Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Pole sana ndugu km unatafuta cheo kwa njia hii au umetumwa, kawaambie huku ni kugumu sana.
1.Angekuwa hakosei hiyo milion 50 kila kijiji ingekuwa imeshapelekwa sehem husika
2. Mtukufu gani, anasimamisha ajira? Tangia nizaliwe ndiyo niliona maajabu kupitia kwa Sizonje. Raisi unasimamisha ajira?
3. Unawanyima watu mikopo? Mbona yy mtoto wake alipewa mkopo wakat yy ni waziri? Kwann asingekataa km siyo na yy mpiga dili tu.
4.Kuwasimanga wale wanafunz wa UDOM kuwa ni VI.LA.ZA yy alikuwa sawa? Km yy hapend kukosolewa kwann anawakosoa wengine? Mtukufu gani anaongea kauli za ajabu ajabu, angalia kipind ameenda zanzibar
DHAMBI MNAZOZIFANYA NA KUJIITA WATUKUFU PAMOJA NA KUCHAKACHUA MATOKEO YA ZENJI NDIZO MEFANYA MPAKA MUNGU AMETUADHIBU. MVUA HAKUNA, UKIZINGATIA HUU NI MWEZ WA 12 KILA KUKICHA AFADHALI JANA.
ITAKUWA NCHI YA VIWANDA, KILA MWANAFUNZ MWENYE SIFA ATAPEWA MKOPO LEO HII? 0 ajira mesimamisha, Milion 50 kla kijiji nayo hola.
KAMA MUNGU ANAKOSOLEWA, YY NI NANI MPAKA ASIKOSOLEWE? Mtukufu gani anasema uongo? Ni mwezi mmoja 1 na nusu Haitazid miwili lkn mpaka leo kimya halafu bado mnamuita mtukufu? Tehe teh teh
WAFIA CHAMA NA WACHUMIA TUMBO LAZIMA WAJIKOMBE