..aseme mara ngp? wewe umefanya nini kwa anayoyasema..kusema mara kwa mara ndio mambo yanatendeka yenyewe? yeye alishafanya sehemu..tekeleza! Mwacheni apumzike..kwa nini bc hata wasifanye hybreed meeting ili aongee akiwa nyumbn kwake amekaa..? Mnamkutanisha na watu huo mchanganyiko wengine wachawi humo, wafuga majini..mtu wa umri wake si sawa kumuweka hapo! STOP..! Km mmeshindwa kufanya aliyokwishasema mara nyingi..pambaneni kwa vitendo na hao wasiotaka kuyatekeleza.WAzee kama hawa tunahitaji ushauri wao wauseme mara kwa mara.kuanguka hiyo ni kawaida kwa mtu ukiwa na umri mkubwa kama wake.Hata wewe inaweza kukukuta
No..!Mzee Warioba hayuko hivyo, tunamfahamu..!Yeye mwenyewe huyo Mzee ndo anavyotaka.
Vipi Mzee anaendeleaje?Namuombea sana maana ndiye Mzee pekee aliyebaki mwenye akili.