Mjamaa1
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 7,837
- 6,281
Wadau nadhani mei moja imekwisha,mimi lwa ufupi ni msichana nina miaka24 nimemaliza chuo mwaka jana nipo mtaani nafanya biashara ndogo ndogo,me ni mchaga mmarangu, katika mipango yangu ya maisia nadhanh huu ni wakati wangu wa kuanzisha familia na kupanga maisha mengine,nadhani mume wangu yupo humu,ni wa kabila langu sio mbali na nilipozaliwa hvyo naomba ajitokeze tuwasiliane au tukutane,me naishi mwanza na tarime kwa sasa kwa sababu ya biasiara yangu,
nadhani mmenielewa ,
Mnaingia Millenia Mpya umepanda basi la makabira? Kabila lina maana gani karne hii? Loh! !! Shame on you!!