Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Who told uNaona siku za kifo cha CCM zinazidi kukaribia. Aliyemteua Bashite kuwa Katibu Mwenezi wa chama, nadhani amebariki kifo cha CCM bila shaka.
Maana mtifuano na mvurugano wa ndani ya chama kuelekea uchaguzi wa 2025, hautakuwa wa kitoto.