Nachukia kusema hivi ila inabidi

Nachukia kusema hivi ila inabidi

We hizo pesa unazoombwa umepewa na babako?

Alinizaa,akanilea, akanisomesha akanifundisha maisha....he is a source of everything in me. Na huyu anayetaka nimfanyie anayostahili kufanyiwa na mzazi wake ilihali ana baba yake ni kunipa majukumu yasiyonihusu.
 
hahaa mwanaume anaejua majukum hasubiri kuanza kuombwa omba omba.........

anajua kua kuna tymes my girl ana needs zake...ila kuna wadada nao wamezidi vibomu

Shida inakuja hapo....pengine mwenzio ana kazi tena inayomlipa kuliko wewe lkn hata mkitoka outing hakuna kinachomuhusu hata kidogo.....wengine tunajuana maofisini analipwa kuliko mimi bado ni yale yale....kuanzia mafuta kw gari/Nauli ya daladala, chakula kinywaji, malazi,,,,.....huwa nachoka aisee na hiyo ni mizigo...Labda awe mama wa nyumbani au huna kazi itaeleweka.
 
Alinizaa,akanilea, akanisomesha akanifundisha maisha....he is a source of everything in me. Na huyu anayetaka nimfanyie anayostahili kufanyiwa na mzazi wake ilihali ana baba yake ni kunipa majukumu yasiyonihusu.

Haujajibu swali, wewe hizo pesa unazoombwa umepewa na baba yako?
 
Shida inakuja hapo....pengine mwenzio ana kazi tena inayomlipa kuliko wewe lkn hata mkitoka outing hakuna kinachomuhusu hata kidogo.....wengine tunajuana maofisini analipwa kuliko mimi bado ni yale yale....kuanzia mafuta kw gari/Nauli ya daladala, chakula kinywaji, malazi,,,,.....huwa nachoka aisee na hiyo ni mizigo...Labda awe mama wa nyumbani au huna kazi itaeleweka.
mkuu acha tu wakati yuko single hivyo vyote anajiwezesha now kakupata kakugeuza sacos jamani mabinti muwe na hurumaa
 
You must be very selfish Mkirua
mkirua anaongea kweli....japo sio jibu zuri kwamba yeye si baba ake ila ni mchumba ake.TATIZO WADADA HAWAJUI HATA JINSI YA KUKUOMBA MAANA UTAKUTA ANAOMBA 20 KESHO KUMI MARA KESHO KUTWA 30 OMBAA LAKI NNE AU TANO KWA MWEZI AFU PIGA KIMYA MPE JAMAA NA YEYE MUDA WA KUFANYA MAISHA MENGINE
 
kujiombeleza kupita kiasi ni ishara ya uvivu, amepataje nawe umekosaje!! sawa kuna kutindikiwa ila sio too much kilio khaa..!!

utampata mwenye hasira, kelebu moja tu hutorudia tena..
HAHAHA duh kelebu tena...afu sasa ukimwambia huna huo mnuno mpaka umtimizie.sometime wanaume sio wabaili wala sikwamba hawapendi kukupa ila wewe HATA SIKU MOJA KATIKA MWAKA UMEONA HATA KASHATI CHA KUMDUWAZA UNASHINDWA KILA SIKU WEWEE TU AAAAAAAAAAAH
 
mkirua anaongea kweli....japo sio jibu zuri kwamba yeye si baba ake ila ni mchumba ake.TATIZO WADADA HAWAJUI HATA JINSI YA KUKUOMBA MAANA UTAKUTA ANAOMBA 20 KESHO KUMI MARA KESHO KUTWA 30 OMBAA LAKI NNE AU TANO KWA MWEZI AFU PIGA KIMYA MPE JAMAA NA YEYE MUDA WA KUFANYA MAISHA MENGINE

Sasa kama mkiwa nae unatumia more than 50 at pa kuna tatizo gani akikuomba 10 leo, 30 kesho, 15 keshokutwa n.k na ukizijumlisha hazifiki hela mnazotumia mkiwa wote outing moja tu, Hakuna mwanamke atakuomba hela ambayo hauna uwezo nayo labda kama ulikuwa unamdanganya au unakopa wakati mnatoka nae.

Halafu mbona na sisi tunawapiga mizinga???
 
Wasichana wengi wakiwa na mpenzi wanamuona pia kama mtu wa karibu wa kuwatimizia financial needs zao,wengine wanamchukulia mwanaume kama kamradi kadogo.wanaomba bila kujali mwenzake anaweze kuwa anajikamua kiasi gani
 
You must be very selfish Mkirua

Hahahaaa.... Kwa hiyo unataka tushee "keki ya familia sio?"

Inaboa bana kuhudumia jitu zima kama mtoto mchanga....tupigane tafu sio awe dependent 100% tena siku 2 tatu baada ya kujuana ndo unanibwagia mizigo yote ya kwenu?
 
sasa kama mkiwa nae unatumia more than 50 at pa kuna tatizo gani akikuomba 10 leo, 30 kesho, 15 keshokutwa n.k na ukizijumlisha hazifiki hela mnazotumia mkiwa wote outing moja tu, hakuna mwanamke atakuomba hela ambayo hauna uwezo nayo labda kama ulikuwa unamdanganya au unakopa wakati mnatoka nae.

Halafu mbona na sisi tunawapiga mizinga???
mkuu iyo kuomba ombaa ndo nomaa
 
Mtaani kwetu wanawake kama hao twawaita Matonyagals. Wanakera ile mbaya, mtu uko bize na majukumu ya binafsi na ya kitaifa mara inaingia txt, baby, simu yangu haiwaki, ooh, sandals zangu zimechoka, sijui.. wkend hii nataka niende saloon fulani, bei ni kuanzia elfu 40... yaani full vurugu. Hayo mambo yoote unatupiwa ndani ya wiki moja.. Arrgh! Nadhani solution ni hivi, ukishamega tu, chapa lapa, vinginevyo sindano zitakuzeesha mapema.... Ushauri kwa wanawake, kama K ni bidhaa funguweni duka na mwende TRA wawape EFD, itakuwa poa. Zaidi ya hapo, fanyeni kazi na mjifunze kujitegemea, vinginevyo mtakuwa mnamegwa hovyo hovyo, maana kila ukihitaji kwenda saloon, itabidi upige mzinga na anayepigwa hatakubali atoke hivi hivi, lazima pichu ivuliwe na dushelele lizame kwa papuchi. Sasa je, utawavulia wangapi?

Tafakari.... Chukuwa Hatua
 
Back
Top Bottom