Nachukia wanaomkosoa Rais Magufuli

Hvi kwa akili yako tu, rais hajaenda kuhani kule kagera ambako watu wengi wamekufa,hapo hapo kumetokea msiba wa kwao haraka haraka kaenda. Hiv na hili hasikoselewe!

Mbona lowassa hajawai kuja huku kijijini kwetu ambako watu walideki barabara ili yeye apite....kaenda kwa mchungaji yule aliyewadondoshea waumini gorofa?
 
Si dhambi waTanzania kuwa na mawazo tofauti muhimu anayekosolewa achambue mawazo ya wakosoaji na achanganye na akili zake na wanaokosoa wakosoa kwa staha bila kuvunjiana heshima.nitoe mfano mmoja wa ambavyo tunatofautiana mawazo.wanaoshughulika na uhamiaji dodoma wanasema wamepanga maofisi yote ya serikali,wakale wake nk yawe chamwino.kwa hiyo asb traffic yote ya wafanyakaziwa serikali na wanaofuata huduma za serikali itakuwa inaelekea chamwino na jioni traffic inarudi upande wa asb.mm nina mawazo tofauti na mtu anaweza kushikwa na HASIRA KALI KWA SABABU YA KUWA NA MAWAZO TOFAUTI NA HAO SIJUI NDO CDA.mm ni gekuwa kwenye hiyo taasis ushawishi wangu ni kujenga sub cities kuunguka mji wa Dodoma.Miji hiyo iwe kama mine hivi yenye huduma zote za kijamii,makazi ,maofisi ya hlmashaurin.k kuwe na barabara kubwa angalau mbili a lane sita toka dodoma na kuwe na kamsitu kati ya dodoma na hii miji.hapa katikati pasijengwe kitu zaidi yabkuwa na parks na sehem za mapumziko.kuwepo na barabara ya mzunguko inayounganisha sub cities na ring road nyingine izunguke mkoa wa dodoma wote na iwafae wale wasiopenda kupita kabsa dodoma.ramani za miji hiyo zichorwe na makampuni a kimataifa na tuachane na mambo ya wataalam wetu wa ndani kwani wameharibu mipangilio ya sehem nyingi ikiwemo sinza,mbezi beach,kijitonyama ,kimara mpaka kibamba hakujawahi kupimwa n.k
 
Mwaka mmoja tu lakini JPM kafanya ambayo wengine hawakuweza kuyafanya kwa miaka 10. Wanaomchukia wana matatizo makubwa.
 
Kama unavyowachukia wanaomkosoa, vivyo hivyo wapo wanaokuchukia kwa jinsi unavyomsifia...
 
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
How old are you?
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom