Bijang
JF-Expert Member
- Oct 13, 2016
- 409
- 802
Wakuu
Nipo home 77 hii mapunziko, namuangalia kupitia television yake Nabii Mkuu Mh. Dr. Geor Davie, anayepatikana mkoani Arusha ambapo anapaita kanisani kwake kama Chuo kikuu cha manabii.
Aisee huyu mtu ana hela, anasema tathimini ya mwaka huu 2023 hadi kufikia tar 30/6/2023 ametoa kanisani kwake kiasi cha Tsh 1,055,000,000 (Bilioni moja na milioni hamsini na tano) ikiwa ni kusaidia wenye uhitaji katika kujikimu kimaisha na michango mingineyo. Ambapo ametoa pikipiki, bajaj, friji na mitaji kwa wafanyabiashara wadogo.
Ameendelea kusema pia pamoja na kiasi hicho cha pesa, pia hadi kufikia hapo alipo toka amekua, ameshatoa magari zaidi ya 100 kwa watu tofauti tofauti akiwapa bure pasipo kuwadai.
Amedai pia fedha zake anapata baada ya kutembea nchi mbalimbali duniani, amedai angekaa kanisani asingeweza kupata fedha zote hizo.
Fedha zake ni za kutosha aisee. Hanaga michango kanisani kwake au kupitisha namba za michango kwenye tv yake.
Chanzo: 1016 GeorDavie Tv