Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,147
- 26,466
Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, mezee Warioba akiongea ameanguka jukwaani akitoa mada kuhusu katiba na Muungano.
Haijulikani sababu.ya kuanguka. Yupo Serena Hotel.Maombi yenu wadau.Iteni ambulance apelekwe hospital, ninyi hamna uwezo wa kupa huduma.