Na mimi naweza............

Mpasuajipu

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
836
49
03_11_aq19fn.jpg


Hii imekaeje? hapa mkuu anaonekana akipata maelekezo fulani kwa mtaalam kutoka China.
 
Mwaka huu tutaona vituko vingi sana kupitia huyu jamaa!:ranger:
 
JMK ni "presentable" hakuna ubishi, ana "personality" siyo ya kawaida. Uchadema n Uccm tuweke kando, hivi JMK na Slaa, mnhhhh? hata kuuliza nashindwa.
 
majimshindo naanza mapema kabisa kupata shaka nawe. unaposema mtu presentable wamaanisha nn? ktk lipi?
 
03_11_aq19fn.jpg


Hii imekaeje? hapa mkuu anaonekana akipata maelekezo fulani kwa mtaalam kutoka China.

Haya ndiyo anakalia lakini hawezi kutulia kutatua matatizo ya Watanzania. Kama hakuna vituko hivi basi utasikia kapanda pipa kaenda kwa Gbagbo.
 
Kuna watu humu wameanza kutaka kutuvuta taratiiibu eti kuzungumzia personality !!Wewe inakusaidia nini?kama ni prezentabo mbona hujampa mkeo!!!siasa iache na siasa ila kutimiza mambo ya kitaifa ni jambo lingine!!Walinganishe na slaa katika utashi na kujua mabo au kielimu na zaidi kiuzalendo.Msituletee za kuleta
 
JMK ni "presentable" hakuna ubishi, ana "personality" siyo ya kawaida. Uchadema n Uccm tuweke kando, hivi JMK na Slaa, mnhhhh? hata kuuliza nashindwa.
Nakubaliana JMK ni photogenic, anapenda sana kupigwa picha, inanikumbusha wakati napiga picha ninajidai kunywa fanta ambayo haijafunguliwa tehete etehete tehete :washing:
 
inamsaidia nn??
Anataka kuja kututambia? Au kuwakarisha kuwekeza? Na kuna umuhimu gani wa kukaa mle? Anaonyesha utofauti gani na mtoto??
Haya mambo ya kim...s,au anataka kuwatangazia biashara na atalipwa????
............?
..........?
...........?
Nk
 
Hayo ni mandege low quality Shenyang J-5 amabo ni wizi wa ndege mig 17 toka russia miaka hiyo ya 1950s.Wachina walizoea kuiba technology za Warusi kuigilizishia ndege.Warusi wakawashtukia Zamani wakawatosa.Hapo lazima ni Ngerengere kwenye base yenye mandege ya Kichina.Warusi walileta Ndege Mwanza (MIG 21) baada ya kuona wachina wananyemelea waibe technology wakachimba zao.bongo tungekuwa wajanja tungenunua MIg 29C hivi
 
03_11_aq19fn.jpg
huyu mzeeeeeeee nimuuza sura to hana lolote.......................................................................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom