aliingiaje nchini?
Mkuu hii habari ya kweli??!!
Mi natafuta shamba boy nyumbani kwangu ukimuona tena mpe taarifa kuna mifugo pia inahitaji kuhudumiwa nitamtoa vizuri tu hata ikibidi nitampa banda la uwani awe analala mazee!!
Duuh huyu jamaa kweli ni omba omba maana mimi nilishakutana naye kama miezi mitatu iliyopita pale Kisutu ilipokuwa stand ya mabasi... Nilikuwa kwenye gari namsubiri jamaa yangu mmoja akaja akanigongea dirisha... Nikamfungulia, akanisalimia na kuniuliza kama nazungumza kizungu, nikamjibu ndio... Akanipa story kama ya jamaa alivyosema kuwa cards zake sijui za Bank of America zimekuwa blocked ilibidi awasiliane na bank huko USA...
Kwa kuwa alijitambulisha anatoka USA na mimi ndio nimerudi toka huko sio muda mrefu sana nikamuonea huruma... Bahati mbaya siku hiyo ilikuwa ni holiday huko USA kwa hiyo na Embassy yao hapa imefungwa... Aliniomba buku 10 au 15 for some few days mpaka dada yake ametumie hela... Nikampa buku 5 ingawa nilikuwa na mashaka sana... Kumbe jamaa ni zuuuuga.... Nitakutana naye tuuu siku nyingine nitamtoa nishai...
Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha
Mimi nimeandika hapa hapa watu wakaja na lawama kuwa kwanini unamsema ,niliandika hivyo nikitaka kujua kama huyo mtu anashida ya muda au pia kujua kama amewa matonya wana jf wengine,lakini loh imekuwa kama nimechokoza nyuki,ilikuwa kama natoa tahadhali vile ingawa nilimpa buku 2Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha
si asavali hao walikupigia Hotel Carifonia ukabadilika tofauti na huyu jamaa yetu anakuwa sopu kama muungwana vileHii inaweza kuwa kweli,, maana kuna siku Wafilipino wawili walipanda daladala mitaa ya NBC na magitaa yao, me nilidhan wametokea Zanzibar, kumbe bwana wakaanza kutumbuiza masong ya kwao kisha wanapitisha kofia ili wachangiwe!!! daah walipopiga kitu cha HOTEL CARIFONIA Ilinibidi nitoe 200 yangu... Walipofika mnazi mmoja wakamshukuru konda then wakashuka.
Mkuu hii habari ya kweli??!!
Sikuona questionnaire wala devise yoyote ya F2F interview ya kubom hela, loh tafiti zingine chibokoHuyu Jamaa alikuwa anafanya Research. Kwa kukuomba wewe alikuwa anakusanya DATA kuhusu Umaskini Tanzania. Je ni kweli mnaishi chini ya Dola moja kwa siku? Baadaye ataAnalyis atapata Findings zake. Hongera kwa kuwa part ya Research yake.
duuh huyu jamaa kweli ni omba omba maana mimi nilishakutana naye kama miezi mitatu iliyopita pale kisutu ilipokuwa stand ya mabasi... Nilikuwa kwenye gari namsubiri jamaa yangu mmoja akaja akanigongea dirisha... Nikamfungulia, akanisalimia na kuniuliza kama nazungumza kizungu, nikamjibu ndio... Akanipa story kama ya jamaa alivyosema kuwa cards zake sijui za bank of america zimekuwa blocked ilibidi awasiliane na bank huko usa...
Kwa kuwa alijitambulisha anatoka usa na mimi ndio nimerudi toka huko sio muda mrefu sana nikamuonea huruma... Bahati mbaya siku hiyo ilikuwa ni holiday huko usa kwa hiyo na embassy yao hapa imefungwa... Aliniomba buku 10 au 15 for some few days mpaka dada yake ametumie hela... Nikampa buku 5 ingawa nilikuwa na mashaka sana... Kumbe jamaa ni zuuuuga.... Nitakutana naye tuuu siku nyingine nitamtoa nishai...