Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu.
Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno
Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa shukuru mtoto wako akija kuleta binti wa kutaka kuja kumuoa kwasababu kwa hali ya sasa vijana wengi wanazidi kuleft, pili punguza ujuaji wa miaka yetu ya kutaka kuoa binti ambae hana mtoto, kwa miaka ya sasa na kuendelea itakuwa ngumu sana kukuta binti mwenye 21+ hana mtoto,