Mzungu Omba Omba ndani ya Dar

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,602
68,508
Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha
 
Na kwa Tz tulivyokuwa na louse system waweza kukuta residential permit yake kapata kama mwekezaji:)
 
labda ni mmoja wa wale wanaotembea kuzunguka dunia na wanategemeaga kupata vibarua ili kuji sapoti sasa inawezekana hapa nchini kwetu mnajua tena vibarua ni mmmmhhh. so kwa mie siogopi na sioni nini umuhimu wa kusema vibaya wazungu etc sababu umeobwa pesa.

ningekuwa mie ningemsaiia na sio kuwa na hasira eti mzungu wakina dada tusi.... haina maana hasira weka pembeni kwani huyo kakuambia ni masikini unaweza kuta anajaribu maisha around the world kama kawaida zao na ni tajiri kuliko wewe

oyaaaaa acheni zarau ya wazungu sijui wanini sababu ndugu zetu wa kike wanatoka nao.
 
si atafute mahali pa kubeba box ili awaze kujikimu? kuna watu wanatafuta house boys hapa mjini
 
ndio ivo kwa watu wasiowajua hawa jamaa wanawaona wako smart sana na wako na hela nyingi sana ila kawaida sio wote wako na hela ni kama hapo tz kua kila mtu sio pedeshee mweh!...................yule dada wa u-turn ana wapoteza sana watu kibao kuwajengea kua watu wenye ngozi nyeupe ni mwisho wa matatizo ila sio ni kama bahati nasibu tu kama ambako hapo tz mtu aweza pata padeshee na mwingine kuangukia ka muuza samaki na utumbo wa kuku ..............na wengi wenye nazo ni vibabu
 
labda ni mmoja wa wale wanaotembea kuzunguka dunia na wanategemeaga kupata vibarua ili kuji sapoti sasa inawezekana hapa nchini kwetu mnajua tena vibarua ni mmmmhhh. so kwa mie siogopi na sioni nini umuhimu wa kusema vibaya wazungu etc sababu umeobwa pesa.

ningekuwa mie ningemsaiia na sio kuwa na hasira eti mzungu wakina dada tusi.... haina maana hasira weka pembeni kwani huyo kakuambia ni masikini unaweza kuta anajaribu maisha around the world kama kawaida zao na ni tajiri kuliko wewe

oyaaaaa acheni zarau ya wazungu sijui wanini sababu ndugu zetu wa kike wanatoka nao.
ila nazani huwajui vizuri hawa watu hata kidogo ndio mana wasema ivo ila laiti ngeliwajua hata nukta ya undani wa mioyo yao usingeweza kuwasalimia hata salamu na ungepigana kufa na kupona asije hata mmoja kuja kuwekeza hapo nchini ila koz huwajui ndio mana wawatetea na hakuna aliyekuja hapo kutalii hata mmoja kila unayemuona hapo kuna kilichomuleta na akikipata atasepa...............hawaji hapo bila sababu za msingi hilo weka akilini
 
Huyo ni katika wale wale wanaofanya maasi kwao wanakimbilia Afrika. Anaogopa kwenda ubalozini watamdaka. Pengine alishaiibia bank fulani kwao ndio maana account zimefungwa. Inaelekea amezitumbua zote bila kuinvest kwanza hahahhaha imekula kwake. Sio wazungu wote wana maisha wengine matapeli tu
 
Hayo maneno yamenichekesha sana ..haa haa haaa
Ha Ha Ha wadau leo nimekutana na mzungu akanipiga mzinga ili aweze kusukuma siku hadi j5 ambapo dada yake atamtumia hela kutoka marekani kwa madai eti account yake imeblockiwa,Nikamtell live kwamba sina kitu kwa kumsaidia tu nikamwambia nenda ubalozi wa marekani pale watakusaidia tu kwa kuwa ni raia wao,Wadada Kuweni makini sio kila mzungu ana hela ili mkaringishie nao u-turn wengne ni magumashi tu,matapeli ha ha ha ha ha ha
 
Jana nilikuwa najipitia zangu,nilipita pale kwenye jengo la NSSF(AKIBA)nikasimamishwa na mzungu mmoja mtu wa makamo kavalia nadhifu ,akaniuliza samahani unajua kiingereza nikasema ndio ,loo ikawa nimechokoza nyuki akaanza kuniambia ana matatizo na dada yake ,hadi sasa kaishiwa hela anaomba nimsaidie hata elfu kumi au hata elfu tano nikasema sina hiyo hela mwishowe nikamuachia elfu mbili akasema mungu akubariki ,lakini nina wasiwasi na huyo mtasha asije kuwa muongo,lakini hii ni Bongo huenda nitaonana naye tena na akaniomba kwa sababu zilezile
 
Nilivutiwa kutaka kujua NSSF kwanini imetajwa, kunatolewa pesa pale !!, Lakini kumbe ni ombaomba....napita !!!
 
Yaa ok jamaa ameshakupata, anafanya research kuangalia umasikini wa kipato na ujinga wa walami wa kutokujua kuwa hawatakiwi kutoa hela kiulaini coz hawana.
 
kutoa ni moyo, hukupaswa kuja kututangazia.

AMELETA APA ILI kujua km yule mzungu tapel au?
km kuna mtu ashakutana na sampo io?

km yule bibi anatembea kuombaomba kule mikocheni kumbe ni tapel tu ana nyumba sinza uko..km aujaambia ukimwona lazima utamsaidia..so kawapa .katoa warning in case ukikutana na swaga izo...
 
Nina wasiwasi huyo mzungu atakuwa aliibiwa hivyo alikuwa hana jinsi, ilibidi aombe ili aweze kufika kwao masaki au Mikocheni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom