Nachukia wanaomkosoa Rais Magufuli

Hao wana wivu tu! mtukufu ni MTU perfect sana huwa hakosei na hapaswi kukosolewa tuendelee kumsifia Ndugu yangu achana na hao wakosoaji.

r.I.p faru john
 
hata wapigania uhuru wasingalikuwa na mawazo tofauti huenda hata sasa tungelikuwa bado watumwa
Kupiga cm sio tatizo ,Tatizo MTU Wa aina gani Na kwa mahala gani mkuu wa nchi huwa haongei Ovyo huwa Mara Nyingi ktk media za serikali kwa jambo linalohusu inchi kwakuwa Tasisi hiyo ni nyeti! Kupiga cm clouds nimepata shaka sana !
 
kumbe tuko wengi,

nilidhani ni mawazo yangu tu

aisee hata maneno ya kusema yananikosa
 
Mimi naona wanaomchukia ni wasaliti na sio wazalendo na wenye akili fupi za kusahau wapi tumetoka na tunapaswa kesho tuwe wapi so mi nafikiria tu kwa nchi ilivyokuwa hapo nyuma na ingeendelea na mifumo kama hiyo kwa miaka 10 mbele unazani ingekuwaje acha tu mimi niendele kumuombea na nivumilie kwa kipindi hiki cha mabadiliko ambayo kwa macho na ufahamu Mungu alionijalia nayao ni mazuri na anazamira iliyotukuka kwa taifa hili na anatupenda wananchi wake
 
Nikweli Kwamba Kutoa Lugha Zisizona Staha Siyo Jambo jema kwa Viongozi wetu.

Tunaweza kukosoana pasipo Kutumia Lugha Ngumu na Zenye Kuvunjiana Heshima.

Hapa ni seme kwa Viongozi wote wana Haki ya Kuheshimiwa hata kama Tunawakosoa basi tuwakosoe kwa Lugha Rafiki na Zenye kupelekea Mlengwa kusikia na Kujirekebisha.
 
Hata kule Korea Kaskazini yule kitumbua kichwa anachukiwa pia....na akijua tu anakutupa kwenye banda la mbwa wakali wenye njaa!
 
Nikweli Kwamba Kutoa Lugha Zisizona Staha Siyo Jambo jema kwa Viongozi wetu.

Tunaweza kukosoana pasipo Kutumia Lugha Ngumu na Zenye Kuvunjiana Heshima.

Hapa ni seme kwa Viongozi wote wana Haki ya Kuheshimiwa hata kama Tunawakosoa basi tuwakosoe kwa Lugha Rafiki na Zenye kupelekea Mlengwa kusikia na Kujirekebisha.
Yeye kaanza kwa kutumia Lugha chafu,mfano kamtukana mwanangu KILAZA,unategemea huyuhuyo mwanangu akipata chance atamtukanaje?nijibu haraka.
 
Namimi nawachukia sana .maana nampenda na kumheshimu sana Rais wangu wa Tanzania.tushirikiane na mods wa jf kuwaeliminate kwenye forums zetu
 
"Ukiona mtu yoyote anafurahia na kusifia mambo anayoyafanya JJPM basi ujue mtu huyo hana akili na maana katika nchi hii" T.A. Lissu
 
Mkuu, hao ni wa kuwasamehe bure kabisa! Ila saikolojia ndogo San inasema, ukiona watu wanachuki nawe bila sababu yoyote, basi kua kuna jambo zuri sana unalolifanya ambalo hawataki wewe ulifanye! Hao hawakutegemea kama yanayofanyika sasa yatafanyika na serikali hii, hivyo wanahasira kwakua mkate wao upo hatarini. Huu ni mwaka mmoja tu, bado kuna mingine minne mbeleni kwa kazi hii wote hao watapotea kwa kukosa cha kusema!
Ni hapo sasa iwe 'bila sababu yeyote'
 
Hana jipya zaidi naona majanga yakiongezeka kwenye maisha ya kila siku
 
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Cc: GENTAMYCINE
 
Back
Top Bottom