Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 6,830
- 8,687
Dunia ni duara. Sasa wanavyo sema mungu alie juu mbingunii juu wap.? Alie kwabia dunia ipo chini ni nani. Ingekuwa juu kama unavyo sema ww ni mahani. Kwa sasa ayansi ilipo fikia galaxy tuliopo ye nyenyw sayani na nyota zaidi ya mabilion update scope inazzoom mbali mpaka galaxy sio dunia. GALAXY YETU inakuwa kama punje ya mchangaa sasa sijui vidude sijui vimtu vinavyo ishi kwenye iyo galaxy punje ya mchanga tena kwenye sayari saiz kama dunia tena. Sasa ukisema juu mmmh ngumu kumeza.Unataka kusema mbingu ni kama joto au baridi au kama au njaa ?
Umejuaje hilo kama mbingu ni hali ? Maana hali zinajulikana na hali ili iwe hali ina hitaji "nafasi" na "muda",kadhalika mbingu ina sifa hizi mbili,kama nakosea nisahihishe nipate kujua.
Nasubiri ufafanuzi wa kielimu juu ya hili.
Kumbuka ulimwengu unatanuka kwa speed ya mwangaa sasa juuh uko wapi. Kumbuka kwa mungu inaenda roho tu kulingana na bible mwili hauitajikiiyo inasibitisha mbingu sio mahali. Pia napokea michango mingine