Nachukia wanaomkosoa Rais Magufuli

Mugare

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
601
1,000
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
 
Mkungo

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
222
250

Kwa uwazi wazi JPM anapiga kazi sana. Wapo wengi walipita wala hatukuona wamefanyi. Wengine walikaa kwenye nyadhifa kuu miaka 10, miaka 2 nk lakini siwezi kusema wamefanya nini hasa.

JPM yuko mwaka mmoja madarakani na nusu mwaka wa kibajeti lakini watu mapovu yamewatoka. Ndiyo maana huwa nahitimisha ni genge la wapiga dili na mafisadi wako kazini
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
11,488
2,000
Nadhani unachohitaji ni balanced review,sio criticism peke yake,

Magufuli alianza vizuri na kwa nguvu kutumbua majipu,kuminimize spending na kufungua mahakama ya mafisadi,

Watu wakaweka much expectations,

Sometimes usiwape watu false hopes,everything will be ok,huku kila kukicha ni afadhali ya jana,

What you see now is just frustrations.
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
21,628
2,000
Mkuu, hao ni wa kuwasamehe bure kabisa! Ila saikolojia ndogo San inasema, ukiona watu wanachuki nawe bila sababu yoyote, basi kua kuna jambo zuri sana unalolifanya ambalo hawataki wewe ulifanye! Hao hawakutegemea kama yanayofanyika sasa yatafanyika na serikali hii, hivyo wanahasira kwakua mkate wao upo hatarini. Huu ni mwaka mmoja tu, bado kuna mingine minne mbeleni kwa kazi hii wote hao watapotea kwa kukosa cha kusema!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
146,247
2,000
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Ukipenda chongo huona kengeza
 
ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
91,479
2,000
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Well received. ..hongera sana kwa kuliona hilo
 
Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
265
500
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Acha ukuda sio mtu mmoja anaweza kupendwa na watu wote
 
Mugare

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
601
1,000
Nasikitika kwamba uwezo wako wa kufikiria ndio umefika mwisho.. na hakuna tiba
Nilidhani ungekuja na hoja mpya na yenye mashiko, kumbe laa! hayo maneno uliyotumia hakuna jipya hata moja, sana sana umejaza server tu na hoja chakavu
 
mkulukunde

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
313
250
Hvi kwa akili yako tu, rais hajaenda kuhani kule kagera ambako watu wengi wamekufa,hapo hapo kumetokea msiba wa kwao haraka haraka kaenda. Hiv na hili hasikoselewe!
 
Maboso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,014
2,000
Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Wapigaji, wezi, matapeli, wavivu, walalamishi, majangiri, wahujumu uchumi, wenye viwanda vya uongo, wazembe, hao wote hawawezi kumpenda kamwe.
 
Konsciouz

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
4,823
2,000
Mkuu anashindana na kina full migebuka, pido G pido guy na akina ummy kitwana... Kupiga piga simu kwenye mavituo ya redio.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom