Mzee Warioba aanguka Jukwaani!

Mzee Warioba aanguka Jukwaani!

Twendeni

Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, mezee Warioba akiongea ameanguka jukwaani akitoa mada kuhusu katiba na Muungano.

Haijulikani sababu.ya kuanguka. Yupo Serena Hotel.Maombi yenu wadau.

Iteni ambulance apelekwe hospital, ninyi hamna uwezo wa kupa huduma.

Tayari amesimama, hope atakuwa sawa

Chuma kipumzike sasa... Imetosha.
 
Watanzania ni wapumbavu sana..nini ambacho Mzee Warioba hajakisema? Hakuna haja ya kusumbua Mzee na umri huo..vijana chukua hatua, acheni Mzee Warioba abaki kwake apumzike, mnamualika alika aje aseme nini vyote alishasema, fanyia kazi yale alishasema you idiots!
WAzee kama hawa tunahitaji ushauri wao wauseme mara kwa mara.kuanguka hiyo ni kawaida kwa mtu ukiwa na umri mkubwa kama wake.Hata wewe inaweza kukukuta
 
Watanzania ni wapumbavu sana..nini ambacho Mzee Warioba hajakisema? Hakuna haja ya kusumbua Mzee na umri huo..vijana chukua hatua, acheni Mzee Warioba abaki kwake apumzike, mnamualika alika aje aseme nini vyote alishasema, fanyia kazi yale alishasema you idiots!
Twende kwanza Zanzibar tukazike, mengine yatajulikana baadaye. Ila hadi kufikia 2030 wanaccm watauana sana.
 
Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, mezee Warioba akiongea ameanguka jukwaani akitoa mada kuhusu katiba na Muungano.

Haijulikani sababu.ya kuanguka. Yupo Serena Hotel.Maombi yenu wadau.

Iteni ambulance apelekwe hospital, ninyi hamna uwezo wa kupa huduma.

Tayari amesimama, hope atakuwa sawa

Apumzike tu umri umeenda hii dunia wote tunapita.
 
Yaliyojiri
1788778732281.png

1788778662020.png

1788778615368.png
 
Kwanza pole mzee Warioba

Lkn tunasikia uko hospital kagoma kuzinduka
Mpaka aende Yule Cheupe Tibaijuka akamshike mkono❗️❗️
 
Apate unafuu mapema , wasije kuwa wamecheza rough hao vibaka wa CCM ukizingatia huo mkutano maccm yalikuwemo hapo wakiongozwa na zee la hovyp Wasirra Zinjathropus.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom