Nabaki Afrika

Hiyo ni kweli kabisa kuwa bidhaa zao ni za ubora wa hali ya juu.

Na ndo maana bei zao zako juu kidogo kulinganisha na wengine.

Nahisi Mr. ameisoma hii thread..eti ameamka akasema atapitia Nabaki Afrika kuangalia vifaa fulani. Aisee nimemwambia twende wote baada ya kazi. Abiria chunga mzigo wako 🙂🙂 he he
 
Yaah mpk leo ananiita 'bebi,bebi'....yaani namtumia kama spea tairi...kubwa ikipata pancha natoa namweka yeye...dhambiii hizii
 
Yaani Donald Trump atawafanya wabeba box waikimbie USA kabla hata ya uchaguzi maana tumeshaona mmoja amerudi bongo na kuanza kufanya kibarua cha kuipa promo Nabaki Afrika.
 
Yaani Donald Trump atawafanya wabeba box waikimbie USA kabla hata ya uchaguzi maana tumeshaona mmoja amerudi bongo na kuanza kufanya kibarua cha kuipa promo Nabaki Afrika.

Umeonaje kuwa nimerudi bongo? We ndo ulikuja kunipokea uwanja wa ndege?

Kwani kwa mfano nikiwa Yaounde siwezi kuandika hivi nilivyoandika?

Huko USA ulishawahi kuniona? Kama huwa nadanganya nipo USA na huku nipo tu huku Mbezi chini wewe unalijuaje hilo?

Hakuna anayejua nilipo na hakuna anayejua ninapoishi humu.

Acheni kujifanya wajuvi wa mambo.
 

Kweli Miafrika ndivyo tulivyo.
 
TZ Baby!!!!!!
 
Arusha jinsi ilivyo ya kingese.. Barabara finyu,kuchafu,wavivu wengi, ulevi wa viroba kwa vijana mda wote. In short Arusha is the worst katika majiji maana hata mipango miji haipo. Moshi is far better than Arusha and Dar ni mara dufu ya Arusha.
 
Usitokwe povu kiongozi. Twende taratibu. Kama dawa inakuingia kaa kimya tu..
 
Vijana wa Arusha wanachekesha...a little exposure would help guys!
Hapo umepatia , mimi pia natokea arusha. Nilipozunguka hii tanzania na baadhi ya maeneo mengine nilipona ushamba wangu na uarusha wangu
 
Kaka Nyani Ngabu maua ya hapa kwa mkoloni wangu hayafui dafu kwa totoz wa Nabaki Afrika?

Mzee Mtambuzi...za siku mbili tatu?

Hata ya hapo, kwa yale niliyoyaona (hususan) yale mawili...si haba. Machoni yanapendeza.

Ilikuwa ni bahati mbaya tu nikamkosa kosa 'Dada' lakini naahidi kurudi tena ili niweze kupata picha kamili.

Usije shangaa nikaja kuwa mdau wa kudumu Kama nilivyo hivi sasa kwa Nabaki Afrika.
 

Wanauza nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…