Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,843
- 10,765
Watu wanafata majina hawaangalii viwango vya biblia!
Na hapo ndipo lilipotatizo.
Watu wanafata majina hawaangalii viwango vya biblia!
hat ki sayansi siku ya mwisho ipo!
Ah! Mzee wa Upako ni miongoni mwa watu ambao naweza kuiacha CH10 several minutes hewani ili nimsikilize!! Mtu kama hayakusumbui haya mambo ya YESU na Muhammad, Mzee wa Upako unaweza kumsikiliza bila kujali kama wewe ni Mkristo au Mwislamu; Mkatoloki au Mprotestant! Mzee wa Upako ni Darasa....ni darsa la kidunia na akhera vilevile.
Ukitaka mambo ya vitabu itakuwa ndo yale yale ya who's rightful; Jesus or Muhammed ambayo ni ligi ambayo haitakuja kupata mshindi hapa duniani! Hata hivyo, sitaki kuamini kwamba hufahamu anatumia kitabu gani wakati umeshaaambiwa anaitwa Mchungaji Anthony Lusekelo na kama kweli hufahamu basi jibu ni simple...yeye anatumia Biblia!Kwani anatumia msingi wa mafundisho ya nani? Anatumia kitabu gani?
Ukitaka mambo ya vitabu itakuwa ndo yale yale ya who's rightful; Jesus or Muhammed ambayo ni ligi ambayo haitakuja kupata mshindi hapa duniani! Hata hivyo, sitaki kuamini kwamba hufahamu anatumia kitabu gani wakati umeshaaambiwa anaitwa Mchungaji Anthony Lusekelo na kama kweli hufahamu basi jibu ni simple...yeye anatumia Biblia!
Inawezekana nilikuwa sijakuelewa lakini hilo la kuteleza, sidhani kama kuna pahala anateleza! Misingi ya mahubiri yake yanabaki pale pale siku zote....yeye na imani yake kuhusu uwezo wa Yesu! Lakini kwa Mwislamu kama mimi, wala sioni tatizo akihubiri juu ya wokovu anaoamini yeye hata kama mimi siamini katika hilo. Binafsi ninachojali sana katika haya mambo ni content ya kile kinachofundishwa. Binafsi siamini hata kidogo kwamba (say) Mwislamu ni bora mbele ya Mungu kwavile tu yeye ni Mwislamu wakati ni muovu lakini Mkristo ni mpotevu mkubwa mbele ya Mungu kv tu yeye ni Mkristo huku akiwa ni mtenda mema. Mafundisho ya Mzee wa Upako yanajikita kwenye misingi ya Ulokole na anasimamia hapo lakini kama nilivyosema hapo awali, mafundisho yake ni darasa kwa yeyote.Hukuelewa logic ya swali langu. Kama anatumia biblia and then anabalance kati ya wanaoiamini na wasioiamini, kuna mahali anateleza. Kwa maana ngingine biblia iko wazi juu yakumfuata Kristu tu, it is not a secular book!. Ether he is wrong or the bible is.
Inawezekana nilikuwa sijakuelewa lakini hilo la kuteleza, sidhani kama kuna pahala anateleza! Misingi ya mahubiri yake yanabaki pale pale siku zote....yeye na imani yake kuhusu uwezo wa Yesu! Lakini kwa Mwislamu kama mimi, wala sioni tatizo akihubiri juu ya wokovu anaoamini yeye hata kama mimi siamini katika hilo. Binafsi ninachojali sana katika haya mambo ni content ya kile kinachofundishwa. Binafsi siamini hata kidogo kwamba (say) Mwislamu ni bora mbele ya Mungu kwavile tu yeye ni Mwislamu wakati ni muovu lakini Mkristo ni mpotevu mkubwa mbele ya Mungu kv tu yeye ni Mkristo huku akiwa ni mtenda mema. Mafundisho ya Mzee wa Upako yanajikita kwenye misingi ya Ulokole na anasimamia hapo lakini kama nilivyosema hapo awali, mafundisho yake ni darasa kwa yeyote.
One Love man!You have earned my respect NasDaz