Naelekea Chuo kikuu...!

Mmh kilamtu na kitanzi chake, ngoja niangalie kama nina sap ya Civil Eng. Material maana pepa ilikuwa tyt...
 
yani ndio tunaanza mitihani ya kwetu ya mwisho wa kumaliza kidato cha sita. Kuanzia tarehe 8 febr. Mpaka tarehe 14 febr ndo nitamaliza nitarudi jamvini sintakuwepo rasmi. Waliopo chuoni naombeni mniandalie makazi humo ndani.

You can send your wishes here.
Kazi njema na MUNGU AWABARIKI.

Kila la heri 12yrs ago nilikuwa in the same situation.....Once again best wishes.
 
Ukifika chuo weka bidii kwenye masomo, sio mwaka wa kwanza tu unakuja kuanzisha thread hapa "oooh anataka nimpe boom lote"
 
kila la kheri mwaya, ukasome sawa!
ujitahid kuepusha sup daima, na ku'disco' ni juhudu binafsi izo so watch out.
 
Mtihani ukiwa tyt na ww andika bong fleva.
MAPROSOO.
 
Kijana. Mtihani ni zaidi ya mtihani. Usije jitundika utakapo kwama njiani kabla hujafika Varsity! Ni cation tu ndg yangu!
 
mwana karibu sana hapa HALL 5 UDSM ukikosa saaana basi sio mbaya ukienda kwa watani wetu wa jadi hall 2, teh teh, ila pleaze usisahau kunibeba ukifika bana si unajua first year mnapata room kirahis rahisi,

usikubali kwenda hall 4 matozi kule na hall 6 teh teh, MABIBO HOSTEL haaa huko masharo wengi wako pande hizo hakunaga jipya huko teh teh!!
 
yani ndio tunaanza mitihani ya kwetu ya mwisho wa kumaliza kidato cha sita. Kuanzia tarehe 8 febr. Mpaka tarehe 14 febr ndo nitamaliza nitarudi jamvini sintakuwepo rasmi. Waliopo chuoni naombeni mniandalie makazi humo ndani.

You can send your wishes here.
Kazi njema na MUNGU AWABARIKI.
Mbwembwe kama hizi nilishazisikiaga sana...usijechanganyikiwa baada ya matokeo
 
Assuming mtoa maada is 19 (which is the usual age for form 6 candidates) then 19 years ago you were roughly the same age as his/her age today. This in turn makes you 38, niamkie haraka hata kama am just 42 maana mimi NI MKUBWA WAKO sana tu

miaka ya nyuma mtu form six alikuwa 23 to 25.
 
Kama ni sayansi alafu kama wewe sio kilaza nakushauri utinge DIT ukachore nyoka(Hesabu za Calculus-tripple integral) na kugonga ma-code (programming-All languages) ukitoka utakuwa mtamu ukiingia kazini watakuita Jembe(kichwa)
 
Hongera sana kwa kukaribia kumaliza, na kila la heri katika mipango yako ya kwenda chuoni...
 
Angalizo!ukija udsm thn ukapangwa hostel za mabibo,jiandae kupiga shato pori a.k.a SP.
 
Back
Top Bottom