Nadharia: Maji tunayokunywa ni mikojo ya Dinosauri

Nadharia: Maji tunayokunywa ni mikojo ya Dinosauri

george aloyce

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
1,302
Reaction score
2,035
Ndio kwa mujibu ya Wanasayansi wamesema kuwa haya maji yote tunayoyatumia kunywa, kuoga, kupikia na matumizi mingine ni mikojo ya wanyama wa kale wanaoitwa Dinosauri

Wanadai kuwa kabla ya binaadamu kuwepo ....dinosauri walikuwepo duniani kwa zaidi ya miaka milion 200 na waliishi katika mabara yote ...yaani walikuwepo dunia nzima...na zama walizoishi ziliitwa zama za Mesozoic na walipotea duniani miaka 66 iliyopita kwa maana hadi katika miaka ya 1950 dinosauri bado walikuwepo duniani na kulikuwepo na ziaid ya aina 900 za dinosauri duniani

Wataalamu hao wamesema kuwa maji yaliyokuwepo yalinywewa na wanyama hao kwa miaka hiyo yote na ilirudi kama mikojo

Kama sasa hivi unapokunywa maji na kwenda kukojoa...basi ndivyo ilivyo kwa dinosauri ambao walikunywa maji yaliyokuwepo duniani kisha wakayarejesha kama mikojo

Wataalamu hao wanasema kuwa hadi sasa hivi binaadamu ameishi duniani kwa miaka 200,000 tu wakati dinosauri wameishi duniani kwa zaidi ta miaka milion 200 duniani

Kutokana na huvyo yale maji yaliokuwepo yote yalinywewa na dinosauri na kurudi duniani kama mikojo

Wataalamu wanasema kuwa kwa idadi binaadamu ni wengi kuliko idadi ya dinosauri wote waliowahi kuishi duniani lakini miaka waliyoishi dinosauri hapa duniani ni mingi sana kushinda binaadamu hiyo ndio iliyopelekea dinosauri kutumia kiasi kikubwa cha maji kuliko binadamu

Hivyo unapokunywa glasi 3 za maji ni sawa na umekunywa glasi 3 za mikojo ya dinosauri...haijalishi ni maji ya bomba, maji ya mlimani au maji ta kwenye chupa

Credit BWANA FACT


1711992344021.jpg
 
Haina shida, Nikinywa mikojo Alafu nikakojoa mikojo, mbona fresh tu 🤒🤒
 
Mleta mada Only survived Dinosaur ni Ndege au (Avian)

Sio dinosaur wote walipotea
 
JE UNAJUA KUWA HAYA MAJI TUNAYOKUNYWA NI MIKOJO?

Ndio kwa mujibu ya Wanasayansi wamesema kuwa haya maji yote tunayoyatumia kunywa, kuoga, kupikia na matumizi mingine ni mikojo ya wanyama wa kale wanaoitwa Dinosauri...
Elimu elimu elimu, RIP Lowasa
 
Nasema tena mkifuga bata sio vizuri kuwaacha hovyo mtaani wana haribu mazingira.

Mwenye bata wake fanya hima umrudishe bandani.
 
Back
Top Bottom