Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,042
Kabisa ingiza yote humo,wala usijali. Utairudisha vizuri tu. Hiyo kwanza itakufanya kujituma kwa ajili ya hilo duka,akili zote utawekeza hapo. (Kumbuka wakati unajituma kwa ajili ya hilo duka,ndio unatengeneza brand yako iwe kubwa na wateja pia).Isitoshe itakufanya ujue hela ya mkopo iko wapi,kuliko ukaiweka huku na kule kwenye biashara isiyo na uhakika 100%. Ni kosa kubwa kuingiza hela ya mkopo kwenye biashara isiyo na uhakika 100%. Namaanisha mahindi huna uhakika kama hayatashuka au hayatazuiliwa kutoka nje ya nchi. Hilo duka unalifahamu tayari. Namaanisha unajua unajua linaingizaje hela,linatembeaje,linaendeleaje. Hizo biashara zingine bado hujui,una bahatisha tu. NASISITIZA TENA MUDA MWINGI MALIZIA HAPO DUKANI,NGUVU KUBWA IWE HAPO. HAPO NDIO MAHALA PAKO PA KUTOKEA,NIAMINI. ACHA HIZO TAMAA ZINGINE ZA BIASHARA ZINGINE,KABLA HUJAIFIKISHA MAHALA PAKE HIYOBig up mkuu nimekupata vyema. Je unahisi nitakuwa sahihi pesa yote ya mkopo kuingiza kwenye biashara moja.