witzone2
JF-Expert Member
- Jan 14, 2022
- 780
- 1,633
Kuna mgogoro wa ardhi baina ya wilaya Serengeti vs Bunda katika vijiji vya Mekomariro kilichopo Bunda na remng'orori kilichopo Serengeti.
Kisa kikiwa ni kugombania mpaka. Mgogoro huu umedumu takriban miaka 8 Sasa. Watu wanauana mara Kwa mara. Lakn serikali ya mkoa imeshindwa kulitatua.
Mwaka huu waliweka vigingi kuonesha mipaka yake ambayo ilisimamiwa wakuu wa wilaya zote mbili. Na mgogoro ukawa umeisha.
Sasa juzi Tena watu kutoka Kijiji cha remng'orori wamevamia Tena na kuanza kujenga zoezi likisimamiwa na Mkuu wa mkoa. Na hii ni baada ya watu kwenda Kwa Mkuu wa wilaya ya Bunda kulalamika akawambia Hilo swala liko mkoan na hawezi kulizungumzia
Siku Mkuu wa mkoa amefanya mkutano eneo la mgogoro alionesha kupendelea watu wa Serengeti kwa kuwambia watu wa Kijiji cha Mekomariro kumpatia watu wa serenget ekari 50. Kitu ambacho watu wa Mekomariro walimuambia kuwa labda awapeleke wote mahabusu.
Mgogoro ulikuwa umekwisha na maaskari Toka wilaya zote walikuwa pale Kila siku Kwa kuangalia Hali ya usalama. Lakni Kwa Sasa wameondolewa wa wilaya ya Bunda Kwa amri ya Mkuu wa mkoa na watu wa remng'orori wanajenga Kwa speed wakiwa wamesimamiwa na askari Toka wilaya ya Serengeti.