Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,500
- 7,428
duh, hebu nifafanulie kidogo hayo mafuta ya radi ndio yakoje, ndio wanayotia kwenye simu nini kupata vibration?
U made my day
duh, hebu nifafanulie kidogo hayo mafuta ya radi ndio yakoje, ndio wanayotia kwenye simu nini kupata vibration?
sawa namkubali sana anapotembelea hummer lake nitazidi kumkubali akinunua bughatiKasema clear kuwa hakuna Kanisa lolote linaloendeshwa bila sadaka ya waumini. Sasa ujanja ujanja hapa uko wapi? Mwacheni Mchungaji achunge kundi la kondooo wa Mungu, ana mamlaka hayo amekabidhiwa na Mungu, kisheria/kikatiba na kiroho pia. Mwacheni afanye kazi ya Mungu, I like the guy!
sawa namkubali sana anapotembelea hummer lake nitazidi kumkubali akinunua bughati
yesu hakukataka mwenyyewe kuwa na mahella we unafikiri maisha ya sasa mchungaji ukiwa huna hela waumini zako watakuheshimu vipi,kmata fursa twenzetu.Umeona ee wakati Yesu hakua hata na baiskeli,kama siku ya mwisho itakuwepo Yesu atakana watu wengi sana siku akirudi maana Wanamwabudu Yesu tofauti na yule wa Nazareti
yaani mzeee upako alitulia katika kujibu maswali, anasema yeye hajawahi kufufua mtu kwasababu kufa sio tatizo na huwezi kwenda peponi bila kufa,
alipoulizwa kuhusu utitiri wa makanisa hadi watu wamachanganyikiwa wakasali wapi akawajibu mbona baa zipo nyingi watu hawachanganyikiwi wakanywe wapi, pia anamiliki mali kwakuwa haamini katika umaskini
mjanja wa mjini tu huyu,kuwalia watu pesa zao basi,nashangaa sana watz wanavyoibiwa na wajanja kiulaini sana,yuko wapi kakobe?watu wana njia nyingi za kuwaibia wenzao,mafuta ya radi yanafanya kazi sana ukishikwa kichwa ukianza kusikia vibration unaona yes huyu kweli
kumbe kukushika akiwa amepaka mafuta ya radi ambayo yanasababisha kutetemeka(kuvibration)tuzinduke wa tz wizi tu na sisi tunakubali kiurahisi sana.
namfagilia mzee wa upako, kuwa mchungaji siyo kanuni kwamba uwe maskini, mzee wa upako haamini roho ya umaskini kwa sababu umaskini ni pepo pia linalopaswa kukemewa
Umofia Kwenu wana JF,
Leo 30.12.2013 katika kipindi cha mkasi mwanadada Salama Jabir atakuwa anafanya interview na Mch. Anthony Lusekelo aka Mzee wa upako kwa mtaokiona mtujuze mambo atakayoongea huku kwetu umeme umekatika tangia asubuhi! Naungana na Dr.Mengi Muhongo ni Muongo(Alisema mgao utaisha Tar 26.11.2013 hadi leo bado hupo)
watashindana lakini hawatashinda.............."""nataka nikuambie jiiiiiioni ya leo roho mtakatifu yupo mahali hapa, ukitaka gari, ukitaka mashamba, ukitaka mke utapata hapa hapa kanisani""" funika macho tuombe...................
Well said. Twahitaji kuongozwa na Roho wa kweli wa Mungu.
Lakini tusisahau kujiuliza maswali muhimu ili tusijekua tuanaishi na imani za mapokeo na sio NENO:
1. Yesu alisema tutafanya zaidi ya aliyoyafanya tukimwamini, je tumefanya hata nusu?
2. Tena akasisitiza katika Mark 16:15-18; kua tukiweka mikono wagonjwa wanapona n.k; je tunauhakika huo? Je mkristo ukikuta jirani kapagawa pepo, ukahitajika; utayaamuru yamtoke ama utajikausha?
3. Biblia inasema wanaongozwa na roho wa Mungu ndio watoto wake. Tena ktk Acts 1:8 inasisitiza Roho huyu akija ndie atakamfanya mkristo awe na nguvu. 1Kor 12 inaelezea nguvu hizo kama kuponya, kupambanua lugha n.k; Je haya mambo ni FAMILIAR kwa mkristo wa sasa?
Hitimisho: tutumie sifa za kibiblia kuwatambua wakristo, zaidi ya sifa zisizo hata kwenye neno. Tuanze na ABC za ukristo kabla ya kujishughulisha na magumu.
tragedy of the commons
naomba niseme neno lingine.... "hakika wewe ni mtu wa Mungu"Hujanipata mkuu. Lengo sio kufurahi. Hii ni basic service mkristo anaweza kufanya, sio kitu cha kufarahi kama walivyofanya wanafunzi. Lakini tatizo la wakristo wengi hawajafikia hatua hii, yet, wanaiponda! Hata miujiza; biblia inasema ni kwa ajili ya wasio amini. Mtu alie-mature kiroho haihitaji kukimbilia miujiza. Lakini wakristo wengi ni wachanga sana hawawezi kuomba "hata saa moja" na hawauishi ukristo; so miujiza bado inawahusu.
Nilikuwa nikimheshimu kwa kuwaongoza watu wa MUNGU na kuwalisha watu Neno la Bwana, lakini tokea alipo amua kumponda Mtumishi mwenzie Prophet T.B Joshua kuwa hana lolote,nikamshusha kiwango.
Pia aliwahi kusema kuwa Makanisa asimilia 99.9% ya Kiroho, Siyo ya kweli.
Sasa hapa sijui alikuwa anaimanisha nini. Kwa Mantiki yake hapa alikuwa anataka ajitwalie waumini toka Makanisa Mengine waje wamwamini yy kuwa ndio mwenye kanisa la kweli la kiroho. Ili hali yapo Makanisa Mengi tu Mateule ya Mungu na wanamwabudu MUNGU kwa ROHO na Kweli. Anastahili kuifuta hii Kauli yake.
Nasikiaga raha kumsikiliza na anavyojiamini.
namfagilia mzee wa upako, kuwa mchungaji siyo kanuni kwamba uwe maskini, mzee wa upako haamini roho ya umaskini kwa sababu umaskini ni pepo pia linalopaswa kukemewa
Mzee wa upako ameonesha ukomavu wa hali ya juu mno. Inshort hakuna mahali amechemka.
tangu nizaliwe sijawahi kuona mchungaji ambaye hobby yake ni kuangalia movie za kihindi na comedy, sasa sijui ni wakati gani anasoma neno na kuongea na Mungu kuhusu washirika. simlaumu lakini nafikiri ni mchungaji wa kipekee kuliko wote duniani, hasa hawa wa makanisa haya ya kilokole. anapambana na shetani muda gani jamani hata apate fursa ya kuangalia movie na comedy, movie na comedy za bolywood na holywood zinamfundisha nini/zinamsaidia nini, zina faida gani kwa maisha ya mtu wa Mungu?
Kwa viwango vyako, au vya biblia?