Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

Naenda bao moja tu, halafu sirudii, nifanyaje?

Nadhani wazima memba wenzanguni.

Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? Na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?

Ushauri tafadhali!!!
Tumia XPowerCaps na zaminocal.Kupata huduma piga 0620321041 au 0673758230
 
Acha kumdanganya mwenzio "women need good sex" ukiona mwanamke anakupenda na hicho kinusu bao ujue kuna ambae anasimamia kucha hapo kwako anakuja kupumzika tu
Mi sielewi,napiga moja tu ila mpk mammy anaomba poo,moja masaa mawili plus na kilio utafkiri mtu anakufa humo ndani ikitoka hapo anakaa wiki mbili anachungulia tu papuchi km imerecover
 
Simba kaenda hadi Nigeria kapata bao moja ww unasemaje mtu wabuza kwa mfuga mbwa
 
Rafiki yangu mpendwa, usijejiona kuwa una matatizo, kwanza kabisa kama huyo malkia wako hakulaumu kwa hali hiyo na analidhika wewe kuwa na amani.. Kuna mambo mawili ya kuzingatia pale unaposikia eti fulan anapiga raundi nyingi.

Moja: kuna kitu watalaam wanaita "ejaculation without orgasm" yaan mtu anatoa mbegu (sperm) lakin hajafika kileleni...hawa kulingana na takwimu ndo walio wengi na pia ndio utakuta wanajisifu kuwa anafika kileleni Mara kibao. Lakin Ku uhalisia ametoa "sperm" tu bila hajafika kileleni.

Mbili: "ejaculation with orgasm" hapa mwanaume hutoa sperm na pia wanakuwa amefikia kileleni. Hawa Mara nyingi hawezi kufanya raundi nyingi kama hao nilizungumzia hapo juu. Na kuna kitu sayansi imakiita "refractory period" ni muda wa kuanzia nusu SAA had I SAA mzima ambapo uume unalala baada ya ejaculation with orgasm.

More important ni kwamba pale unapomfikisha huyo malikia wako naye akalidhika kwa round hiyo moja, bado uko upande sahihi. Pia inawezekana sana malkia wako kufika kileleni Mara nyingi zaid wakati huo mwanamme akiwa amefika Mara moja.

Asante!
me uwa napiga moja la heshima. kwa wife nikisema nitafte la pili ni dk 45 mpaka lisaa nipo kifuani .nikivaa condom inafka hata lisaa na nusu mpaka condom inakauka inachanika. kwa wife tshazoeana nikipiga changu kimoja cha ngurue mpaka sa 11asbuhi
 
Back
Top Bottom