Mzee wa Upako alimtabiria Raila ODINGA angeshinda uchaguzi

Mzee wa Upako alimtabiria Raila ODINGA angeshinda uchaguzi

Huyo ni MZEE WA UPOFU. Kazi yake ni kupofusha watu akili na kuwalia hela zao hapohapo madhabahuni. Ni moja kati ya matapeli wa nchi hii anayejificha kwenye kichaka cha dini.
 
It is always a cautionary tale. Mwaka 2008 kule Marekani, Bibi Sarah Palin alikuwa mgombea mwenza wa Mzee John McCain. Mtu mmoja wa dini akatabiri huko kwamba Mungu ameweka mipango sawa kabisa ili Bibi Palin aukwae uraisi. Mambo yalipangwa hivi (alivyodai ameoteshwa na Mungu): McCain angeshinda uchaguzi na kuwa raisi. Kutokana na matatizo ya umri mkubwa angekufa akiwa bado raisi. Hiyo ingetoa njia kwa mtumishi wa Mungu Sarah kuwa raisi. sote tunajua mambo yalivyokuwa.
I often think people are presumptions when they claim they make predictions given to them by God. Nasi sote tuwe tunatumia akili zetu na imani zetu kwa Mungu kuchuja uchafuzi wote unaofanywa kwa jina lake.
 
mhhhh mienendo yake haifai,

ni wasiwasi sana nae.....

hakika tumuombe Mungu wa Juu Mbinguni, atupe Hekima na Ufahamu wake ili tuweze kuwangámua wale wasionena maneno yake yatokanayo na Biblia Takatifu. Mungu Baba utusaidie hili katika Jina la Mwana Wako Yesu Kristo Mwokozi na Mfalme wetu. Sema Aaaamen!
 
ha ha..
sidhani kama huyu jamaa ana upako wa utabiri
ingawa anaweza kuombea watu wakatoka mapepo
uhuni + maujanja ndio sifa yake. Yeye kuwa na Kanisa na wafuasi ni dalili ya kuwa na watu waliopoteza muelekeo na wanao tegemea miujizq kufanikisha wayatakayo kwenye maisha
 
kama ingewezekana kesho waumini waulize maswali ya papo kwa papo na hili likiwemo mbona aijawa trasfooooooooooooooooooooomaaaaaaaaaaaaaama!!!!!!uuuuuuuuuuuuu!!!!!!

wanamwona kama mungu wao hawawez kumuulza
 
Aahaaaa mwambie akuoe mpesa na tgopesa akutabirie;ukiona hivyo alishavta siku nyingi
 
Mchungaji Anton Lusekelo au kwa jina maarufu la Mzee wa upako tarehe 31 januari 2013 ,ndani ya kanisa lake alisema Raila Odinga ndiye angeshinda uchaguzi wa Kenya na Uhuru Kenyatta asingeshinda labda asubiri miaka ijayo na si kwenye uchaguzi huu.

Aliongea maneno haya kwa msisitizo na kurudiarudia sana na kwa mujibu wake utabiri huo alikuwa ameoteshwa na mungu wake.

Yap!..alikuwa sahihi kabisa,Uhuru amechagulia kiukabila,Odinga ni chaguo la Mungu kwa Wakenya
 
Mchungaji Anton Lusekelo au kwa jina maarufu la Mzee wa upako tarehe 31 januari 2013 ,ndani ya kanisa lake alisema Raila Odinga ndiye angeshinda uchaguzi wa Kenya na Uhuru Kenyatta asingeshinda labda asubiri miaka ijayo na si kwenye uchaguzi huu.

Aliongea maneno haya kwa msisitizo na kurudiarudia sana na kwa mujibu wake utabiri huo alikuwa ameoteshwa na mungu wake.

Si kwamba alioteshwa bali alilizungumza hili kwa kufuatana na siasa zenyewe za kenya jinsi zilivyokuwa zikionekana...kwa hiyo ye aliongea kwa maono yake zaidi na kwa sababu yeye ni kiongozi wa dini ndipo alipoamua kuweka swaga za ndoto
 
Aaaagh! Kumbe ni utabiri? Basi yuko sahihi maana kubahatisha kwa kusoma alama za nyakati. Ila angesema ni unabii lazima ingekuwa hivyo. Kwa Mungu hakuna utabiri bali unabii. Mzee wa upako ni msanii wewe huwa huoni akiwa jukwaani hana tofauti na akina Juma Nature maana huwa watu wanaenda kumtuza jukwaani kama vile mcheza show! Na amekaa kimipasho zaidi, lakini kubwa ambalo nataka mniambie hive leo ni lini mmemuona akisoma Bible katika vipindi vyote iwe kanisani kwake au katika media?. Au ndio kameza mistari?

Bible anasoma sana mkuu. Mi shahidi
 
Mungu anauzwa stationary shop atakuambia ukweli !?

we unataka yule anayekaa mji mtakatifu wa Maka na shetani pamoja? Si huwa kuna shetani mnampiga mawe? Pia ndo makazi ya marehemu ostazi Moud
 
Alikwishasema hata kazi ya uchungaji ni usanii, tusubiri atawaambia nini waumini wake, ndoto ilikuwa wongo? Na kama ndivyo kwahiyo alioteshwa na mapepo? Hapa ndio inapothibitisha kuwa sio kila wanalosema latoka kwa Mungu wengine ni kwa tamaa zao.

Atawaambia wamechakachua maana AK(mzee wa tembo)yuko kule
 
MKUU IGWE
Mm cmwamini kwa yote kwanza hilo jina analojiita mzee wa upak mm naona
ni kiburi tu jiulize kina paulo walifanya mangapi ktk injili lakini
hawakujiita majina kama hayo lakini leo utasikia mara nabii na mtume
mara ngurumo cjui mara brudoza hovyooooo.

Injil yenyewe ya mjini wanasema wazee wa upako..wakapige injil vijijin ili wawe mitume wa kweli.....
 
Unahisi waumini na wasiokuwa waumini wanalichukuliaje hili? Huenda maono yake binafsi akayaita kuwa amepewa na Mungu kwa sababu KWA HAKIKA KABISA Mungu Mtakatifu, kamwe, hakosei.
 
Haleluya!!!, Haleluuuuuya!!

Hili ni tatizo la kuegemeza IMANI KWENYE MIUJIZA na wala sio KWENYE HOJA.

Kuamini WATU na sio KITABU.

Alianza KIBWETERE, AKAJA KAKOBE (MREMA ASIPOSHINDA BASI MUNGU HAYUPO), AKAJA AMBILIKILE MWASAPILE (ASKOFU LEIZER - DAWA INATIBU, INA UPAKO. ANAENDELEA KUNAWIRI KWA KIKOMBE HUKO MCHANGANI), NA SASA MZEE WA MISUKULE A.K.A UPAKO. UKRISTO HOYEE????
UKRISTO HOYEE??? HALELUUUUUUUUUUUYA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

Bwana YESU asifiiiwe???. Ukichagua Ukristo - umechagua GIZA!!
 
Back
Top Bottom