Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,344
- 21,235
Daah huyo Mzee pembeni ya Bashite anaonekana sio mtu wa mchezo mchezo
Daah huyo Mzee pembeni ya Bashite anaonekana sio mtu wa mchezo mchezo
Umeona ee uso wake anadhihirisha hisia kali za hasira na kukerwa na anachokiona.Daah huyo Mzee pembeni ya Bashite anaonekana sio mtu wa mchezo mchezo
Ndiyo wa gizaYaani ningekuja unapokaa kima wewe ningekuja kukutoa figo. Unakariri tu eti utawala wa giza
Wewe zezeta kweli hujui hata mpangilio wa vyeo, makamu mwenyekiti na cheo chake nani mkubwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1][emoji28]
Wao walishindwa kumsaidia Rais Sasa ngoja Makonda awafundishe wajibu wao Ili washangae zaidi.😂😂Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
YAANI HAPO NI KINYUME CHAKE TEGEMEENI VYAMA VYA UPINZANI KUFA KIFO CHA MENDE HUYU NDIYO MWAMBA WA SIASA ZA KIBONGO HAPO UPINZANI LAZIMA UNYOOSHE MIKONO JUUNaona siku za kifo cha CCM zinazidi kukaribia. Aliyemteua Bashite kuwa Katibu Mwenezi wa chama, nadhani amebariki kifo cha CCM bila shaka.
Maana mtifuano na mvurugano wa ndani ya chama kuelekea uchaguzi wa 2025, hautakuwa wa kitoto.
Bado yajayo yanafurahidha..Mambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Kufa ni process.sio jambo la siku moja.Ata wewe ukiambiwa unakufa sio lazima ufe hapo hapo ila ni hakika utakufa.Dalli za kifo ndizo zinazoanzisha mchakato wa kifo kama Ccm wanavyotegemea tume ya uchaguzi na polisi kupata kura ndio dalili zenyewe.Kama wewe huzioni jitafakari.Kila mwaka huwa mnasema CCM inakufa ila matokeo ni tofauti
Nani amesema Kinana sio mwizi, ndio maana ulifeli mitihani yoteHuyo Kinana yeye ni nani nchi hii mbona mnakweza sana?yeye mwenyewe mwizi tu,yaani na nyie mmekuwa Brainwashed kumuona Kinana ni mtu wa maana wakati ni tapeli tu.
Kazi yake ya kutorosha Madini ya Tanzanite kupitia Kenya aliacha lini?
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Huwa anasingizia CCM.dogo kuna kitu au mtu anampa kiburi, hawezi kuwa na confidence za aina ile kama hakuna mweneymbwa.
Weee mavi kweli kweli...chadema wanahusikaje kwenye mambo ya ccm?Msoga gang na chadema mnatapatapa sana legacy ya wazalendo itashinda tu
HakikaUkijuaa maana ya lengo kuu la CCM ni kubaki madarakani, hautashangazwa na hayo yanayofanyika.
Anafanya jambo la hovyo sn, anakigawa chama yaani yeye amekuwa kama ndiyo Waziri MkuuMambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Wako kwenye mtihani - wakunyoa ama kusukaMambo anayofanya Makonda ya kupiga simu majukwaani na utoaji wake amri mbalimbali utakuwa unawashangaza hawa watendaji wakubwa wa CCM na hii inaonyesha Makonda sasa ana nguvu kuliko wao na hazuiliki sina hakika kama wanafurahia. Ingawa sura zao zinaonyesha kama hawafurahii kabisa lakini kitendo cha Makonda kwenda kuomboleza kwenye kaburi la Magufuri akisema hata akiwekewa bastola bado yeye ataendelea kuwa Mwaminifu mkubwa wa Rais huyo. Nadhani Kinana ndiye anayekosa raha zaidi!
Picha la wiki hili
Ndo wasichokijua.Mbona hakuna tofauti na kipindi kile cha Polepole..,alafu hayo ni maagizo kutoka juu!!