Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Ifike wakati wasichana tupunguze viherehere vya kuolewa....
Heshimu maamuzi ya mwenzako dada!
Ifike wakati wasichana tupunguze viherehere vya kuolewa....
Ngoja vakuichwe
My dia 24 unataka kuolewa...aiseeeeeeeee :A S 13::A S 13:
Fanya kwanza pilika zako mi nahisi ni mapema mnooo .....utazeeka kabla ya muda...
yani mi nikiwa miaka 24 nilikuwa nawaza kitu cha kunifikisha mbali kimaisha,wewe unawaza ndoa,Fikiria vizuri nahisi umekurupuka
bahati ya wazi hii..
ila kwa bahati tayari ninae mke wangu 'Valentina'
Ifike wakati wasichana tupunguze viherehere vya kuolewa....
Wadau nadhani mei moja imekwisha,mimi lwa ufupi ni msichana nina miaka24 nimemaliza chuo mwaka jana nipo mtaani nafanya biashara ndogo ndogo,me ni mchaga mmarangu, katika mipango yangu ya maisia nadhanh huu ni wakati wangu wa kuanzisha familia na kupanga maisha mengine,nadhani mume wangu yupo humu,ni wa kabila langu sio mbali na nilipozaliwa hvyo naomba ajitokeze tuwasiliane au tukutane,me naishi mwanza na tarime kwa sasa kwa sababu ya biasiara yangu,
nadhani mmenielewa ,
Re: Naamini mume wangu nitampata kupitia jfIfike wakati wasichana tupunguze viherehere vya kuolewa....
Huku wasanii ni wengi . Angalia usijetolewa bikir a ukabaki unalia na moyo wako
Bikra hutolewa mara ngapi?
teamkipururu wapo wap leo