Nachukia kusema hivi ila inabidi

Nachukia kusema hivi ila inabidi

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
Habari wa ndugu,

Ma bibi na mabwana eeh bana ngoja niseme kitu japo najua kitawakera baadhi ila sina lengo baya nia ni kuelimisha hili japo linawahusu sana wadada, pia baadhi ya wakaka,

Hivi inakuaje mtu ndo kwanza mmeanza uhuusiano yani hata hamjajuana vizuri mtu anakupa majukumu kibao maraa sijui nashida,sijui mama anaumwa,sijui ninunulie hichi jamani kwani kuwa kwenye mahusiano ndo imegeuka kuwa mzigo wa mwiba.

Najua as gentlemen unaitajika kumjali mpenzio but not this kind of relation yani hata mienzi miwili majukumu[sindano za kutosha]kwa hali hii kweli dada zangu mtapata mausiano ya kudumu au mtu ndo ile anaudumia akisha mega akakinai anaingia miti,embu tujirekebishe,pia baadhi ya wakaka wanayo hii ombaomba sana kwa wanawake,don't take it personal
 
Nadhani hupendi majukumu then ni vizuri umwambie mapema uliyenaye upate peace of mind....... ila nachojua kuwa ukiwa na mwanamke anayefanya kazi mtategemeana.
 
wenyewe wanasema 'mwanaume pochi' 'mengine..............'
 
Hao wanawake wanao omba omba hawajui thamani yao kwa mwanamme,na ndio mara nyingi unakuta mwanamme anakudharau hata akiona simu yako anajifikiria enhee sijui naombwa nini,mara hela ya kusuka,mara vocha,mara hela ya lunch,tafran moja kwa zote...
 
Nadhani hupendi majukumu then ni vizuri umwambie mapema uliyenaye upate peace of mind....... ila nachojua kuwa ukiwa na mwanamke anayefanya kazi mtategemeana.
filo sio issue kukwepa majuku i have to knw you first bana yani ndo just tumebadilishana number ndani ya sikumbili matatizo kibao....unajua unakuwa na mtu mpaka unawaza kumpigia cm maana ukijaribu tu utakoma,umemsalimia vizuri ukiwa unataka kukata cm utaskia baby nashida na elfu hamsini je nisinge piga shida ingekuwepo..inakera bana
 
Hao wanawake wanao omba omba hawajui thamani yao kwa mwanamme,na ndio mara nyingi unakuta mwanamme anakudharau hata akiona simu yako anajifikiria enhee sijui naombwa nini,mara hela ya kusuka,mara vocha,mara hela ya lunch,tafran moja kwa zote...

Bingo .......!!!!!!!
 
well said na kuunga mkono...mwanamke ili uwe na thamani mbele ya mwanaume acha kuomba omba tena,kila siku we ndo kulia shida labda mwanaume anashida zaidi yako ila anajaribu kukupa unachotaka inapozidi unamchosha
 
filo sio issue kukwepa majuku i have to knw you first bana yani ndo just tumebadilishana number ndani ya sikumbili matatizo kibao....unajua unakuwa na mtu mpaka unawaza kumpigia cm maana ukijaribu tu utakoma,umemsalimia vizuri ukiwa unataka kukata cm utaskia baby nashida na elfu hamsini je nisinge piga shida ingekuwepo..inakera bana

Ok... bt kuweni waangalifu sana na wanawake mnaowachagua kibaya zaidi mnapenda waliopendeza kabisa aiseee lazima akusumbue na mambo ya kumuona mara 2 au 3 basi unajua nimepata jenga urafiki naye kwanza wa muda mrefu kabla ya relationship uzuri wanawake tunaonekana mapema sana hasa ukiwa serious na uhusiano msikurupuke wanawake wengi nowadays matapeli wa mapenzi.
 
siku zote vizuri vinagarama...ni kweli vijana tuwe waangalifu but kwa halii hii utaonekana kicheche maana utakuwa na huyu siku au wiki baada ya kumsoma una mdelete una tafta mwingine basi kazi kweli
 
Invoice zikizidi nazo zinakera bana.....Halafu za mapemaaaaa....Sometimes huwa najiuliza ni nani alikuwa aki take care before?
 
hahahaha mjomba umenichekesha sana...bora kimtindo ila doh mpaka unaona hii sasa natolewa damu mamaangu mzazii,
 
Maswali?

1) Unalazimishwa?

2) unashikiwa bastola?

3) shida zina wakati au mda maalumu?

4) akaombe au amjulishe nani shida zake wakati yupo nawewe?

5) unaweza kuahilisha matatizo?

6) au mapenzi nikugegeda nakugegedwa tu?

6) kwanini unaamua kuwa na mtu wakati hupo tayari kukabiliana na changamoto kama hizo?
 
siku zote vizuri vinagarama...ni kweli vijana tuwe waangalifu but kwa halii hii utaonekana kicheche maana utakuwa na huyu siku au wiki baada ya kumsoma una mdelete una tafta mwingine basi kazi kweli

Yeah ndomana nikasema kuna urafiki ambao mnakuwa close sana kiasi kwamba mnajuana kiasi cha kujiridhia so hapo ndo unaangalia maamuzi yako kama utamuweza au lah.....sio umetongoza then hapohapo relation unakuta mnajuana hata mwezi hammalizi kumuacha unashindwa maana wenzako watakuona wa ajabu ndo hilo unaishia kulalamika JF...... be sure na kitu unachotaka otherwise huna malengo na hao wasichana.
 
Kiswahili shida,English nayo shida.Anyway wadada wanakua wasanii kwa sababu na wakaka nao ni wasanii vile vile.Sasa why kupoteza muda kuitana bebi?
 
tupigane usanii tu
 
Kiswahili shida,English nayo shida.Anyway wadada wanakua wasanii kwa sababu na wakaka nao ni wasanii vile vile.Sasa why kupoteza muda kuitana bebi?

charger They're learning from the best......
 
Maswali?

1) Unalazimishwa?

2) unashikiwa bastola?

3) shida zina wakati au mda maalumu?

4) akaombe au amjulishe nani shida zake wakati yupo nawewe?

5) unaweza kuahilisha matatizo?

6) au mapenzi nikugegeda nakugegedwa tu?

6) kwanini unaamua kuwa na mtu wakati hupo tayari kukabiliana na changamoto kama hizo?

Kwani mie babako?
 
Back
Top Bottom