Naamini mume wangu nitampata kupitia jf

Naamini mume wangu nitampata kupitia jf

Valentina sijui nije pm

naomba usimlize kaka plz he deserve the best si unakumbuka lakin what hapen dah natamani kuwaanzishia uzi jamani nimefurahi sana sikujua mambo yalikuja kuwa mazuri hivi

Taratibu mama
 
Too much tribalism!!! Katika karne ya leo haya sio mambo ya kuyapa kipauumbele sana,by the way just because hujampata unaempenda ukimpata umpendae hata swala ka kabila huwezi kukumbuka
 
Valentina sijui nije pm

naomba usimlize kaka plz he deserve the best si unakumbuka lakin what hapen dah natamani kuwaanzishia uzi jamani nimefurahi sana sikujua mambo yalikuja kuwa mazuri hivi

Don't wory my wii! Kaka yako hapa amefika,full kubembelezana kwa mahaba ya juu kwa penzi lisilo na kikomo. Maumivu yote kwisha yamebaki historia tuuu.
 
Don't wory my wii! Kaka yako hapa amefika,full kubembelezana kwa mahaba ya juu kwa penzi lisilo na kikomo. Maumivu yote kwisha yamebaki historia tuuu.

mamiii enjoy to the fullest

mkitaka kuhalalisha naomba usinisahau my wiii kwa kweli ninastahili kuja kushuhudia

that is true love nilikuwa nasikiaaga stor tu
 
Sawa wewe mtafute mchaga mwenzio lakini sisi wangoni endelea kutupa papuchi kama Kawasaki, mie nimekuelewa vizuri maana kaka zako {mango}huwa bize sana na kutafuta pesa kuliko kupiga pipe mkewe kinachofuata hapo ni kugawa kwa sisi wangoni, ndio maana kina mangi wanabambikiwa watoto na mwishowe kujiua au kupiga bastola mkewe
 
Nilivyomuelewa ni kwamba alikuwa na mume, wakaachana, sasa anamtafuta huko alipo kupitia JF, na kwa kuwa si rahisi kuweka jina lake halisi humu, ameamua aweke wasifu wake mfupi kama vile umri wake, mwaka aliomaliza chuo, kabila lake na kabila la huyo mume wake! Jamaa, jitokeze umrudie mkeo wa zamani!

MKUU pamoja sana mawazo yako ni kama yakwangu aisee utajaye rudia kusoma Uzi zaidi ya Mara 3 atakubaliana na ww??
 
Wadau nadhani mei moja imekwisha,mimi lwa ufupi ni msichana nina miaka24 nimemaliza chuo mwaka jana nipo mtaani nafanya biashara ndogo ndogo,me ni mchaga mmarangu, katika mipango yangu ya maisia nadhanh huu ni wakati wangu wa kuanzisha familia na kupanga maisha mengine,nadhani mume wangu yupo humu,ni wa kabila langu sio mbali na nilipozaliwa hvyo naomba ajitokeze tuwasiliane au tukutane,me naishi mwanza na tarime kwa sasa kwa sababu ya biasiara yangu,

nadhani mmenielewa ,
Huyu hapa
Kwa kifup mim nikijana wamiaka 26,nimemaliza chuo ila ni mjasiria mali.mchaga natafta mke wa kumpenda,kumbembeleza na wakunidekea!awe mmarangu au kabila lolote.
 
Tatizo huyu dada anaubaguzi anataka mtu wa kabila lake mimi ni MGOGO lakini yeye anataka mchaga mmarangu nahisi fursa hii nimeshaikosa.Au sijui ni mdanganye kuwa mimi ni mchaga mmarangu.Maana Sasa Huku Nikubaguana.
Muulize anachokipenda huko labda unaweza kuwa nacho....
 
Valentina sijui nije pm

naomba usimlize kaka plz he deserve the best si unakumbuka lakin what hapen dah natamani kuwaanzishia uzi jamani nimefurahi sana sikujua mambo yalikuja kuwa mazuri hivi

what happened....
 
Wadau nadhani mei moja imekwisha,mimi lwa ufupi ni msichana nina miaka24 nimemaliza chuo mwaka jana nipo mtaani nafanya biashara ndogo ndogo,me ni mchaga mmarangu, katika mipango yangu ya maisia nadhanh huu ni wakati wangu wa kuanzisha familia na kupanga maisha mengine,nadhani mume wangu yupo humu,ni wa kabila langu sio mbali na nilipozaliwa hvyo naomba ajitokeze tuwasiliane au tukutane,me naishi mwanza na tarime kwa sasa kwa sababu ya biasiara yangu,
nadhani mmenielewa ,

Mawacliano plz
 
Hivi wewe nadhani unakurupuka mno kwani umri kama huo bado kabisa unahitajika kimasomo kwa nini usiendelee kwanza kusoma?
 
Back
Top Bottom