thinky
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,121
- 267
Hahahaha u made my morning...team kipururu!!!. Haha
siwaoni hawako serious na fursa
Hahahaha u made my morning...team kipururu!!!. Haha
Hahahaha u made my morning...team kipururu!!!. Haha
Ulipaswa kuanza na neno "tirima"
Ifike wakati wasichana tupunguze viherehere vya kuolewa....
Ifike wakati wasichana tupunguze viherehere vya kuolewa....
Yaani wewe ndo chenga kweli, unamuongopea mwenzako azeeke kama wewe bila ndoa? Kila mtu ana mipango yake, na haiwezi kufanana... Acha kumwingiza chaka mwrnzio!
Wadau nadhani mei moja imekwisha,mimi lwa ufupi ni msichana nina miaka24 nimemaliza chuo mwaka jana nipo mtaani nafanya biashara ndogo ndogo,me ni mchaga mmarangu, katika mipango yangu ya maisia nadhanh huu ni wakati wangu wa kuanzisha familia na kupanga maisha mengine,nadhani mume wangu yupo humu,ni wa kabila langu sio mbali na nilipozaliwa hvyo naomba ajitokeze tuwasiliane au tukutane,me naishi mwanza na tarime kwa sasa kwa sababu ya biasiara yangu,
nadhani mmenielewa ,
we umeoa/umeolewa? kama ndio, ulioa/kuolewa na miaka mingapi?24 Unataka aendelee kupuyanga mitaani?
Huo ni mida muafaka wake kuolewa ajenge familia ww kama unasubiri ndoa za uzeeni mwachie mwenzio aanze maisha yake mapema.
we umeoa/umeolewa? kama ndio, ulioa/kuolewa na miaka mingapi?
bora wenye viherehere vya kuolewa kuliko wenye viheerehere vya kugegedwa gegedwa hovyo