Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,277
- 74,038
Unahangaika na mtu from Zero to Hero, with Bloody and Pain.Tamaa zinaendelea kuwaponza wanawake,muheshimu mumeo u super woman hauna maana kwenye familia.Inavyoonekana huyo mama aliona mali zipo na mume hana Cha kumtisha Kwa hiyo kilichobaki ni talaka ili tugawane mali afu mali zenyewe asilimia zaidi ya 85 ni jasho la mwanaume.Mimi mwenyewe nakuwahisha ahera japo mwamba kazingua zaidi kuua watoto
Umefika mahali sasa unataka kunenjoy life Yule Yule mtu uliyehangaika naye anakuona kama Mavi, maneno ya dharau, na kejeli juu.
Inauma sana Ndugu zangu