifah.Kulidhika kwa malkia sio lazima upige bao 3 au kumi hizo ni fikra mbovu huko unatafuta kuchubuana tu na hakuna starehe yoyote cha msingi ongeza mautundu tu kwa kitanda zijue mbinu za kumfikisha mwenza wako usichokifaham mwanamke unaweza ukamfanya mara moja tu yani kwa lile bao moja tu na akalizika tena sana na unaweza ukamfanya zaidi ya mara tatu usimridhishe sana sana ukamuumiza tu na kumsababishia michubuko.....litumie kiufundi bao la kwanza jua namna ya kumuandaa mwenza wako zijue sehemu zake za mwili ambazo ukimshika anapoteza network na kuhisi yupo peponi hakikisha unazing'an'gania hizo sehemu mpaka mwenza wako akojoe yeye mwenyewe pasipo kuingiza kirungu chako mfanyie hivyo mpaka utakapoona amelegea viungo vyote vya mwili na hajiwezi tena baada ya hapo unaweza ukapanda kwa kifua kuendeleza mechi jitahidi kubadili badili style usiwe mvivu itakusaidia wewe kuwa strong zaidi na kutokumaliza haraka tendo kwa mara ya kwanza
Wewe unapigwa ngapi?" jipe moyo utashinda "
hahaha nilikuwa nataka nijue kuwa unamporomoshea mitus ila hayo majibu yako tu.... ila nifah lakin na ww leo umemuanza huyu leo au ulikuwa na dukudukuNifa ukolofi sitaki kabisaaaaaaaa kama hauna ushauri bora usingecoment,Kama ungekuwa Wa huruma si unipe wew madudu yako ya chupini ni naniiii!
Hhahahahaa lakini si umeona mwenyewe majibu yake mkuu?hahaha nilikuwa nataka nijue kuwa unamporomoshea mitus ila hayo majibu yako tu.... ila nifah lakin na ww leo umemuanza huyu leo au ulikuwa na dukuduku
Sijui kwanini kila nikifungua hii thread narudia kusoma hii comment!!!Mwanangu nakupa tizi la kijeshi na msosi Wa maana.
Amka asubuhi kimbia 60-80 KM.. Ukiweza hata 120- 145 KM.
Piga sit ups, push ups na kuruka kamba.
Kunywa maji Lita 3-6 kwa siku, ila sio kwa Mara moja.
Kula mihogo, mibichi na ya kupikwa.. Epuka mafuta.
Mboga za majani za kutosha.. Usiweke mafuta, labda karanga.
Uyoga Wa porini mtamu
Matunda, achana na juice za azam
Lala mapema, amka mapema.
Acha stress za kisenge
Omba Mungu pia.
Kila la kheri komando.
So Ikiwa Mwanaume Wako Uwezo Wake Ni Hivyo Asemavyo Mleta UZI!! Je Ww Kama Mwanamke Kamili Utaweza Kuvumilia Hayo!!!?? KILA Kitu Kina Nafasi Yake Na Raha Zake Ktk Mapenzi!!!! TUSIDANGANYANE HAPA!!! Na Hoja Ya Mleta UZI, Ni Kuomba Msaada, Kutokana Tatizo Lake La Kuingia Ktk Mapambano, Anaishia Kucheza Dk 15 Tu Za Mpambano Na PUMZI Kukata, MATOKEO Yake Hata Apumzike Vp, PUMZI Hairudi Kabisa!!! SASA Ikiwa Mpambano Ni Dk 90, Hizo Dk 75 Inakuwaje!!!Jamani narudia.Mabao hayahusiani na mapenzi tuache kukariri.Mimi nina karama ya kuwashauri watu katika mahusiano .Na nimewashauri wengi sana sometime huwa najishangaa .Kiasili wanawake tulitakiwa kulala na mwanaume mmoja tuu ili hata tusijue size ya mwingine ikoje na idadi ya mabao sijui kitu gani, utandawazi umetuharibu sana.Mwanamke akiamua kukupenda atakustahi hata kama hauna bao kabisa.Watu kibao wameolewa na wanaume wana mapungufu makubwa kuliko hata habari ya mabao.Cha msingi ni kumuomba Mungu akupe ubavu wako.Wanawake tumeumbwa kuaccept love.Maana yake ni kwamba mwanaume akishakupenda ukimkubali nakwambia hata kama ana mapungufu gani haijalishi utamstahi.Kinyume chake siku hizi hadi sisi tunweka vigezo kabisa jamani ndo maana tunaumizwa.Nasimamia ukweli kwamba mabao hayahusiani na mapenzi kwa sababu mapenzi sio ngono peke yake.
Napigwa dazaniWewe unapigwa ngapi?
wewe ndio unanifaa. maana mimi hivyo ndio vyangu na mara nyingi unakuta wifi yako hamudu mechi. nabaki na hamu zangu. nikukupata walau mara moja kwa wiki itakuwa poa.Napigwa dazani
HakikaAhsante mkuu.Mungu you pamoja nasi.
Badirisha settings za kichwa chako,fanya mazoezi,kula vizuri(epuka junk food)bila kusahau maji ya kunywa then go to sleep!Nazani wazima memba wenzanguni.
Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Ushauri taphazali!!!
Huyo Malkia wako ukipiga hilo moja hujituma kuamsha hisia zako au hujibweteka tuu,kama anabweteka basi utapiga robo baoTatizo bao liongezeke coz naenda 1.How do I do?
Kweli wewe jichawi!Mwanamke anaweza kupiga mbili kwa mpigo na kukusihi ametosheka kabla hata hujavua boxer, yategemea mbinu za mchezo