Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

View attachment 1125684
Salute..
kuna msemo sijui tulifundishwa au tulisoma wenyewe kwenye vitabu vyetu vya dini (Bibble & Qu'ran) msemo huo unasema kua Miaka elfu moja duniani ni sawa na siku moja mbingu, kiukweli kwa uelewa wangu mdogo wa maswala ya Theologia na Physics nasema huu msemo ni uongo ina wezekana waliotufundisha au tulipousoma kwenye vitabu tuliutafsiri tofauti.
Kwanza kama ulisoma uziwangu wa Time Travel kiasi wadau waliweza kuelezea kadri wajuavyo effect ya Time kwenye Maisha/Uhai wa mwanadamu, nilivutiwa zaidi na mchngowa mkuu BASANORARE kwenye comment hii Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo? sikutaka nimjibu pale nikaona nianzishie mada hii kitu labda kila mtu atoa mawazo yake juu huu msemo/Andiko.
.......
Ref kutoka Qu'ran: Surat Hajj 47, allah anasema kuwa siku moja ya Allah ni sawa na miaka elfu moja "1,000".
Ref from Bible: Zaburi 90:4 Kwako miaka elfu moja ni kama siku moja tu, ni kama jana ambayo imekwisha kupita, kwako ni kama mkesha mmoja wa usiku
2Petro 3:8 Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja
Haya ndio maandiko ambayo yamefanya kuenea kwa msemo ambao mimi kwa muono wangu naona si kweli kwa jinsi watu wanavyo
yatafsiri, mimii naelewa hivi kuhusu haya maandiko and I hope theseare aint Blasphemy kwani the Almighty hapendi wasiotaka kuhoji...Let's go!

Kwanza kabisa Kiasili Mungu ana sifa kuu ambazo ni Omniscience (Ajuaye yote), Omnipotence (Mwenye uweza na nguvu zote) na Omnipresence (aliyoko kila mahalii).
tunaposema kua kwa Mungu/Mbinguni siku moja sawa na miaka 1000 ya duniani msemo huu unauvunja vipande vipande ile sifa ya Mungu ya kua Ana uwezo wa kila kitu na Hana mwanzo wala mwisho.... Kivipi???????????
duniani sababu kuu ambayo inatufanya twafariki ni kwasababu i)Dhambi ya asili (ii)ili kuweza kubalnce nature na kuruhusu existence ya viumbe vingine duniani (iii)time. Yes tunakufa kwakua kuna muda duniani ambao unatuhesabia siku zetu tunazoishi hapa dunia ..Time is the biggest threat to mankind ndio maana nilisema kwenye mada yangu ya time Travelling kua tukiweza kudhibiti muda basi tunaweza kudhibiti KIFO. Kwa mantiki hiyo nachelea kusema kwamba kama kwa Mungu kuna Muda basi Mungu ana mwanzoo, Mbinguni kuna vifo there is no eternal life at all, Yawezekana basi hakuna Mungu mmoja maana watakua wanapita/wanafariki (God Forgive I feel like I'm going too far).
Kwa mujibu Fundamental physical quantity, the SI-Unit of Time is Second and other si-unit are year,day,month,decade,millisecond,century etc...Hivyo basi kama mbinguni Muda basi Mungu atakua ana muda maalumu aliotokea(ana mwanzo) maana ili muda uweze kuhesabiwa lazima kuwe na jua linalo zunguka, haingii akilini kwamba kila ikifika miaka elfu ya duniani basi Mungu hua analala kwakua jua limezama usiku umeingia haiwezekani.

Ninavyofahamu Mimi kwa Mungu hakuna muda (Timeless) hakuna future wala past kila muda kwake ni present, Mungu hawzi eti kesho nitafanya hivi na hivi big Nope ndio maana malaika hawazeeki wala hawafi maana hakuna Muda waliowekewa unaohesabu miaka yaoo labda technically aliyewaumba anajua umri wao. Sie wandamu tumewekewa muda ili tuweze kupanga malengo yetu, ili tuweze kuishi umri fulani tulipangiwa na Muunmba,,ili siku moja tufe that's all..
Kwa hiyo basi kwa kusema hivo yawezekana msemo huu inawezekana kutokna na ambiguity ya kiswahili chetu wakati unatafsriwa kutaka version ya lugha zingine sie tuliuelewa vibaya. au kwa vyovyote vile ulipokelewa kimakosa kama vitabu vinne vya wakorintho ilivyokua..

Mwisho kabisa niseme kua huu ni muono wangu na sio pie kwamba kila mtu alzima aelewe hivyo..Lakini naamini kwa Mungu ni Timeless
Anybody Concur with me......???????????
~Da'Vinci
Miaka elfu duniani ni kama
Yaani ni kama
Haimaanishi kuna saa na tarehe na miaka huko mbinguni hapana
Hata hiyo siku Moja ambayo inasemwa kuwa ni kama miaka elfu pia haipo
Ni hali tu ya kutaka kumuoshesha mwanadamu kuwa maisha ya vizazi na vizazi duniani ni kitu kidogo sana kiasi cha kuweza kufananisha na kama siku moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mantiki iyo ina maana wiki moja kwa Mungu ni miaka 7000??

Bas kwa namna iyo naona Yesu atachelewa sana kurudi. Huu ni mwaka 2019 baada ya Yesu kuzaliwa. Ina maana ni siku ya pili tu kwa Mungu? Au iyo nadharia ni kwa mtazamo wa kisaikolojia zaidi.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana hujaelewa nilichokiandika,soma tena na kama hujaelewa jambo bora uulize.

Uislamu hautaki kufanana na Ukristo na wala hautafanana na Ukristo,sababu huwezi kunipa ushahidi wa kuonyesha ya kuwa UKRISTO ni dini ya kweli.

Vipi umkute mkristo atake kufanana na sisi wakati Ukristo si dini ya kweli mzee ? Hao unaodhani wanalazimisha Uislamu ufanane na Ukristo,hawaujui Uislamu.

Mwenzako nimema maelezo ya kuonyesha tamko "Msahafu" si tamko maalumu,linaenea katika kila chenye mkusanyiko wa kurasa.

Ungeelewa nilicho kiandika usingesema hayo uliyoyaandika,umakini unatakiwa sana.
Wewe ni muislam wa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Frickstean hapo dunia ni kitu kidogo sana ukilinganisha na mbingu pia Mungu aliimb dunia kwa miaka elfu 6 akapumzika miaka buku moja upo hapo mkuu hivyo hata we ukienda kuishi Pluto kwa miaka 5 ya pluto ukirudi dunia utakuta mwaka 7000,000
 
Nikiiquot kauli yako "Kwa mantiki hiyo nachelea kusema kwamba kama kwa Mungu kuna Muda basi Mungu ana mwanzoo, Mbinguni kuna vifo there is no eternal life at all, Yawezekana basi hakuna Mungu mmoja maana watakua wanapita/wanafariki" kumbuka mungu Ni roho so roho haifi the same kwa mtu akifa inabaki roho
 
Ngoja na mimi nijaribu kuwaza kwa sauti na kuchangia;

Nadhani hiyo phrase na context zilipotumika zinazidi kuelezea na kuthibitisha "umilele" wa Mungu
Kwanza kwenye zaburi, mtunga zaburi anaomba na ku-acknowledge that things we see taking a long time to us as humans can be done in a very short time by God. Angalia anazungumzia perishing in the para. Hii ya kusema miaka elfu ni sawa na siku moja mimi nadhani mwandishi amewaza 1000 years (millenium) kuwa kipindi kikubwa cha kulinganisha na siku moja. So unaweza kujua kwa mfano kwenye zaburi hiyo hiyo anapoendelea kuzungumzia 70 to 80 years ya uhai wa binadamu ingekuwa ni miaka mingapi. Meaning to God what we think as long time is a very short moment and what we think can be done in long term (1000 years in this case) can be done in almost instant moment by God

Kwenye kitabu cha Peter, mwandishi anajaribu kuwakumbusha na kutukumbusha sisi sote kutoishi kwenye dhambi kwa vile eti Bwana aliahidi angerudi then watu wanaona amekawia so waka-assume hatarudi.
He is bringing in this concept of time to remimd them kwamba wasiweke ukomo kwa lini Bwana atarudi au wasiache kuenenda kwenye njia sahihi just because time has passed and the Lord has not come back.

Hizi phrase actually zinatuambia tusiweke ukomo kwenye existence na acting ya Mungu kwa sababu God is eternal and we should not think kwamba the action is time barred. To us ni miaka 1000 lakini kwa Mungu ni kama one day (kwamba we think wa have waited for so long, but hii inatuambia tuwe wavumilivu kwani what we think as 1000 years (too long), Mungu anaitazama kama siku moja ( very short period)
Umenena vyema!
 
Mimi katika andiko langu nimekwambia jinsi gani haiwezekani lakini wewe kwa urahisi tu unaniambia inawezekana...huko pluto na mars tunasema tunapishana miaka kwakua kuna miezi na jua
umebanwa katika hoja ndogo tu umepotezwa kabisa. Kasome halafu uje tena, ni vema kujibidiisha kuitafuta kweli kuiko kutaka nadharia zako feki ziwe ukweli. Makala ndefu lakini hoja ni nepesi ambayo ungeweza kuuliza ueleweshwe tu. Kabla sijakutoa tongotongo jibu kwa uwazi hilo swali la mkuu Two dimension array, Hivi leo hii ukisafiri kwenda kwenye sayari ya JUPITER kwa kasi ya mwanga na ukaishi huuko miaka 10 ya JUPITER ukirejea duniani utawakuta ndugu zako uuliowaacha wana umri gani?

Tuanze na hilo la kisayansi tu kwa wewe unayejaribu kuchanganya sayansi na spirituality.
 
Wewe unahisi itakua miaka mingap mkuu
 
View attachment 1125684
Salute..
kuna msemo sijui tulifundishwa au tulisoma wenyewe kwenye vitabu vyetu vya dini (Bibble & Qu'ran) msemo huo unasema kua Miaka elfu moja duniani ni sawa na siku moja mbingu, kiukweli kwa uelewa wangu mdogo wa maswala ya Theologia na Physics nasema huu msemo ni uongo ina wezekana waliotufundisha au tulipousoma kwenye vitabu tuliutafsiri tofauti.
Kwanza kama ulisoma uziwangu wa Time Travel kiasi wadau waliweza kuelezea kadri wajuavyo effect ya Time kwenye Maisha/Uhai wa mwanadamu, nilivutiwa zaidi na mchngowa mkuu BASANORARE kwenye comment hii Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo? sikutaka nimjibu pale nikaona nianzishie mada hii kitu labda kila mtu atoa mawazo yake juu huu msemo/Andiko.
.......
Ref kutoka Qu'ran: Surat Hajj 47, allah anasema kuwa siku moja ya Allah ni sawa na miaka elfu moja "1,000".
Ref from Bible: Zaburi 90:4 Kwako miaka elfu moja ni kama siku moja tu, ni kama jana ambayo imekwisha kupita, kwako ni kama mkesha mmoja wa usiku
2Petro 3:8 Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja
Haya ndio maandiko ambayo yamefanya kuenea kwa msemo ambao mimi kwa muono wangu naona si kweli kwa jinsi watu wanavyo
yatafsiri, mimii naelewa hivi kuhusu haya maandiko and I hope theseare aint Blasphemy kwani the Almighty hapendi wasiotaka kuhoji...Let's go!

Kwanza kabisa Kiasili Mungu ana sifa kuu ambazo ni Omniscience (Ajuaye yote), Omnipotence (Mwenye uweza na nguvu zote) na Omnipresence (aliyoko kila mahalii).
tunaposema kua kwa Mungu/Mbinguni siku moja sawa na miaka 1000 ya duniani msemo huu unauvunja vipande vipande ile sifa ya Mungu ya kua Ana uwezo wa kila kitu na Hana mwanzo wala mwisho.... Kivipi???????????
duniani sababu kuu ambayo inatufanya twafariki ni kwasababu i)Dhambi ya asili (ii)ili kuweza kubalnce nature na kuruhusu existence ya viumbe vingine duniani (iii)time. Yes tunakufa kwakua kuna muda duniani ambao unatuhesabia siku zetu tunazoishi hapa dunia ..Time is the biggest threat to mankind ndio maana nilisema kwenye mada yangu ya time Travelling kua tukiweza kudhibiti muda basi tunaweza kudhibiti KIFO. Kwa mantiki hiyo nachelea kusema kwamba kama kwa Mungu kuna Muda basi Mungu ana mwanzoo, Mbinguni kuna vifo there is no eternal life at all, Yawezekana basi hakuna Mungu mmoja maana watakua wanapita/wanafariki (God Forgive I feel like I'm going too far).
Kwa mujibu Fundamental physical quantity, the SI-Unit of Time is Second and other si-unit are year,day,month,decade,millisecond,century etc...Hivyo basi kama mbinguni Muda basi Mungu atakua ana muda maalumu aliotokea(ana mwanzo) maana ili muda uweze kuhesabiwa lazima kuwe na jua linalo zunguka, haingii akilini kwamba kila ikifika miaka elfu ya duniani basi Mungu hua analala kwakua jua limezama usiku umeingia haiwezekani.

Ninavyofahamu Mimi kwa Mungu hakuna muda (Timeless) hakuna future wala past kila muda kwake ni present, Mungu hawzi eti kesho nitafanya hivi na hivi big Nope ndio maana malaika hawazeeki wala hawafi maana hakuna Muda waliowekewa unaohesabu miaka yaoo labda technically aliyewaumba anajua umri wao. Sie wandamu tumewekewa muda ili tuweze kupanga malengo yetu, ili tuweze kuishi umri fulani tulipangiwa na Muunmba,,ili siku moja tufe that's all..
Kwa hiyo basi kwa kusema hivo yawezekana msemo huu inawezekana kutokna na ambiguity ya kiswahili chetu wakati unatafsriwa kutaka version ya lugha zingine sie tuliuelewa vibaya. au kwa vyovyote vile ulipokelewa kimakosa kama vitabu vinne vya wakorintho ilivyokua..

Mwisho kabisa niseme kua huu ni muono wangu na sio pie kwamba kila mtu alzima aelewe hivyo..Lakini naamini kwa Mungu ni Timeless
Anybody Concur with me......???????????
~Da'Vinci
Ahsante kwa ufafanuzi huu ndugu yangu, lakini unakumbuka Mungu alipokuwa anaumba dunia alizihesabu siku, yaani kutoka siku ya kwanza alipotenganisha Nuru na Giza pale mwanzo 1:1 ile ilikuwa siku ya kwanza na kama hakuna muda kwa Mungu je alikuwa anauhesabu vipi ule muda wa siku saba katika uumbaji wake, halafu tena kaa ukumbuke kama hakuna Muda mkuu inamaana hakuna zama na hakuna uhai wowote ule, unakumbuka kipindi ambacho mwanadamu alionyesha kuwa na kiburi na daima anawaza mambo maovu.

Mungu alimpunguzia umri wake wa kuishi kina ADAM methuselah, HENOKO, NUHU waliishi zaidi ya miaka 600 yawezekana Mungu wakati huu aliuweka sawa sawa au karibia na ule wa mbinguni ili tu mwanadam awe na wakati mzuri wa kumtumikia Mungu lakini Mungu alitufupishia maisha yetu baada ya Gharika la NUHU, hapo mkuu napingana nawe kwamba mbinguni kuna wakati tena upo
 
View attachment 1125684
Salute..
kuna msemo sijui tulifundishwa au tulisoma wenyewe kwenye vitabu vyetu vya dini (Bibble & Qu'ran) msemo huo unasema kua Miaka elfu moja duniani ni sawa na siku moja mbingu, kiukweli kwa uelewa wangu mdogo wa maswala ya Theologia na Physics nasema huu msemo ni uongo ina wezekana waliotufundisha au tulipousoma kwenye vitabu tuliutafsiri tofauti.
Kwanza kama ulisoma uziwangu wa Time Travel kiasi wadau waliweza kuelezea kadri wajuavyo effect ya Time kwenye Maisha/Uhai wa mwanadamu, nilivutiwa zaidi na mchngowa mkuu BASANORARE kwenye comment hii Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo? sikutaka nimjibu pale nikaona nianzishie mada hii kitu labda kila mtu atoa mawazo yake juu huu msemo/Andiko.
.......
Ref kutoka Qu'ran: Surat Hajj 47, allah anasema kuwa siku moja ya Allah ni sawa na miaka elfu moja "1,000".
Ref from Bible: Zaburi 90:4 Kwako miaka elfu moja ni kama siku moja tu, ni kama jana ambayo imekwisha kupita, kwako ni kama mkesha mmoja wa usiku
2Petro 3:8 Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja
Haya ndio maandiko ambayo yamefanya kuenea kwa msemo ambao mimi kwa muono wangu naona si kweli kwa jinsi watu wanavyo
yatafsiri, mimii naelewa hivi kuhusu haya maandiko and I hope theseare aint Blasphemy kwani the Almighty hapendi wasiotaka kuhoji...Let's go!

Kwanza kabisa Kiasili Mungu ana sifa kuu ambazo ni Omniscience (Ajuaye yote), Omnipotence (Mwenye uweza na nguvu zote) na Omnipresence (aliyoko kila mahalii).
tunaposema kua kwa Mungu/Mbinguni siku moja sawa na miaka 1000 ya duniani msemo huu unauvunja vipande vipande ile sifa ya Mungu ya kua Ana uwezo wa kila kitu na Hana mwanzo wala mwisho.... Kivipi???????????
duniani sababu kuu ambayo inatufanya twafariki ni kwasababu i)Dhambi ya asili (ii)ili kuweza kubalnce nature na kuruhusu existence ya viumbe vingine duniani (iii)time. Yes tunakufa kwakua kuna muda duniani ambao unatuhesabia siku zetu tunazoishi hapa dunia ..Time is the biggest threat to mankind ndio maana nilisema kwenye mada yangu ya time Travelling kua tukiweza kudhibiti muda basi tunaweza kudhibiti KIFO. Kwa mantiki hiyo nachelea kusema kwamba kama kwa Mungu kuna Muda basi Mungu ana mwanzoo, Mbinguni kuna vifo there is no eternal life at all, Yawezekana basi hakuna Mungu mmoja maana watakua wanapita/wanafariki (God Forgive I feel like I'm going too far).
Kwa mujibu Fundamental physical quantity, the SI-Unit of Time is Second and other si-unit are year,day,month,decade,millisecond,century etc...Hivyo basi kama mbinguni Muda basi Mungu atakua ana muda maalumu aliotokea(ana mwanzo) maana ili muda uweze kuhesabiwa lazima kuwe na jua linalo zunguka, haingii akilini kwamba kila ikifika miaka elfu ya duniani basi Mungu hua analala kwakua jua limezama usiku umeingia haiwezekani.

Ninavyofahamu Mimi kwa Mungu hakuna muda (Timeless) hakuna future wala past kila muda kwake ni present, Mungu hawzi eti kesho nitafanya hivi na hivi big Nope ndio maana malaika hawazeeki wala hawafi maana hakuna Muda waliowekewa unaohesabu miaka yaoo labda technically aliyewaumba anajua umri wao. Sie wandamu tumewekewa muda ili tuweze kupanga malengo yetu, ili tuweze kuishi umri fulani tulipangiwa na Muunmba,,ili siku moja tufe that's all..
Kwa hiyo basi kwa kusema hivo yawezekana msemo huu inawezekana kutokna na ambiguity ya kiswahili chetu wakati unatafsriwa kutaka version ya lugha zingine sie tuliuelewa vibaya. au kwa vyovyote vile ulipokelewa kimakosa kama vitabu vinne vya wakorintho ilivyokua..

Mwisho kabisa niseme kua huu ni muono wangu na sio pie kwamba kila mtu alzima aelewe hivyo..Lakini naamini kwa Mungu ni Timeless
Anybody Concur with me......???????????
~Da'Vinci
Niishie tu kusema God is great!!
 
Da vinci unajichanganya sana juu ya dhana hii ya siku 1000 duniani ni sawa na siku 1 kwa M/mungu.chanzo cha kulinganisha hizo siku ni nini.? Msingi ni huo wala usijipe mawazo mengi bila sbb za maana.

Pili kaa ukifaham kuna aina mbili za siku.siku za uumbaji ni tofauti na siku hizi tulizonazo...za kuhesabia.labda nikupe mfano wa swali,Kwanini hatuzidishi siku za kuhesabia...yaani Jumatatu mpaka jumapili? Ina maana hakuna anaeliona hili? Ukiweza angalau kutoa mwanga kwanin hatutoki nje ya siku hizo.nitakupa faida kwanin kuna siku za uumbaji na siku za kuhesabia,Na kwanini M/mungu ametumia ulinganisho wa siku za kuhesabia na siku za uumbaji.
 
Hatufi sababu muda umefika mwisho ila tunakufa sababu ya maisha tuliyowekewa ndo yamefikia mwisho kwa maana kuwa muda hauna mwisho na hivyo ndo maana wote hatufi katika umri sawa ila kila mtu hufa katika ukomo wake na ndo maana mwingine hufa na miaka kumi mwingine hufa akiwa na miaka ishirini na wengine hufa wana miaka miamoja.

Kama zamani watu waliishi mpaka miaka miasita inamaanisha kuwa kama tusingetenda dhambi ingewezekana pia kuishi milele, jiulize mtu aliyeishi miaka miatisa enzi hizo alipokuwa na miaka mia alifananaje? Huenda alikuwa kama mtoto alipokuwa na miaka mia lakini leo hii mwenye miaka mia ni kikongwe wa kusaidiwa kila kitu, hii iliwezekanaje? Inamaanisha kama Mungu alikuwa na uwezo wa kumfanya mtu aishi miaka miatisa basi pia angekuwa na uwezo wa kumfanya aishi milele, kama yeye ndo alibuni na kutengeneza maisha basi anaweza kuishi milele.

Haitatokea tukaweza kusimamisha muda, hiyo ni nadharia ya kufikirika. Haya basi ngoja tuchukulie mfano tumefanikiwa kusimamisha muda je tutazuia kifo? Jibu ni hapana kwa sababu maisha ndo hupita kuufuata muda ambao uko vile vile siku zote, hatufi kwa kuwa muda umepita/umetuacha bali tunakufa kwa sababu tumeufikia muda kwa maana kuwa muda hausafiri ila sisi binadamu ndo husafiri kuufikia muda. Kama tungekuwa tunafariki kwa sababu muda umepita basi wote tungekuwa tunakufa tukishazeeka. Mfano mtoto aliekufa na miaka mitano je alikufa kwa sababu muda umepita?

Hapana alikufa sababu maisha yake yameufikia muda wa kikomo chake, tuchukulie mfano ili asingekufa tungesimamisha muda akiwa na miaka miwili inamaanisha asingefikisha miaka mitano kamwe na hivyo asingekufa? Inamaanisha angekuwa ameganda hapo katika miaka miwili!! Na hivyo basi utangundua kuwa ulisimamisha maisha na sio muda na utagundua kuwa maisha ndo hupita ila muda uko vilevile na utagundua kuwa hatuna muda ila tuna maisha, maisha ya Binadamu ndo husafiri kuufuata muda ila muda upo vilevile na huwezi kusimamisha kitu ambacho hakitembei, na kwa kuwa wakati upo vile vile maisha ya binadamu ndo husafiri kuufikia muda na anapofikia muda ambao ni kikomo basi ndo maisha yake hukoma hapo.

Na tukizungumzia kuhusu maisha, maisha yapo kwenye viumbe hai vyenye miili ya nyama vinavyoishi katika Dunia hii, mfano binadamu, binadamu ana maisha na uhai, maisha yana kikomo lakini uhai hauna kikomo, anapokuwa katika dunia hii anakuwa na vyote uhai na maisha lakini anapoenda kwenye ulimwengu wa roho anakuwa na uhai tu na sio maisha tena, hivyo basi maisha yako limited kwenye huu ulimwengu wa nyama na hayaendi kwenye ulimwengu wa roho.

Maisha husafiri kuupata wakati ila uhai upo pale pale kama ulipo wakati yaani haubadiliki na hivyo mfano mtu akiondoka katika mwili wa nyama/maisha na kwenda kwenye ulimwengu wa roho anakuwa na uhai ambao upo palepale katika wakati yaani uhai hausafiri kama ambavyo wakati hausafiri kwa hiyo basi uhai kama wakati haubadiliki hauzeeki wala haufi, na uhai ni roho Na Mungu ni roho yeye hana maisha ila ana uhai, hana maisha yanayoufuata wakati ili kufa bali yeye ni roho yenye uhai ana uhai uliopo siku zote ambao haubadiliki.

Kusema kuwa miaka efmoja ni kama siku moja mbinguni nafikiri huu ulikuwa ni mfano kumaanisha kuwa ni kiasi gani wakati hauna maana kwa Mungu na katika ulimwengu wa roho ila ni mpangilio uliowekwa tu katika ulimwengu huu wa nyama na ni kiasi gani unamchanganya binadamu na maisha ya ulimwengu ndo maana akatoa mfano huo kumkumbusha binadamu kuwa asisumbukie sana maisha kwa maana kuwa maisha na wakati katika dunia hii ni illusion tu inayoexist katika ulimwengu huu wa nyama na kuwa huko aendako baada ya maisha haya mafupi ni hakuna wakati wala maisha ayaishiyo hapa duniani.

Kuna fungu moja kwenye biblia linasema " ...msisumbukie maisha...." Lingine linasema " .... binadamu hujihangaisha sana na wakati bila kujua huko aendako hakuna wakati...." Nimesahau ni kitabu kipi

Na ofcourse mbinguni kuna mchana tu hamna Usiku.
 
Hatufi sababu muda umefika mwisho ila tunakufa sababu ya maisha tuliyowekewa ndo yamefikia mwisho kwa maana kuwa muda hauna mwisho na hivyo ndo maana wote hatufi katika umri sawa ila kila mtu hufa katika ukomo wake na ndo maana mwingine hufa na miaka kumi mwingine hufa akiwa na miaka ishirini na wengine hufa wana miaka miamoja.
Kama zamani watu waliishi mpaka miaka miasita inamaanisha kuwa kama tusingetenda dhambi ingewezekana pia kuishi milele, jiulize mtu aliyeishi miaka miatisa enzi hizo alipokuwa na miaka mia alifananaje? Huenda alikuwa kama mtoto alipokuwa na miaka mia lakini leo hii mwenye miaka mia ni kikongwe wa kusaidiwa kila kitu, hii iliwezekanaje? Inamaanisha kama Mungu alikuwa na uwezo wa kumfanya mtu aishi miaka miatisa basi pia angekuwa na uwezo wa kumfanya aishi milele, kama yeye ndo alibuni na kutengeneza maisha basi anaweza kuishi milele.

Haitatokea tukaweza kusimamisha muda, hiyo ni nadharia ya kufikirika. Haya basi ngoja tuchukulie mfano tumefanikiwa kusimamisha muda je tutazuia kifo? Jibu ni hapana kwa sababu maisha ndo hupita kuufuata muda ambao uko vile vile siku zote, hatufi kwa kuwa muda umepita/umetuacha bali tunakufa kwa sababu tumeufikia muda kwa maana kuwa muda hausafiri ila sisi binadamu ndo husafiri kuufikia muda. Kama tungekuwa tunafariki kwa sababu muda umepita basi wote tungekuwa tunakufa tukishazeeka. Mfano mtoto aliekufa na miaka mitano je alikufa kwa sababu muda umepita? Hapana alikufa sababu maisha yake yameufikia muda wa kikomo chake, tuchukulie mfano ili asingekufa tungesimamisha muda akiwa na miaka miwili inamaanisha asingefikisha miaka mitano kamwe na hivyo asingekufa? Inamaanisha angekuwa ameganda hapo katika miaka miwili!! Na hivyo basi utangundua kuwa ulisimamisha maisha na sio muda na utagundua kuwa maisha ndo hupita ila muda uko vilevile na utagundua kuwa hatuna muda ila tuna maisha, maisha ya Binadamu ndo husafiri kuufuata muda ila muda upo vilevile na huwezi kusimamisha kitu ambacho hakitembei, na kwa kuwa wakati upo vile vile maisha ya binadamu ndo husafiri kuufikia muda na anapofikia muda ambao ni kikomo basi ndo maisha yake hukoma hapo.

Na tukizungumzia kuhusu maisha, maisha yapo kwenye viumbe hai vyenye miili ya nyama vinavyoishi katika Dunia hii, mfano binadamu, binadamu ana maisha na uhai, maisha yana kikomo lakini uhai hauna kikomo, anapokuwa katika dunia hii anakuwa na vyote uhai na maisha lakini anapoenda kwenye ulimwengu wa roho anakuwa na uhai tu na sio maisha tena, hivyo basi maisha yako limited kwenye huu ulimwengu wa nyama na hayaendi kwenye ulimwengu wa roho. Maisha husafiri kuupata wakati ila uhai upo pale pale kama ulipo wakati yaani haubadiliki na hivyo mfano mtu akiondoka katika mwili wa nyama/maisha na kwenda kwenye ulimwengu wa roho anakuwa na uhai ambao upo palepale katika wakati yaani uhai hausafiri kama ambavyo wakati hausafiri kwa hiyo basi uhai kama wakati haubadiliki hauzeeki wala haufi, na uhai ni roho Na Mungu ni roho yeye hana maisha ila ana uhai, hana maisha yanayoufuata wakati ili kufa bali yeye ni roho yenye uhai ana uhai uliopo siku zote ambao haubadiliki.
Kusema kuwa miaka efmoja ni kama siku moja mbinguni nafikiri huu ulikuwa ni mfano kumaanisha kuwa ni kiasi gani wakati hauna maana kwa Mungu na katika ulimwengu wa roho ila ni mpangilio uliowekwa tu katika ulimwengu huu wa nyama na ni kiasi gani unamchanganya binadamu na maisha ya ulimwengu ndo maana akatoa mfano huo kumkumbusha binadamu kuwa asisumbukie sana maisha kwa maana kuwa maisha na wakati katika dunia hii ni illusion tu inayoexist katika ulimwengu huu wa nyama na kuwa huko aendako baada ya maisha haya mafupi ni hakuna wakati wala maisha ayaishiyo hapa duniani
Kuna fungu moja kwenye biblia linasema " ...msisumbukie maisha...." Lingine linasema " .... binadamu hujihangaisha sana na wakati bila kujua huko aendako hakuna wakati...." Nimesahau ni kitabu kipi

Na ofcourse mbinguni kuna mchana tu hamna Usiku.
Yaani hata huko kusema mbinguni kuna mchana tu sio sahihi. Maana mchana ni tokeo la uwepo wa jua, je Kwa Mungu unadhani kuna jua linawaka?? Watakua wamejenga kabisa mijengo eeh ili kujikinga na jua??
 
Da vinci unajichanganya sana juu ya dhana hii ya siku 1000 duniani ni sawa na siku 1 kwa M/mungu.chanzo cha kulinganisha hizo siku ni nini.? Msingi ni huo wala usijipe mawazo mengi bila sbb za maana.
Pili kaa ukifaham kuna aina mbili za siku.siku za uumbaji ni tofauti na siku hizi tulizonazo...za kuhesabia.labda nikupe mfano wa swali,Kwanini hatuzidishi siku za kuhesabia...yaani Jumatatu mpaka jumapili? Ina maana hakuna anaeliona hili? Ukiweza angalau kutoa mwanga kwanin hatutoki nje ya siku hizo.nitakupa faida kwanin kuna siku za uumbaji na siku za kuhesabia,Na kwanini M/mungu ametumia ulinganisho wa siku za kuhesabia na siku za uumbaji.
Mkuu hata useme vipi suala la muda wa miaka 1000 kwa Mungu ni mfano tu au lugha ya picha hakuna uhalisia wowote
 
Back
Top Bottom