Nadhani Chongolo na Kinana wanashangaa tu!

Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Anachofanya, kwa wana ccm, ni sahihi, kuiweka ccm ndani ya vinywa vya wananchi, ccm inachukiwa, wa piga debe wote ni wazee,hawana jipya kwa kizazi kipya! Walihitaji jitu lenye charisma ya kuongea kama makonda! Na ukitegemea Ni jambazi Ali kuwa Muuaji mkuu wa Jiwe kama alivyokuwa(Maliyungu kwa Idi Amin), watu bado wana kumbuka you na kihoro alichowapitisha wakati wa u tawala wa Giza wa Maghu
 
Nadhani Kinana ali sunction ateuliwe. They are all hopeless guys!
 
Anachofanya, kwa wana ccm, ni sahihi, kuiweka ccm ndani ya vinywa vya wananchi, ccm inachukiwa, wa piga debe wote ni wazee,hawana jipya kwa kizazi kipya! Walihitaji jitu lenye charisma ya kuongea kama makonda! Na ukitegemea Ni jambazi Ali kuwa Muuaji mkuu wa Jiwe kama alivyokuwa(Maliyungu kwa Idi Amin), watu bado wana kumbuka you na kihoro alichowapitisha wakati wa u tawala wa Giza wa Maghu
Yaani ningekuja unapokaa kima wewe ningekuja kukutoa figo. Unakariri tu eti utawala wa giza
 
Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Umenena bro
 
Huijui ccm bado tulia mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Naona siku za kifo cha CCM zinazidi kukaribia. Aliyemteua Bashite kuwa Katibu Mwenezi wa chama, nadhani amebariki kifo cha CCM bila shaka.

Maana mtifuano na mvurugano wa ndani ya chama kuelekea uchaguzi wa 2025, hautakuwa wa kitoto.
Kila mwaka huwa mnasema CCM inakufa ila matokeo ni tofauti
 
Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Watakuwa wanapigiana simu za kumsengenya
 
Alinishtua alipomnyooshea kidogle wewee aka......dah nkasema pepo imepata mbingu
 
Kuna siku bashite atamwita kinana njoo hapa ujibu hili jambo
Wait and see
Huyo Kinana yeye ni nani nchi hii mbona mnakweza sana?yeye mwenyewe mwizi tu,yaani na nyie mmekuwa Brainwashed kumuona Kinana ni mtu wa maana wakati ni tapeli tu.
Kazi yake ya kutorosha Madini ya Tanzanite kupitia Kenya aliacha lini?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom