Mzee wa upako ndani ya mkasi EATV

Mzee wa upako ndani ya mkasi EATV

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,851
Reaction score
95,073
Umofia Kwenu wana JF,
Leo 30.12.2013 katika kipindi cha mkasi mwanadada Salama Jabir atakuwa anafanya interview na Mch. Anthony Lusekelo aka Mzee wa upako kwa mtaokiona mtujuze mambo atakayoongea huku kwetu umeme umekatika tangia asubuhi! Naungana na Dr.Mengi Muhongo ni Muongo(Alisema mgao utaisha Tar 26.11.2013 hadi leo bado hupo)
 
...bado sijapata picha kamili...
 
yaani mzeee upako alitulia katika kujibu maswali, anasema yeye hajawahi kufufua mtu kwasababu kufa sio tatizo na huwezi kwenda peponi bila kufa, alipoulizwa kuhusu utitiri wa makanisa hadi watu wamachanganyikiwa wakasali wapi akawajibu mbona baa zipo nyingi watu hawachanganyikiwi wakanywe wapi, pia anamiliki mali kwakuwa haamini katika umaskini
 
enzi za ujana wake aliiba pesa za baba ake akapelekwa sero, huko alitubu na kumwomba Mungu akasamehewa akatolewa sero, tangu hapo akahama dhehebu la kkkt la wazazi wake na kuanza huduma zake, pia katika maisha yake ya kila siku anapenda sana kuangalia movie za kimarekani, kihindi na comedy za nje na hapa nchini
 
Umofia Kwenu wana JF,
Leo 30.12.2013 katika kipindi cha mkasi mwanadada Salama Jabir atakuwa anafanya interview na Mch. Anthony Lusekelo aka Mzee wa upako kwa mtaokiona mtujuze mambo atakayoongea huku kwetu umeme umekatika tangia asubuhi! Naungana na Dr.Mengi Muhongo ni Muongo(Alisema mgao utaisha Tar 26.11.2013 hadi leo bado hupo)

Leo kaombea mastaa kanisani kwake wamegargara hao. anawasubiri na kina salama
 
yaani mzeee upako alitulia katika kujibu maswali, anasema yeye hajawahi kufufua mtu kwasababu kufa sio tatizo na huwezi kwenda peponi bila kufa, alipoulizwa kuhusu utitiri wa makanisa hadi watu wamachanganyikiwa wakasali wapi akawajibu mbona baa zipo nyingi watu hawachanganyikiwi wakanywe wapi, pia anamiliki mali kwakuwa haamini katika umaskini

Kazi ipo
 
Mzee wa upako ameonesha ukomavu wa hali ya juu mno. Inshort hakuna mahali amechemka.
 
Sifa anazopewa sioni kama anastahili kuwa nazo ni mjaja jaja fulani tu kama akina Yahya wa Bongo
 
Sifa anazopewa sioni kama anastahili kuwa nazo ni mjaja jaja fulani tu kama akina Yahya wa Bongo

Kasema clear kuwa hakuna Kanisa lolote linaloendeshwa bila sadaka ya waumini. Sasa ujanja ujanja hapa uko wapi? Mwacheni Mchungaji achunge kundi la kondooo wa Mungu, ana mamlaka hayo amekabidhiwa na Mungu, kisheria/kikatiba na kiroho pia. Mwacheni afanye kazi ya Mungu, I like the guy!
 
Nilikuwa nikimheshimu kwa kuwaongoza watu wa MUNGU na kuwalisha watu Neno la Bwana, lakini tokea alipo amua kumponda Mtumishi mwenzie Prophet T.B Joshua kuwa hana lolote,nikamshusha kiwango.

Pia aliwahi kusema kuwa Makanisa asimilia 99.9% ya Kiroho, Siyo ya kweli.
Sasa hapa sijui alikuwa anaimanisha nini. Kwa Mantiki yake hapa alikuwa anataka ajitwalie waumini toka Makanisa Mengine waje wamwamini yy kuwa ndio mwenye kanisa la kweli la kiroho. Ili hali yapo Makanisa Mengi tu Mateule ya Mungu na wanamwabudu MUNGU kwa ROHO na Kweli. Anastahili kuifuta hii Kauli yake.
 
Niliwahisikia mtz akikamatwa Kenya kwa sababu yoyote ya uvunjaji wa sheria ya nchi husika hapewi nafasi ya kujitete ni kwa sababu ya majibu ya ujanja ujanja. Nashawishika kuamini kutokana na majibu ya Mzee wa Upako. Kwa kweli ametisha.
 
Back
Top Bottom