Mzungu Omba Omba ndani ya Dar

Mzungu Omba Omba ndani ya Dar

Siku nyingine ukikosa nauli usitembee hadi Mwenge, kuna umbali wa kutosha. Subiri daladala ifike, piga debe kuita abiria, halafu dandia mlangoni, konda atajua wewe ni 'staff' !

Du mkuu unambinu kali.Lakini hiyo style itakua ngumu kwa mabitoz.
 
Mkuu una uhakika huyo ni mzungu au ni zeruzeru? Mimi nilikutana na Zeruzeru akaniomba msaada jana. Asije akawa ni huyo huyo!!
 
Jana nilikuwa najipitia zangu,nilipita pale kwenye jengo la NSSF(AKIBA)nikasimamishwa na mzungu mmoja mtu wa makamo kavalia nadhifu ,akaniuliza samahani unajua kiingereza nikasema ndio ,loo ikawa nimechokoza nyuki akaanza kuniambia ana matatizo na dada yake ,hadi sasa kaishiwa hela anaomba nimsaidie hata elfu kumi au hata elfu tano nikasema sina hiyo hela mwishowe nikamuachia elfu mbili akasema mungu akubariki ,lakini nina wasiwasi na huyo mtasha asije kuwa muongo,lakini hii ni Bongo huenda nitaonana naye tena na akaniomba kwa sababu zilezile

Watu wengine Bwana, sasa kama ulitoa kwa dhati na kwa ajili ya kutaka thawabu hukupaswa kujishebedua na kuleta thread hama hii
 
Hahaaa, usiogope kaka; maisha ndivyo yalivyo, na shida huja siku ya shida!!!!.....Kuna jamaa yangu ni Daktari na mjasiriamali wa kupigiwa mfano, sku tulikuwa sehem tukiongea, mara akaja bwana mdogo mmoja very rough akaomba pesa jamaa akazama kwenye mfuko wa shati na kumpa noti; alivyoondoka Jamaa akanipa mkasa; "Umemwona huyo bwana aliyetoka hapa?.....huwezi amini nilishawahi kumwomba shilingi miambili!" akiwa ombaomba hvohvo jamaa alimwomba amsaidie miambili na jmaa alimpa bila kinyongo! Ni stori ndefu, ila nachotaka kusema ni kwamba; haya maisha kibongobongo ni kizungumkuti!! Mbaya zaidi mjini ni vigumu kumjua mwenye shida ya kweli na msanii.....TUSAIDIANE KWA MOYO MKUNJUFU WAKUU!!
 
Huyu Jamaa alikuwa anafanya Research. Kwa kukuomba wewe alikuwa anakusanya DATA kuhusu Umaskini Tanzania. Je ni kweli mnaishi chini ya Dola moja kwa siku? Baadaye ataAnalyis atapata Findings zake. Hongera kwa kuwa part ya Research yake.
 
Mkuu hii habari ya kweli??!!

Mkuu chapaa sikufichi ni 100% true nikaisi ni tapeli mkubwa ndo hapo nikasema ngoja nishee na wa dada wetu hao wanaona wazungu ni wanahela mbaya na kujipendekeza kwao wale maisha kama yule role mode wao wa u-turn
 
ha ha ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,wadada kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha

atakuwa aliletwa na symbion kuja kusoma mita ya umeme watakaouzia tanzania sasa mpaka sasa hawajauza hata unit moja! Ungempelekea mh ngereja mwambie wawekezaji wako hawa na mama clinton
 
wapo wengi tu wall street
 
atakuwa aliletwa na symbion kuja kusoma mita ya umeme watakaouzia tanzania sasa mpaka sasa hawajauza hata unit moja! Ungempelekea mh ngereja mwambie wawekezaji wako hawa na mama clinton

Mkuu umenifurahisha sana.
 
Jana nilikuwa najipitia zangu,nilipita pale kwenye jengo la NSSF(AKIBA)nikasimamishwa na mzungu mmoja mtu wa makamo kavalia nadhifu ,akaniuliza samahani unajua kiingereza nikasema ndio ,loo ikawa nimechokoza nyuki akaanza kuniambia ana matatizo na dada yake ,hadi sasa kaishiwa hela anaomba nimsaidie hata elfu kumi au hata elfu tano nikasema sina hiyo hela mwishowe nikamuachia elfu mbili akasema mungu akubariki ,lakini nina wasiwasi na huyo mtasha asije kuwa muongo,lakini hii ni Bongo huenda nitaonana naye tena na akaniomba kwa sababu zilezile

Mkuu ndo huyo huyo ni mtu mzima flani hivi mrefu kiasi,swali la kwanza ndio hilo hilo kwamba unajua kingereza? au mi nahisi anafanya reasearch kwamba watanzaia wangapi kwa random space wanajua kingereza,story yake ndo hiyo hiyo ana matatizo mie aliniambia acoount yake ipo blocked na leo j5 ndo dada yake atakuwa ashamtumia hela lakin mpaka sasa inaonekana ajapata,kuna kitu anatafuta tu
 
ila nazani huwajui vizuri hawa watu hata kidogo ndio mana wasema ivo ila laiti ngeliwajua hata nukta ya undani wa mioyo yao usingeweza kuwasalimia hata salamu na ungepigana kufa na kupona asije hata mmoja kuja kuwekeza hapo nchini ila koz huwajui ndio mana wawatetea na hakuna aliyekuja hapo kutalii hata mmoja kila unayemuona hapo kuna kilichomuleta na akikipata atasepa...............hawaji hapo bila sababu za msingi hilo weka akilini

Mweh! Kumbe ndio hivyo naanza kuwachukia aiseee
 
Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha

panhandler.jpg
B2S_homelessvest033_114766c.jpg

images
81644-adam1-220x165.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom