Mzee wa Upako alimtabiria Raila ODINGA angeshinda uchaguzi

Mzee wa Upako alimtabiria Raila ODINGA angeshinda uchaguzi

Hana jipya huyo ni kama pepo tu

Mbona sio Mzee? ni kijana tu anayejikweza. Na hata ukiona mabango yake yana picha yake kubwaaa sana.
Ukweli huyu sio mtumishi wa Mungu bali ni mtumishi wa mungu. ( yaani ni mtumishi wa mungu wa herufi ndogo)
 
Apeleke upako wake huko r i p na his negative mind

HIV umemgundua huwa pale Madhabauni kwake harusi muhubiri mwingine?waungwana nisaidieni,ukienda kanisani au msikitini wahubiri utawakuta tofauti wakihubiri neno la Mungu wakati tofauti.Lkn kwa mzee aw MITINDO sijawahi ona,ndio kusema anamjua sn Mungu? Kitu ambocho ananishangaza zaidi ameanza kusubiri Matukio zaidi kuliko neno la Mungu,Mfano kwa sasa yupo kwenye mada ya nani achinje,takribani mwezi mzima,mm sipo Tz lakini huwa nasikiliza vipi si vyake Chanel Ten,utaona asasema Somoza la Leo ni kuhusu Upendo la hasha atakachoongelea siyo Upendo ni kuhusu nani achinje. Kwa kweli huwa simuelewi kwa nini anafanya? Tumuombe sana Mungu atupe he kima na tufuate made hebu tuliyowakuta nayo Wazazi wetu
.
 
Tusubiri maamuzi ya mahakama labda anaweza kupewa ushindi na mhakama
 
Yap!..alikuwa sahihi kabisa,Uhuru amechagulia kiukabila,Odinga ni chaguo la Mungu kwa Wakenya

Sasa nani mwenye nguvu?..Mungu au watu wa Kenya?..hacha kulopoka km hujui..kasome kwenye biblia pale ambapo Mungu alimtaka Yakobo lkn mwanadamu alimtaka Esau kitu gani kilitokea..au Mungu alipomtaka Daudi wanadamu walimtaka Sauli nani alishinda..kaa chini ujifunze kabla ya kukurupuka
 
Mchungaji Anton Lusekelo au kwa jina maarufu la Mzee wa upako tarehe 31 januari 2013 ,ndani ya kanisa lake alisema Raila Odinga ndiye angeshinda uchaguzi wa Kenya na Uhuru Kenyatta asingeshinda labda asubiri miaka ijayo na si kwenye uchaguzi huu.

Aliongea maneno haya kwa msisitizo na kurudiarudia sana na kwa mujibu wake utabiri huo alikuwa ameoteshwa na mungu wake.

Siku za mwisho na huyu ni miongoni mwa manabii wa uongo!
 
Mchungaji Anton Lusekelo au kwa jina maarufu la Mzee wa upako tarehe 31 januari 2013 ,ndani ya kanisa lake alisema Raila Odinga ndiye angeshinda uchaguzi wa Kenya na Uhuru Kenyatta asingeshinda labda asubiri miaka ijayo na si kwenye uchaguzi huu.

Aliongea maneno haya kwa msisitizo na kurudiarudia sana na kwa mujibu wake utabiri huo alikuwa ameoteshwa na mungu wake.

Huyu jam,aa tunajua anawezeswa na wakubwa fulani kuwashambulia viongozi wenzake wa Makanisa, huwa simwamini kabisa huyu jamaa, hapendi kuona mafanikio ya Mchungaji mwenzake, pia huwa anaongea kwa mhemuko hasa anapoona watu wanamshangilia..
 
Lakini yeye si ametabiri tu?mbona TMA ya mama Kijazi kila siku inatabiri kinyume na hamsemi hapa.....na uchaguzi wa Kenya maamuzi ya mwisho yatatolewa na mahakama kama Kenyatta ameshinda au uchaguzi urudiwe,yawezekana hayo aliyotabiri yakatimia....Mnaaharaka.
 
Mchungaji Anton Lusekelo au kwa jina maarufu la Mzee wa upako tarehe 31 januari 2013 ,ndani ya kanisa lake alisema Raila Odinga ndiye angeshinda uchaguzi wa Kenya na Uhuru Kenyatta asingeshinda labda asubiri miaka ijayo na si kwenye uchaguzi huu.

Aliongea maneno haya kwa msisitizo na kurudiarudia sana na kwa mujibu wake utabiri huo alikuwa ameoteshwa na mungu wake.

huyo ni mtumishi wa bwana yesu , acha kejeli bana!
 
Back
Top Bottom