Nadhani Chongolo na Kinana wanashangaa tu!

hakuna chama humo, jamaa anazurura kuangamiza hela za CCM ambazo kiuhalisia ni za umma wa watanzania ambao wamekata tamaa na hali ngumu ya maisha.
 
unambiwa chadema ndio wanahaha kuliko kipindi chochote kisiasa toka mfumo wa vyama vingi uwanzishwe nchini
 
  • Thanks
Reactions: Ame
haya mambo bwana hayataki hasira.
mara paah,,,bashiru naye ndani ya nyumba!
Ndiyo watu wajifunze uchawa haulipi...Nchi hii Haina mwenyewe ni ya Kila mwananchi na hujui zamu yako itakuwa lini, ki vipi
 
Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Ahsante kwa taarifa.
 
Mwaka huu watalinywa
 
Ivumayo haidumu.
 
Anachofanya, kwa wana ccm, ni sahihi, kuiweka ccm ndani ya vinywa vya wananchi, ccm inachukiwa, wa piga debe wote ni wazee,hawana jipya kwa kizazi kipya! Walihitaji jitu lenye charisma ya kuongea kama makonda! Na ukitegemea Ni jambazi Ali kuwa Muuaji mkuu wa Jiwe kama alivyokuwa(Maliyungu kwa Idi Amin), watu bado wana kumbuka you na kihoro alichowapitisha wakati wa u tawala wa Giza wa Maghu
Nonsense.
 
Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Acha washangae sio kwamba hawajui kinachoendelea
 
Huyo Kinana yeye ni nani nchi hii mbona mnakweza sana?yeye mwenyewe mwizi tu,yaani na nyie mmekuwa Brainwashed kumuona Kinana ni mtu wa maana wakati ni tapeli tu.
Kazi yake ya kutorosha Madini ya Tanzanite kupitia Kenya aliacha lini?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app

IMG_2514.jpg

Na wewe ni nani nchi hii?
 
Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Sijui nani alimteua huyu mtu, hata Samia hapendezwi naye.
 
Back
Top Bottom