secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,478
- 46,990
Sijui 😅Usambaani ni Pwani? 😂
Sijui 😅Usambaani ni Pwani? 😂
Kwa hiyo kumbe usambaani ikoWasambaa sio watu wa pwani
Wakati umemuacha sana yuko daraja la kina Msekwa na Mukama hao hawana jipyaHajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga.
Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi mgombea Urais wa CCM.
Huyu ni MwanaCCM kindaki ndaki, kada mzoefu ambaye tunamwitaji aongezee nguvu katika harakati hizi
Mtoto wake mmemtupilia mbali pamoja na kuhakikisha CCM inabaki kwenye usukani kipindi ambacho ilikuwa hatihati itupwe nje ya ulingo halafu yeye mnataka mumsumbue.View attachment 3466375View attachment 3466376
Makamba sio mtu wa pwani ,kakosea hapo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Aliongea utopia kipindi cha JPM kuwa atatubatuza kwa moto akabatizwa yeye.
Nadhani afya yake itakuwa sio nzuri kuna kipindi alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa machoKasusa hadi January arejeshwe.
Binadamu huwa hatosheki, kama King Msoga hajatosheka ndiyo atosheke January.Kwani Si- ccm imeshamtajirisha alichokipata kinatosha
🤣🤣 Dah !!Binadamu huwa hatosheki, kama King Msoga hajatosheka ndiyo atosheke January.
Wasambaa ni Wapare waliopooza.Mbona wanasema ni msambaa
Hamna bwana sisi CCM huwa tuna busara sana tunajiachia tukuna uzi uliwahi kuletwa humu kuwa 2030 wazee wanavurugana sana
Nadhani afya yake itakuwa sio nzuri kuna kipindi alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa macho
Mkuu Chizi Maarifa huyu mzee huko aliko kama kasoma hii thread yako atakuwa kaachia bonge la msonyo na tusi juu! Mwanae mpendwa wamemtemesha ulaji unafikiri atakuwa na huo mzuka wa kupanda jukwaani kumnadi mgombea wa CCM?!
😂😁😂😁Kasusa hadi January arejeshwe.