Na bado mtaongea yote! Wanafiki nyinyi!Sijui nani alimteua huyu mtu, hata Samia hapendezwi naye.
Na bado mtaongea yote! Wanafiki nyinyi!Sijui nani alimteua huyu mtu, hata Samia hapendezwi naye.
Hawana shida nae ilimradi tu ailetee kura CCMMambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Huu ni Wivu wa kimalayaAnachofanya, kwa wana ccm, ni sahihi, kuiweka ccm ndani ya vinywa vya wananchi, ccm inachukiwa, wa piga debe wote ni wazee,hawana jipya kwa kizazi kipya! Walihitaji jitu lenye charisma ya kuongea kama makonda! Na ukitegemea Ni jambazi Ali kuwa Muuaji mkuu wa Jiwe kama alivyokuwa(Maliyungu kwa Idi Amin), watu bado wana kumbuka you na kihoro alichowapitisha wakati wa u tawala wa Giza wa Maghu
Mtazamo wako.Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Makonda ana dominant character, kila pahala anataka kuwa mkubwa na hapo alipo usishangae akafanya mambo ya Raisi, na ni mnafki anasema ni mkristo lakini kaenda kufanya ibada ya mizimu huko chato. Wakristo wanaamini baada ya kifo ni hukumu, sasaMambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
makonda hawezi kuwa na nguvu kuliko kinana na haiwezi kutokea labda msoga team itowekeMambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Ila dogo yupo sawa!! hivyo ndivyo inavyotakiwa viongozi wa chama na bunge waisimamie serikali!!dogo kuna kitu au mtu anampa kiburi, hawezi kuwa na confidence za aina ile kama hakuna mweneymbwa.