Nachukia kusema hivi ila inabidi

Nachukia kusema hivi ila inabidi

mkuu mbona kunamtu alikujibu vizuri kunamajukumu ambayo ni haki naya msingi kwa familia yako mkeo...kumbuka hapa tunaongea kuhusu uhusiano ambao ndo kwanza unaanza,usichanganye madesaa meku

mkuu inategemea una lengo gani na unampenda kiasi gani lakini majukumu hayakwepeki
 
Maswali?

1) Unalazimishwa?

2) unashikiwa bastola?

3) shida zina wakati au mda maalumu?

4) akaombe au amjulishe nani shida zake wakati yupo nawewe?

5) unaweza kuahilisha matatizo?

6) au mapenzi nikugegeda nakugegedwa tu?

6) kwanini unaamua kuwa na mtu wakati hupo tayari kukabiliana na changamoto kama hizo?

Nadhani ufahari wa mwanaume kutembea na mwanamke mremboooo ili asifiwe na washkaji zake lakin joto la jiwe ni lake peke yake ndomana yuko hapa...
 
mkuu inategemea una lengo gani na unampenda kiasi gani lakini majukumu hayakwepeki
mkuu nikweli huwezi kukwepa majuku ila tunaangalia na umuhimu wa majuku na wakati gani.....tusimizane unakuta mtu unamtu wako mshahara wote sawa ata labda kakuzidi kimtindo,ila we ndo umlipie saloon,umnunulie gauni viatu vizuri,umpeleke dinner na out mbalimbali za kwake za kwake za kwako za kwenu wote.....yeye hata kuonyesha kujali na ukimwambia sina unamskia NIMUOMBE NANI
 
Maswali?

1) Unalazimishwa?

2) unashikiwa bastola?

3) shida zina wakati au mda maalumu?

4) akaombe au amjulishe nani shida zake wakati yupo nawewe?

5) unaweza kuahilisha matatizo?

6) au mapenzi nikugegeda nakugegedwa tu?

6) kwanini unaamua kuwa na mtu wakati hupo tayari kukabiliana na changamoto kama hizo?
Aaah aaa.. hapo DEFENSIVE kweli...!! au ndiyo give and take....!
 
nahisi nna matatizo sio bure, huwa naona aibu kumwomba mwanaume (mpenzi) pesa hata km nimenigwa kiasi gani,

ile nikipanga mistar ukitokea tu domo lishajaa mate,
 
Habari wa ndugu,

Ma bibi na mabwana eeh bana ngoja niseme kitu japo najua kitawakera baadhi ila sina lengo baya nia ni kuelimisha hili japo linawahusu sana wadada, pia baadhi ya wakaka,

Hivi inakuaje mtu ndo kwanza mmeanza uhuusiano yani hata hamjajuana vizuri mtu anakupa majukumu kibao maraa sijui nashida,sijui mama anaumwa,sijui ninunulie hichi jamani kwani kuwa kwenye mahusiano ndo imegeuka kuwa mzigo wa mwiba.

Najua as gentlemen unaitajika kumjali mpenzio but not this kind of relation yani hata mienzi miwili majukumu[sindano za kutosha]kwa hali hii kweli dada zangu mtapata mausiano ya kudumu au mtu ndo ile anaudumia akisha mega akakinai anaingia miti,embu tujirekebishe,pia baadhi ya wakaka wanayo hii ombaomba sana kwa wanawake,don't take it personal

Unategema nini kwenye uzinifu? umpatishe dhambi za bure? si bora awe na sababu kuwa alifanya dhambi kwa shida zake.

Zinaa ni uchafu, ndio huo sasa, na inatia ufukara na umaskini.

Oaneni mkae na wake/waume zenu kihalali muwache kulalamika.
 
unategema nini kwenye uzinifu? Umpatishe dhambi za bure? Si bora awe na sababu kuwa alifanya dhambi kwa shida zake.

Zinaa ni uchafu, ndio huo sasa, na inatia ufukara na umaskini.

Oaneni mkae na wake/waume zenu kihalali muwache kulalamika.
umenena vema mkuu...
 
nahisi nna matatizo sio bure, huwa naona aibu kumwomba mwanaume (mpenzi) pesa hata km nimenigwa kiasi gani,

ile nikipanga mistar ukitokea tu domo lishajaa mate,
unajua kwa mwanaume mwenye akili na anae jali lazima atakupa hata kama hujamuomba cse anajua kuna garama kama mpenzi wake lazima aingie
 
yani alivyoinigusa hapa : baadhi ya wakaka wanayo hii ombaomba sana kwa wanawake,don't take it personal
imenibariki sana sijui wewe mwenzangu hapo ingawaje nanyi mmezid sana kuomba wanawake hamna hata soni
Kwani mie babako?
 
wewe ndo kama mm hasa mm nakuwa na domozege hata kama napitia kwenye matatizo yaliyomagumu kiasi gani siwezi kuomba msaada wowote kwa mtu hata kama asiwe dume kwani napendelea nichakarieke mwenyewe ili nione hatima yake
nahisi nna matatizo sio bure, huwa naona aibu kumwomba mwanaume (mpenzi) pesa hata km nimenigwa kiasi gani,

ile nikipanga mistar ukitokea tu domo lishajaa mate,
 
yani alivyoinigusa hapa : baadhi ya wakaka wanayo hii ombaomba sana kwa wanawake,don't take it personal
imenibariki sana sijui wewe mwenzangu hapo ingawaje nanyi mmezid sana kuomba wanawake hamna hata soni
WAPO WENGI NA NIKITABIA AMBACHO KIBAYA SANA....laiti kama mgekuwa mnasaidia hata ukikwama na mwanamke anajua finca umekwama na huwaga na wewe unampa siajabu kukupa ila isiwe tabia we kila siku unaomba afu mbaya zaidi unaenda kunywa bia na washikaji zako
 
Wengine wanaomba hela balaa, ukigusia mbunye, anakwambia mpaka baada ya ndoa, au bado nakuchunguza.

Sa hamu tukatolee kwa nani?
 
Unategema nini kwenye uzinifu? umpatishe dhambi za bure? si bora awe na sababu kuwa alifanya dhambi kwa shida zake.

Zinaa ni uchafu, ndio huo sasa, na inatia ufukara na umaskini.

Oaneni mkae na wake/waume zenu kihalali muwache kulalamika.

Maneno yako yatapata upinzani ila HUU NDIO UKWELI...
Dhambi moja huzaa nyingine na mshahara wa dhambi ni mauti...
Zinaa mbaya...
 
Kama unazo unampa tu, mimi hata huwa siwazi.....!! Ndio mapenzi yenyewe.
 
naona nduguyangu wewe unakwenda mbali kwani ukioa na akawa mkeo huwezi kumpa yale hayatakayo toka kwako mpaka uonje kwanza ndipo ujue ladha ikoje

je hujui kuwa mshahara wa dhambi ni mauti na je hufahamu kuwa zinaa ni dhambi na inayoleta maangalmivu maishani mwako, hebu fikiria, chukua hatua na amua sasa kuokoka utubu dhambi zako
Wengine wanaomba hela balaa, ukigusia mbunye, anakwambia mpaka baada ya ndoa, au bado nakuchunguza.

Sa hamu tukatolee kwa nani?
 
unajua kwa mwanaume mwenye akili na anae jali lazima atakupa hata kama hujamuomba cse anajua kuna garama kama mpenzi wake lazima aingie


kiukwel na mwanaume HALISI hasubir aombwe akili kumkichwa na mwenzi wako anajua unajitoa kwake kiasi gani.. hata nami ntakuwa na furaha nikitoka nakurudia na zawadi ya BOXER maana wengi hapa pagumu teh teh (sio wote jaman msinirushie mawe)
 
Back
Top Bottom