Nachukia wanaomkosoa Rais Magufuli

Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Bila shaka wewe ni mtoto umeanza kukua na kusoma mitandao hivi karibuni. Zoea hata aliyetuumba anasemwa sembuse binadamu!
 
Kwa uwazi wazi JPM anapiga kazi sana. Wapo wengi walipita wala hatukuona wamefanyi. Wengine walikaa kwenye nyadhifa kuu miaka 10, miaka 2 nk lakini siwezi kusema wamefanya nini hasa.

JPM yuko mwaka mmoja madarakani na nusu mwaka wa kibajeti lakini watu mapovu yamewatoka. Ndiyo maana huwa nahitimisha ni genge la wapiga dili na mafisadi wako kazini
Kwani ukitetea awamu hii bila kulinganisha na zilizopita kuna tatizo? Ulikuwa hujazaliwa lkn hata vitabu husemi? Basi hata macho huoni? Kweli kabisa utakuwa na mapungufu makubwa ya analysis ndani ya kichwa chako......
 
Wapigaji, wezi, matapeli, wavivu, walalamishi, majangiri, wahujumu uchumi, wenye viwanda vya uongo, wazembe, hao wote hawawezi kumpenda kamwe.
Mtakuja kuomba kura hayo maneno weka akiba, hizo sio propaganda za kujibu hivyo unaweza ukawa unawapa point watu za kuwashinda mda mgumu utakapofika mana sio mbali........
 
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Huo utovu wa nidhamu aliuanza mwenyewe. Mimi siwezi kumwita mwanangu kilaza, kwangu hilo ni tusi kubwa. Siwezi kumuita mtu lofa na siwezi kutumia neno ubwege.

Mnisamehe wakuu, imebidi niyaandike.
 
Wanaomchukia ni wezi, wapigadili, wauza madawa ya kulevya na wakwepakodi
Kweli mkuu wanafunzi wa vyuo walionyimwa mikopo ni wapiga dili...waliositishiwa ajira zao ni wapiga dili na wafanyakazi waliozuiwa vyeo kupanda ni wapiga dili ila waliokula pesa za rambirambi niwatukufu..hata wale walioonga nyumba za serikali kwa hawara zao ni watukufu..vilevile walioshiriki kwenye ufisadi ununuzi kivuko bagamoyo na wenyewe ni watukufu
 
Wanaomchukia ni wezi, wapigadili, wauza madawa ya kulevya na wakwepakodi
Nilikuwa najiuliza kama fedha zinakusanywa na TRA kama kodi kila mwezi, na tunaambiwa wanavuka lengo kwa maana kwamba pato la Taifa linaongezeka kila uchao; sasa kwa nini maisha ya leo afadhali ya Jana?? Naanza kupata jibu; kumbe sehemu kubwa ya kodi zetu inatuma kulipa posho ya wapambe kama huyu. Hivi huyo uliyemtaja amefanya mazuri tu hana mabaya? Mbona wewe unahibiri sifa tu bila kasoro? Yeye mwenyewe anajua siyo Mungu kwa hiyo kuna mahali amekosea na pengine amefanya vizuri. Sasa wewe unayeimba mapambio ya sifa peke yake una tofauti gani na anayekosoa kila kitu??
 
Kazi gani aliyoifanya wewe tangu aingie madarakani!? Hebu tuwekee kazi hizo alizozifanya zaidi ya kuleta majanga nchini.

Kwa uwazi wazi JPM anapiga kazi sana. Wapo wengi walipita wala hatukuona wamefanyi. Wengine walikaa kwenye nyadhifa kuu miaka 10, miaka 2 nk lakini siwezi kusema wamefanya nini hasa.

JPM yuko mwaka mmoja madarakani na nusu mwaka wa kibajeti lakini watu mapovu yamewatoka. Ndiyo maana huwa nahitimisha ni genge la wapiga dili na mafisadi wako kazini
 
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Enyi vijana wakitanzania amkeni acheni siasa , mnapenda kukosoa sana raisi wetu Fanya kazi ipo siku watakuelewa unachokifanya.
 
Siku zote mtu mjinga na mpuuzi , ufata mkumbo kukosoa vitu asivyovijua ,watu wanaleta habari za vijiweni na siasa kwenye vitu vya msingi
 
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Ni kawaida watu kutofautiana kimawazo, hawezi kupendwa na wote hatuwezi kufanana kimawazo na kiakili hilo litakua ni janga kuu na ujinga wa hali ya juu

Kwa mheshmiwa naona wao wakosoaji ambapo wapo pia wasiopenda akosolewe
 
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Eti unachukia....we chukia tu uvimbe mpaka upasuke.
 
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Kukosoa siyo kosa. Ulivyoandika unaonesha kwamba unahitaji consultation na daktari.
Matusi ya nini?
 
Kwani kuna ulazima kumuunga mkono kila mtu acha mawazo ya majitaka hayo hakuna mtu anakubalika kwa kila mtu ,huwezi kulazimisha kila mtu awe mwislamu kuna wengine ni wakristo.

Sijui watanzania wana pepopunda gani hili lisiloweza kujua kila moyo una chaguo lake
 
Wanaomchukia ni wezi, wapigadili, wauza madawa ya kulevya na wakwepakodi
Ni kweli kbsa alisimamisha ajira za wale vijana sbb ni wapiga dili hata waliokosa mikopo nao ni wapiga dili. Hongera sana naona unaishi kwa kukariri.
Sizonje anapenda sana kusifiwa, na ww usichoke kumsifia ipo siku atakupa UDC
Hongera sana ndugu yangu naona hata uhakiki wa wafanyakazi umekuwa dili, isingekuwa dili ungekuwa umeshamalizika siku nyingi
 
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!

kama wewe huoni basi wenzio wanaona waache wamkosoe kwa jinsi wanavyoona wao watu hawafanani kiasi cha kuwa na mitazamo na akili inayofanana

sisi wenye sifa tajwa hapo juu tunalipa kodi zinazomlisha na kumnunulia Suti Huyo mtukufu wako yeye hana analoisaidia nchi hii kwa kuwa sio mlipa kodi so punguza mapovu.
 
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Nahisi mchepuka wa mkuulu umekuja wenyewe kuanzisha thread hapa JF
 
Back
Top Bottom