Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

Unataka kusema mbingu ni kama joto au baridi au kama au njaa ?

Umejuaje hilo kama mbingu ni hali ? Maana hali zinajulikana na hali ili iwe hali ina hitaji "nafasi" na "muda",kadhalika mbingu ina sifa hizi mbili,kama nakosea nisahihishe nipate kujua.

Nasubiri ufafanuzi wa kielimu juu ya hili.
Dunia ni duara. Sasa wanavyo sema mungu alie juu mbingunii juu wap.? Alie kwabia dunia ipo chini ni nani. Ingekuwa juu kama unavyo sema ww ni mahani. Kwa sasa ayansi ilipo fikia galaxy tuliopo ye nyenyw sayani na nyota zaidi ya mabilion update scope inazzoom mbali mpaka galaxy sio dunia. GALAXY YETU inakuwa kama punje ya mchangaa sasa sijui vidude sijui vimtu vinavyo ishi kwenye iyo galaxy punje ya mchanga tena kwenye sayari saiz kama dunia tena. Sasa ukisema juu mmmh ngumu kumeza.

Kumbuka ulimwengu unatanuka kwa speed ya mwangaa sasa juuh uko wapi. Kumbuka kwa mungu inaenda roho tu kulingana na bible mwili hauitajikiiyo inasibitisha mbingu sio mahali. Pia napokea michango mingine
 
Dunia ni duara. Sasa wanavyo sema mungu alie juu mbingunii juu wap.? Alie kwabia dunia ipo chini ni nani
Unaposema Jua liko juu wewe huwa uko wapi ? Au hujawahi kusema Jua liko juu ?

Pili,ulitakiwa uulize tu kwamba Mungu yuko juu mbinguni,mbinguni wapi ? Kisha ungesubiri majibu kuliko kujenga hoja dhaifu namna hiyo,hoja ambayo inaonyesha hujui chochote kuhusu Mbingu.

Mola wetu yuko juu mbinguni tena juu ya mbingu ya saba ya saba.
Ingekuwa juu kama unavyo sema ww ni mahani. Kwa sasa ayansi ilipo fikia galaxy tuliopo ye nyenyw sayani na nyota zaidi ya mabilion update scope inazzoom mbali mpaka galaxy sio dunia.

Huu utoto wa kufikirika utoto ambao hata sayansi yenyewe haiwezi kuuthibitisha inatakiwa ifikie kipindi muuache na muamue kutumia akili zenu vizuri.

Na aliweza kuhesabu nyota na kujua ya kuwa ziko zaidi ya mabilioni ?

Nani anajua umbali wa hapa duniani mpaka kufikia mbingu ilipo ambapo ndio nyota zimetanda ?

Hiyo Scope umeshawahi kuhakikisha kama ni kweli ina zoom ?
Kumbuka ulimwengu unatanuka kwa speed ya mwangaa sasa juuh uko wapi.
Tatizo hivi visa na visa asili huwa hamuwezi kuvithibitisha.

Unaweza kunithibitishia ya kuwa dunia ina tanuka kwa mwendo kasi wa mwanga ?

Na je ni kweli mwanga unasafiri ?

Ili mwendo uwe mwendo una hitaji nini na nini ?

Sasa msiwe warahisi kuamini vitu bila kujiuliza na kuona kweli vinawezekana au story tu na uongo wa kisayansi kisa mnaonyeshwa mapicha ya kutungwa na mavideo na nyinyi mnavyopenda kuona mapicha mapicha basi mnabweteka bila kuhoji uhakika wa habari hizo.
Kumbuka kwa mungu inaenda roho tu kulingana na bible mwili hauitajikiiyo inasibitisha mbingu sio mahali.
Kumbuka kwa mujibu wa Qur'aan kuna maisha baada ya kifo na kuna ufufuo pia,kwahiyo viwili hivi vina ambatana na mwili na roho yake.
Pia napokea michango mingine
Nimekupa mchango wangu.
 
Kwa hyo aliposema siku za mwanadamu ni 70 zikiongezwa ni 120 ni hesabu ya kidunia sio mbingjni?
 
Unaposema Jua liko juu wewe huwa uko wapi ? Au hujawahi kusema Jua liko juu ?

Pili,ulitakiwa uulize tu kwamba Mungu yuko juu mbinguni,mbinguni wapi ? Kisha ungesubiri majibu kuliko kujenga hoja dhaifu namna hiyo,hoja ambayo inaonyesha hujui chochote kuhusu Mbingu.

Mola wetu yuko juu mbinguni tena juu ya mbingu ya saba ya saba.

Huu utoto wa kufikirika utoto ambao hata sayansi yenyewe haiwezi kuuthibitisha inatakiwa ifikie kipindi muuache na muamue kutumia akili zenu vizuri.

Na aliweza kuhesabu nyota na kujua ya kuwa ziko zaidi ya mabilioni ?

Nani anajua umbali wa hapa duniani mpaka kufikia mbingu ilipo ambapo ndio nyota zimetanda ?

Hiyo Scope umeshawahi kuhakikisha kama ni kweli ina zoom ?

Tatizo hivi visa na visa asili huwa hamuwezi kuvithibitisha.

Unaweza kunithibitishia ya kuwa dunia ina tanuka kwa mwendo kasi wa mwanga ?

Na je ni kweli mwanga unasafiri ?

Ili mwendo uwe mwendo una hitaji nini na nini ?

Sasa msiwe warahisi kuamini vitu bila kujiuliza na kuona kweli vinawezekana au story tu na uongo wa kisayansi kisa mnaonyeshwa mapicha ya kutungwa na mavideo na nyinyi mnavyopenda kuona mapicha mapicha basi mnabweteka bila kuhoji uhakika wa habari hizo.

Kumbuka kwa mujibu wa Qur'aan kuna maisha baada ya kifo na kuna ufufuo pia,kwahiyo viwili hivi vina ambatana na mwili na roho yake.

Nimekupa mchango wangu.
Qur aan ndo nini?
 
Kila kitu kwenye kitabu cha dini kinapingana na chenzake, in short vyote ni wizi mtupu vimetungwa tu na binadamu.

Ila tukirudi kwenye uhalisia, siku moja kua sawa na mwaka moja sehemu nyingine ni kitu possible kabisa, ukitravel very fast karibia na speed ya mwanga muda unaenda polepole kwako, so theoretically its possible kua mfano karibu na blackhole ukaspend siku moja ukarudi duniani ukakuta miaka 1000 ishapita. Inategemea tu na how close to the sppeed of light you were moving.
 
Unaweza thibitisha unayoongea?
 
Unaweza thibitisha unayoongea?
Unataka thibitisho ya kitu gani? nimeongea vingi.
Kama unataka uthibitisho wa kutokuwepo mungu nitakushangaa sana hehe kwa kua nikikwambia uthibitishe kua yupo huwezi.
 
Hua hamuwezi kuthibitisha kama Mungu hayupo
 
We unaweza kuthibitisha kua yupo?
Unapobishana na mtu kua kitu kipo, wewe ndiye unatakiwa kutoa proof kua kipo sio ambaye anasema hakipo atoe proof. Proof kubwa ni kua hakuna aliyewahi kumuona, na vitabu vyote vya dini ni nuksi tupu vimejaa uongo. We proof yako kua yupo ni ipi?
 
Atheist mnateseka sana juu ya Mungu.. nyie mmekubali kua hakuna Mungu,sawa ila mnalzimisha nasi tuamini hvo. Acheni kuteseka mazeee
 
Si ngamia mnyama, ila ni kamba zinazofunga vitu vizito, nenda bandarin utaziona ngamia, au vivukoni kama busisi mwanza nk, ngamia ni kamba nene iliyosokotwa,ni kama mkono wako,mara nyingi inashikilia meli ikiwa bandarini, au kwenye nanga pia inatumika,

Sasa hiyo ipenye kwenye tundu la sindano, kazi ipo
Bible ya kiingereza inasema it's difficulty for the camel to enter in the eye of the needle.
Vp hiyo kamba pia inaitwa camel kwa English ??
 
Muongozo kwa wamchao Allah aliye juu na ni maneno ya Allah mtukufu.

Biblia ni nini ?
Ukiuliza biblia Ni Nini na sisi tutakuuliza msahafu Nini Nini ,jibu utakalojibu ndio Hilo utaligeuza kwenye swali lako la biblia ni Nini.
Ukiuliza injili Ni Nini na sisi tutakuuliza Quran Nini .
 
Msahafu ni tamko la kilugha lenye kuzungumzia mkusanyiko wa kurasa.

Msahafu tamko hili tumelitohoa toka katika lugha ya kiarabu ambalo husomwa "Mus'haf" kwa maana chenye kurasa kiarabu wingi wa kurasa ni "Suhuf".

Je kwenu nyinyi kila chenye kurasa ni Biblia ? Huoni kwamba Biblia ni tamko maalumu ?
Je mtakubali tukisema Biblia ni Msahafu ?
 
Islamic mnalazimisha ukristo ufanane na ninyi... ila huwezi kuta Christian wanalazimisha kufanana nanyi
 
Inaonekana hujaelewa nilichokiandika,soma tena na kama hujaelewa jambo bora uulize.

Uislamu hautaki kufanana na Ukristo na wala hautafanana na Ukristo,sababu huwezi kunipa ushahidi wa kuonyesha ya kuwa UKRISTO ni dini ya kweli.

Vipi umkute mkristo atake kufanana na sisi wakati Ukristo si dini ya kweli mzee ? Hao unaodhani wanalazimisha Uislamu ufanane na Ukristo,hawaujui Uislamu.

Mwenzako nimema maelezo ya kuonyesha tamko "Msahafu" si tamko maalumu,linaenea katika kila chenye mkusanyiko wa kurasa.

Ungeelewa nilicho kiandika usingesema hayo uliyoyaandika,umakini unatakiwa sana.
 
Basi sawa mkuu..
 
Back
Top Bottom