Nadharia ya miaka 1,000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni si sahihi kabisa

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,630
106,613
1125684

Salute..
kuna msemo sijui tulifundishwa au tulisoma wenyewe kwenye vitabu vyetu vya dini (Bibble & Qu'ran) msemo huo unasema kua Miaka elfu moja duniani ni sawa na siku moja mbingu, kiukweli kwa uelewa wangu mdogo wa maswala ya Theologia na Physics nasema huu msemo ni uongo ina wezekana waliotufundisha au tulipousoma kwenye vitabu tuliutafsiri tofauti.

Kwanza kama ulisoma uziwangu wa Time Travel kiasi wadau waliweza kuelezea kadri wajuavyo effect ya Time kwenye Maisha/Uhai wa mwanadamu, nilivutiwa zaidi na mchngowa mkuu BASANORARE kwenye comment hii Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo? sikutaka nimjibu pale nikaona nianzishie mada hii kitu labda kila mtu atoa mawazo yake juu huu msemo/Andiko.

.......
Ref kutoka Qu'ran: Surat Hajj 47, allah anasema kuwa siku moja ya Allah ni sawa na miaka elfu moja "1,000".
Ref from Bible: Zaburi 90:4 Kwako miaka elfu moja ni kama siku moja tu, ni kama jana ambayo imekwisha kupita, kwako ni kama mkesha mmoja wa usiku
2Petro 3:8 Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja
Haya ndio maandiko ambayo yamefanya kuenea kwa msemo ambao mimi kwa muono wangu naona si kweli kwa jinsi watu wanavyo
yatafsiri, mimii naelewa hivi kuhusu haya maandiko and I hope theseare aint Blasphemy kwani the Almighty hapendi wasiotaka kuhoji...Let's go!

Kwanza kabisa Kiasili Mungu ana sifa kuu ambazo ni Omniscience (Ajuaye yote), Omnipotence (Mwenye uweza na nguvu zote) na Omnipresence (aliyoko kila mahalii).
tunaposema kua kwa Mungu/Mbinguni siku moja sawa na miaka 1000 ya duniani msemo huu unauvunja vipande vipande ile sifa ya Mungu ya kua Ana uwezo wa kila kitu na Hana mwanzo wala mwisho.... Kivipi???????????
duniani sababu kuu ambayo inatufanya twafariki ni kwasababu i)Dhambi ya asili (ii)ili kuweza kubalnce nature na kuruhusu existence ya viumbe vingine duniani (iii)time. Yes tunakufa kwakua kuna muda duniani ambao unatuhesabia siku zetu tunazoishi hapa dunia ..Time is the biggest threat to mankind ndio maana nilisema kwenye mada yangu ya time Travelling kua tukiweza kudhibiti muda basi tunaweza kudhibiti KIFO. Kwa mantiki hiyo nachelea kusema kwamba kama kwa Mungu kuna Muda basi Mungu ana mwanzoo, Mbinguni kuna vifo there is no eternal life at all, Yawezekana basi hakuna Mungu mmoja maana watakua wanapita/wanafariki (God Forgive I feel like I'm going too far).

Kwa mujibu Fundamental physical quantity, the SI-Unit of Time is Second and other si-unit are year,day,month,decade,millisecond,century etc...Hivyo basi kama mbinguni Muda basi Mungu atakua ana muda maalumu aliotokea(ana mwanzo) maana ili muda uweze kuhesabiwa lazima kuwe na jua linalo zunguka, haingii akilini kwamba kila ikifika miaka elfu ya duniani basi Mungu hua analala kwakua jua limezama usiku umeingia haiwezekani.

Ninavyofahamu Mimi kwa Mungu hakuna muda (Timeless) hakuna future wala past kila muda kwake ni present, Mungu hawzi eti kesho nitafanya hivi na hivi big Nope ndio maana malaika hawazeeki wala hawafi maana hakuna Muda waliowekewa unaohesabu miaka yaoo labda technically aliyewaumba anajua umri wao. Sie wandamu tumewekewa muda ili tuweze kupanga malengo yetu, ili tuweze kuishi umri fulani tulipangiwa na Muunmba,,ili siku moja tufe that's all..

Kwa hiyo basi kwa kusema hivo yawezekana msemo huu inawezekana kutokna na ambiguity ya kiswahili chetu wakati unatafsriwa kutaka version ya lugha zingine sie tuliuelewa vibaya. au kwa vyovyote vile ulipokelewa kimakosa kama vitabu vinne vya wakorintho ilivyokua..

Mwisho kabisa niseme kua huu ni muono wangu na sio pie kwamba kila mtu alzima aelewe hivyo..Lakini naamini kwa Mungu ni Timeless
Anybody Concur with me......???????????
~Da'Vinci
 
Kingine kincho sound tofauti masikioni mwangu ni huu msemo kua ili uelewe maandiko ya biblia inabidi roho mtakatifu akushukie kwanza kwakweli mm sidhani kama ni kweli kwamba inambidi ashuke kwanza kisha ndio akufunulie ...noo asee hapana. Kwanini?

Kwa mujibu wa katekismu au mafundisho yoyote yale ya kikristo inafundisha kua Roho mtakatifu hutupatia mapaji yake saba ambapo kati ya hayo mapaji ni Hekima na Elimu. indi tu binaadamu anapozaliwa Mungu humbarikia kila kitu baadhi ya mapaji tunazaliwa nayo japo sio wote, moja ya paji tunalozaliwa nayo ni paji la Hekima, japo kutokana na malezi au mazingira anayokulia mtoto paji hilo laweza kufifia.

Hivyo basi katika kutafsiri maandiko ya bible kinachotumika ni Hekima, paji la hekima ndio linalowezesha kuitafakari andiko la biblia, na ukumbuke anayetoa uwezo huo wa kua na hekima Ni Roho mtakatifu.. Hekima hiyo inakuwezesha pindi unaposoma andiko tu kwa mara ya kwanza mojakwamoja unafahamu kua hili andiko lina ujumbe fulani ndani yake, kama vile darasani kuna mtu akiona swali kwa mara ya kwanza tu bila kucherewa haraka anafahamu hili swali lahitaji nini. Hivyo basi kuna watu wanayo hekima hiyo wengine hawana..katika kutafsiri maandiko pia kuna makundi mawili ya watu ambayo ni (i)Watu ambao wakiona andiko wanalielewa na wanaweza kilielezea mbele ya wengine (ii)kuna wengine wakielewa andiko hawawezi kulielezea kwa wengine kutoka na uwezo mdogo wa kuwasilisha hoja mbele za watu {nipo kundi namba mbili}

kwa mantiki hiyo Roho mtakatifu hakushukii ili uweze fafanua andiko ila anakua ashakujalia kipawa chake toka siku wazaliwa...

pia haya ni mawazo yangu
 
Kama tu kwenye sayari zinatofautiana

Mwaka mmoja wa hapa hauwezi kuwa sawa na kwenye sayari ya jupiter au pluto sikwambii huko mbinguni!

Inawezekana bwna
Mimi katika andiko langu nimekwambia jinsi gani haiwezekani lakini wewe kwa urahisi tu unaniambia inawezekana...huko pluto na mars tunasema tunapishana miaka kwakua kuna miezi na jua
 
Nilichoelewa mimi na akili yangu ya KVANT KUBWA ni

Wanaposema miaka 1000 kwake ni sawa na siku 1.anatumbusha viumbe wake kuwa yeye hapotezi KUMBUKUMBU.

Kwa binadamu ni rahisi na kawaida kukumbuka ratiba na mizunguko yake yote aliyoifanya jana (tarehe na mwezi wa jana mwaka huu) lakini asikumbuke route au mizunguko,ratiba yake aliyoifanya tarehe na mwezi wa jana ya (mwaka uliopita)..

Mfano wakati una miaka mitatu uliwahi kuiba andazi sokoni(hiyo ni dhambi ulifanya). Lakini leo hii hukumbuki chochote na unaweza ukajiona huna dhambi duniani..kisa ni muda mrefu umepita...lakini kwa Mungu hatasahau atalikumbuka tukio lako lote kama vile limefanyika muda mfupi uliopita(saa au siku moja iliyopita)
Hivo utakumbushwa na kuhukumiwa vile vile...asante ngoja niendele kunywa KVANT yangu
 
Nilichoelewa mimi na akili yangu ya KVANT KUBWA ni

Wanaposema miaka 1000 kwake ni sawa na siku 1.anatumbusha viumbe wake kuwa yeye hapotezi KUMBUKUMBU.

Kwa binadamu ni rahisi na kawaida kukumbuka ratiba na mizunguko yake yote aliyoifanya jana (tarehe na mwezi wa jana mwaka huu) lakini asikumbuke route au mizunguko,ratiba yake aliyoifanya tarehe na mwezi wa jana ya (mwaka uliopita)..

Mfano wakati una miaka mitatu uliwahi kuiba andazi sokoni(hiyo ni dhambi ulifanya). Lakini leo hii hukumbuki chochote na unaweza ukajiona huna dhambi duniani..kisa ni muda mrefu umepita...lakini kwa Mungu hatasahau atalikumbuka tukio lako lote kama vile limefanyika muda mfupi uliopita(saa au siku moja iliyopita)
Hivo utakumbushwa na kuhukumiwa vile vile...asante ngoja niendele kunywa KVANT yangu
 
Salute..
kuna msemo sijui tulifundishwa au tulisoma wenyewe kwenye vitabu vyetu vya dini (Bibble & Qu'ran) msemo huo unasema kua Miaka elfu moja duniani ni sawa na siku moja mbingu, kiukweli kwa uelewa wangu mdogo wa maswala ya Theologia na Physics nasema huu msemo ni uongo ina wezekana waliotufundisha au tulipousoma kwenye vitabu tuliutafsiri tofauti.
Kwanza kama ulisoma uziwangu wa Time Travel kiasi wadau waliweza kuelezea kadri wajuavyo effect ya Time kwenye Maisha/Uhai wa mwanadamu, nilivutiwa zaidi na mchngowa mkuu BASANORARE kwenye comment hii https://www.jamiiforums.com/threads...-kuwa-suluhisho-la-kifo.1585916/post-31526494 sikutaka nimjibu pale nikaona nianzishie mada hii kitu labda kila mtu atoa mawazo yake juu huu msemo/Andiko.
.......
Ref kutoka Qu'ran: Surat Hajj 47, allah anasema kuwa siku moja ya Allah ni sawa na miaka elfu moja "1,000".
Ref from Bible: Zaburi 90:4 Kwako miaka elfu moja ni kama siku moja tu, ni kama jana ambayo imekwisha kupita, kwako ni kama mkesha mmoja wa usiku
2Petro 3:8 Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja
Haya ndio maandiko ambayo yamefanya kuenea kwa msemo ambao mimi kwa muono wangu naona si kweli kwa jinsi watu wanavyo
yatafsiri, mimii naelewa hivi kuhusu haya maandiko and I hope theseare aint Blasphemy kwani the Almighty hapendi wasiotaka kuhoji...Let's go!

Kwanza kabisa Kiasili Mungu ana sifa kuu ambazo ni Omniscience (Ajuaye yote), Omnipotence (Mwenye uweza na nguvu zote) na Omnipresence (aliyoko kila mahalii).
tunaposema kua kwa Mungu/Mbinguni siku moja sawa na miaka 1000 ya duniani msemo huu unauvunja vipande vipande ile sifa ya Mungu ya kua Ana uwezo wa kila kitu na Hana mwanzo wala mwisho.... Kivipi???????????
duniani sababu kuu ambayo inatufanya twafariki ni kwasababu i)Dhambi ya asili (ii)ili kuweza kubalnce nature na kuruhusu existence ya viumbe vingine duniani (iii)time. Yes tunakufa kwakua kuna muda duniani ambao unatuhesabia siku zetu tunazoishi hapa dunia ..Time is the biggest threat to mankind ndio maana nilisema kwenye mada yangu ya time Travelling kua tukiweza kudhibiti muda basi tunaweza kudhibiti KIFO. Kwa mantiki hiyo nachelea kusema kwamba kama kwa Mungu kuna Muda basi Mungu ana mwanzoo, Mbinguni kuna vifo there is no eternal life at all, Yawezekana basi hakuna Mungu mmoja maana watakua wanapita/wanafariki (God Forgive I feel like I'm going too far).
Kwa mujibu Fundamental physical quantity, the SI-Unit of Time is Second and other si-unit are year,day,month,decade,millisecond,century etc...Hivyo basi kama mbinguni Muda basi Mungu atakua ana muda maalumu aliotokea(ana mwanzo) maana ili muda uweze kuhesabiwa lazima kuwe na jua linalo zunguka, haingii akilini kwamba kila ikifika miaka elfu ya duniani basi Mungu hua analala kwakua jua limezama usiku umeingia haiwezekani.

Ninavyofahamu Mimi kwa Mungu hakuna muda (timeless) hakuna future wala past kila muda kwake ni present, Mungu hawzi eti kesho nitafanya hivi na hivi big Nope ndio maana malaika hawazeeki wala hawafi maana hakuna Muda waliowekewa unaohesabu miaka yaoo labda technically aliyewaumba anajua umri wao. Sie wandamu tumewekewa muda ili tuweze kupanga malengo yetu, ili tuweze kuishi umri fulani tulipangiwa na Muunmba,,ili siku moja tufe that's all..
Kwa hiyo basi kwa kusema hivo yawezekana msemo huu inawezekana kutokna na ambiguity ya kiswahili chetu wakati unatafsriwa kutaka version ya lugha zingine sie tuliuelewa vibaya. au kwa vyovyote vile ulipokelewa kimakosa kama vitabu vinne vya wakorintho ilivyokua..

Mwisho kabisa niseme kua huu ni muono wangu na sio pie kwamba kila mtu alzima aelewe hivyo..Lakini naamini kwa Mungu ni Timeless
Anybody Concur with me......???????????
~Da'Vinci

Tutasoma vyema ili tuchambue.
 
Nilichoelewa mimi na akili yangu ya KVANT KUBWA ni

Wanaposema miaka 1000 kwake ni sawa na siku 1.anatumbusha viumbe wake kuwa yeye hapotezi KUMBUKUMBU.

Kwa binadamu ni rahisi na kawaida kukumbuka ratiba na mizunguko yake yote aliyoifanya jana (tarehe na mwezi wa jana mwaka huu) lakini asikumbuke route au mizunguko,ratiba yake aliyoifanya tarehe na mwezi wa jana ya (mwaka uliopita)..

Mfano wakati una miaka mitatu uliwahi kuiba andazi sokoni(hiyo ni dhambi ulifanya). Lakini leo hii hukumbuki chochote na unaweza ukajiona huna dhambi duniani..kisa ni muda mrefu umepita...lakini kwa Mungu hatasahau atalikumbuka tukio lako lote kama vile limefanyika muda mfupi uliopita(saa au siku moja iliyopita)
Hivo utakumbushwa na kuhukumiwa vile vile...asante ngoja niendele kunywa KVANT yangu
 
Nilichoelewa mimi na akili yangu ya KVANT KUBWA ni

Wanaposema miaka 1000 kwake ni sawa na siku 1.anatumbusha viumbe wake kuwa yeye hapotezi KUMBUKUMBU.

Kwa binadamu ni rahisi na kawaida kukumbuka ratiba na mizunguko yake yote aliyoifanya jana (tarehe na mwezi wa jana mwaka huu) lakini asikumbuke route au mizunguko,ratiba yake aliyoifanya tarehe na mwezi wa jana ya (mwaka uliopita)..

Mfano wakati una miaka mitatu uliwahi kuiba andazi sokoni(hiyo ni dhambi ulifanya). Lakini leo hii hukumbuki chochote na unaweza ukajiona huna dhambi duniani..kisa ni muda mrefu umepita...lakini kwa Mungu hatasahau atalikumbuka tukio lako lote kama vile limefanyika muda mfupi uliopita(saa au siku moja iliyopita)
Hivo utakumbushwa na kuhukumiwa vile vile...asante ngoja niendele kunywa KVANT yangu
 
Nilichoelewa mimi na akili yangu ya KVANT KUBWA ni

Wanaposema miaka 1000 kwake ni sawa na siku 1.anatumbusha viumbe wake kuwa yeye hapotezi KUMBUKUMBU.

Kwa binadamu ni rahisi na kawaida kukumbuka ratiba na mizunguko yake yote aliyoifanya jana (tarehe na mwezi wa jana mwaka huu) lakini asikumbuke route au mizunguko,ratiba yake aliyoifanya tarehe na mwezi wa jana ya (mwaka uliopita)..

Mfano wakati una miaka mitatu uliwahi kuiba andazi sokoni(hiyo ni dhambi ulifanya). Lakini leo hii hukumbuki chochote na unaweza ukajiona huna dhambi duniani..kisa ni muda mrefu umepita...lakini kwa Mungu hatasahau atalikumbuka tukio lako lote kama vile limefanyika muda mfupi uliopita(saa au siku moja iliyopita)
Hivo utakumbushwa na kuhukumiwa vile vile...asante ngoja niendele kunywa KVANT yangu
 
Nilichoelewa mimi na akili yangu ya KVANT KUBWA ni

Wanaposema miaka 1000 kwake ni sawa na siku 1.anatumbusha viumbe wake kuwa yeye hapotezi KUMBUKUMBU.

Kwa binadamu ni rahisi na kawaida kukumbuka ratiba na mizunguko yake yote aliyoifanya jana (tarehe na mwezi wa jana mwaka huu) lakini asikumbuke route au mizunguko,ratiba yake aliyoifanya tarehe na mwezi wa jana ya (mwaka uliopita)..

Mfano wakati una miaka mitatu uliwahi kuiba andazi sokoni(hiyo ni dhambi ulifanya). Lakini leo hii hukumbuki chochote na unaweza ukajiona huna dhambi duniani..kisa ni muda mrefu umepita...lakini kwa Mungu hatasahau atalikumbuka tukio lako lote kama vile limefanyika muda mfupi uliopita(saa au siku moja iliyopita)
Hivo utakumbushwa na kuhukumiwa vile vile...asante ngoja niendele kunywa KVANT yangu
Hongera kwa nadhani hujaenda mbali na mimi right?
Keep digging
 
Kweli hii ni K-Vant kubwa maana umepost comment nne tena zenye kufanana
 
Back
Top Bottom