Nachukia kusema hivi ila inabidi

Nachukia kusema hivi ila inabidi

naona nduguyangu wewe unakwenda mbali kwani ukioa na akawa mkeo huwezi kumpa yale hayatakayo toka kwako mpaka uonje kwanza ndipo ujue ladha ikoje

je hujui kuwa mshahara wa dhambi ni mauti na je hufahamu kuwa zinaa ni dhambi na inayoleta maangalmivu maishani mwako, hebu fikiria, chukua hatua na amua sasa kuokoka utubu dhambi zako

Sawa ladyfurahia, nacho taka kujua kwanini wasichana hao wasisubiri mpaka tuwaoe ndo watupe invoice?
 
Last edited by a moderator:
wewe ndo kama mm hasa mm nakuwa na domozege hata kama napitia kwenye matatizo yaliyomagumu kiasi gani siwezi kuomba msaada wowote kwa mtu hata kama asiwe dume kwani napendelea nichakarieke mwenyewe ili nione hatima yake


kujiombeleza kupita kiasi ni ishara ya uvivu, amepataje nawe umekosaje!! sawa kuna kutindikiwa ila sio too much kilio khaa..!!

utampata mwenye hasira, kelebu moja tu hutorudia tena..
 
pesa ndio kila kitu, ukishindwa watakuja wanaojua kugharamia, halafu ukipigwa kibuti unakuja kulalamika. cha muhimu simama kwa nafasi yako kama mpenzi.
 
ndugu yangu hao wadada wamerubunika na wana tamaa sana ndio maana wakirubuniwa kidogo tu
lazimia wajivue magandwa yao hawaona kuwa mwanamke ni heshimakwa jamii
wanaiga tamaduni na desturi za kimagharibi eti ukiwa na bf basi laizima umvulie gwanda ndipo ajue anakupenda na kumbe si chochote wala lolote ni kujihairibia maisha yalko yote
Sawa ladyfurahia, nacho taka kujua kwanini wasichana hao wasisubiri mpaka tuwaoe ndo watupe invoice?
 
Ukiona simu ujue bomu...inakera inachefua na inawadhalilisha...
 
ndugu yangu hao wadada wamerubunika na wana tamaa sana ndio maana wakirubuniwa kidogo tu
lazimia wajivue magandwa yao hawaona kuwa mwanamke ni heshimakwa jamii
wanaiga tamaduni na desturi za kimagharibi eti ukiwa na bf basi laizima umvulie gwanda ndipo ajue anakupenda na kumbe si chochote wala lolote ni kujihairibia maisha yalko yote

Kwa iyo unashauri tuwape tu hela, lakini mambo mengine ni mpaka baada ya ndoa? au wote tusipeane chochote!
 
Hatari
Niliwahi tongoza demu ijumaa, jumamosi tukafanya yetu, jumapili akaniambia yuko supermarket anaomba niongezee 50,000
Ikabidi nianze kuzuga mshahara haujatoka
Hatari
 
yani alivyoinigusa hapa : baadhi ya wakaka wanayo hii ombaomba sana kwa wanawake,don't take it personal
imenibariki sana sijui wewe mwenzangu hapo ingawaje nanyi mmezid sana kuomba wanawake hamna hata soni
Ukilikuta dume linamtegemea Mwanamke 100% sasa hilo ni laidi ya tatizo. Kusaidiana kupo lakini tusifanyane watumwa.
 
hahaa mwanaume anaejua majukum hasubiri kuanza kuombwa omba omba.........

anajua kua kuna tymes my girl ana needs zake...ila kuna wadada nao wamezidi vibomu
 
hahahaha...KWELI WENGI TUNAUMIA JAPO TUNAPENDA ILA DUH
 
kutu kupenda ni kazi sana kwa kweli any way we ni mwanaume watatu humu leo mkilalamikia kitu hiki hiki duh................ poleni sana
 
hahaa mwanaume anaejua majukum hasubiri kuanza kuombwa omba omba.........

anajua kua kuna tymes my girl ana needs zake...ila kuna wadada nao wamezidi vibomu

Hi wewe unaakili Kweli? Unategemewa kupewa enh?natigo mtupe pia ila uzee ndo kibokoyenu hasa wewe k
 
Ni balaa. Hawajui kuwa tunahudumia ndugu na wazazi wetu pia. Yaani unakuta mdada miaka nenda rudi anajilipia kodi ila ukimpata tu anakurushia zigo la kodi mwaka mzima.Duh!
 
Maswali?

1) Unalazimishwa?

2) unashikiwa bastola?

3) shida zina wakati au mda maalumu?

4) akaombe au amjulishe nani shida zake wakati yupo nawewe?

5) unaweza kuahilisha matatizo?

6) au mapenzi nikugegeda nakugegedwa tu?

6) kwanini unaamua kuwa na mtu wakati hupo tayari kukabiliana na changamoto kama hizo?

asante naamin akijiulza maswal hayo atapata jibu bila wasiwasi amepata
 
Back
Top Bottom