Tena sio Mfanyabiashara wa Kawaida, bali ni "TAPELI"tu huyu kama Matapeli wengine!
Huyu tumeshamzoea alijidanganya na zile Takwimu zilizokua zikitolwa na MATAPELI NA MAONGO MAKUBWA "SYNOVET"pamoja na wenzao kwamba RAILA ODINGA,angeshinda kwa kuwa alikua akiongoza kwenye Kura zao za Maoni!!
Walisahau kwamba kwamba Wapiga kura ni WAKENYA,na sio SYNOVET na washirika wenzake!!
Ukweli Huyu anaejiita MZEE WA UPAKO hamna kitu ni Tapeli tu anaetumia "kivuli"cha Kanisa Kuibia watu.....!Asubirie tena Uchaguzi ujao ajaribu kupiga "RAMLI"..!
Kuna Yule mwenzake sijui anaitwa nani vile...!Sijui Nabii FLORA, alitabiri kwamba SIOY SUMMARI [Mgpmbea wa CCM] angeshinda dhidi ya JOSHUA NASSARI,[Mbunge kwa sasa] ktk Uchaguzi mdogo Jimbo la Arumeru Mashariki,uliofanyika mwanzoni mwa mwaka jana kutokana na Kufariki kwa aliekuwa Mbunge, Summary!!
Lakini utabiri wa Nabii huyo Feki uligonga Mwamba,kwani JOSHUA Nassari alishinda kwa Kishindo!!
LUSEKELO anataka kutuambia huyu MUNGU wake wa Uongo alishindwaje Kumuonyesha kwamba RAILA hatashinda??
Na sasa tutamwaminije kama Mungu wake sio sawa na yule Mungu wa Majirani zetu(Wa..i.....s....lamu) ambaye hutetewa kwa kuuwa Watu wasio na Hatia huku yeye (Mungu"MFU"akishindwa Kujitetea)!!
Yeye Asubirie tu siku ya Hukumu akatowe Hesabu zake!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!