Nabaki Afrika

Honestly nilivyoona heading halafu MMU nikajua umeamua kubaki bongo kwa sababu ya totos.......kumbe totoz za NABAKI AFRIKA!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pale ukienda kuchukua bati zako za kutosha ndio watakuelewa hao warembo si unaona mbeba box hadi kafungua thread.

Nilienda pale kununua bath tubs na bathroom sinks. Nilipoenda kwenye Accounting kulipia nikatoa CapitalOne Platinum card ili nichanje....kimdada kikanambia kwa bill kubwa namna hiyo nilipie kwa pesa taslimu tu.

Basi kakaiangalia hiyo kadi yangu....kakaniangalia na mimi...kakaanza kutabasamu tu.

Msukuma nikachukua namba......now stay tuned for the next episode which will be live from Spur Steak and Burgers......
 
kwa hiyo mkuu huwa unarudi pale kununua BIDHAA au MBUNYE?
 
Unaongelea ofisi yao hii ya Mikocheni kama unaenda Cocacola?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…