Mzimbabwe aua mke na watoto na kutoroka UK

Mzimbabwe aua mke na watoto na kutoroka UK

Tamaa zinaendelea kuwaponza wanawake,muheshimu mumeo u super woman hauna maana kwenye familia.Inavyoonekana huyo mama aliona mali zipo na mume hana Cha kumtisha Kwa hiyo kilichobaki ni talaka ili tugawane mali afu mali zenyewe asilimia zaidi ya 85 ni jasho la mwanaume.Mimi mwenyewe nakuwahisha ahera japo mwamba kazingua zaidi kuua watoto
 
Unakuta chanzo DNA
Huyo pimbi inaonekana alipagawa,
Alitakiwa ajimalize tu na yeye, huko kwa wazungu huchomiki, na kwanza kafanya kizembe sana kutoroka na ndege na Passport yake huku alikoaacha ameacha familia yake yote kaua
Wazungu vifo vya familia huwa suspect namba moja anaanza kuwa mtu ndani ya familia, mpaka waridhike ndio unachomoka, kwa hiyo obsviosly na yeye kukimbia tayari wamehitimisha
Zimbabwe sasa huko kwake hakutakalika lazima wajipendekeze kwa mzungu, sio muda wanamdaka na kumkabidhi
 
Lazima wamdake Hana njia ya kutokea
 
huyu mikebo ndo nani mbona kila mtu nikimpelekea moto anamtaja mkebo itakuwa anasumbua humu wavaa misalaba
Hao machoko wa JF watatosha nimerudi sasa, kumbe walikuanzishia kigodoro na wewe?
 
I wish angejiondokea zake tu kwa amani pasipo kusababisha hayo maafa, kama anavyo onekana kwenye hiyo picha.
Hivi unajua miana mike ilivyo mipumbavu!? Unakuta Jamaa ndo kampeleka Hadi UK tena kwa gharama akamsomesha na kumpatia kazi alafu baadae linaomba talaka kisa lishakaa sehemu
 
Back
Top Bottom