Luke 10:17-20.
Baadaye, wale sabini Na easily walirudi wamejaa furans, wakisema, Bwana, hata pepo wametutii tulipolitaja jina kaki.
Yeye akawambia, nilimwona shetani jinsi alivyokua anaporomoka Kama Umeme kutoka mbingunj.
Naam, nimewapeni uwezo Wa kukanyaga nyoka na ng'e, na uwezo Wa nguvu zote za Yule adui; Hakuna chochote kitakachowadhuru.
Hata hivyo, msifurahie kwasababu pepo wamewatii, Bali furahini kwasababu majina yenu yameandikwa mbinguni!
Mkuu tafakari ulichokisema na kauli ya Yesu ktk Luka hiyo!
Utaona Yesu vita Km ulivyo vileza havipi kipaumbele sn! Na Hii ni tofauti kabisa na wakristo Wa Leo!