Mzee wa Upako alimtabiria Raila ODINGA angeshinda uchaguzi

Mzee wa Upako alimtabiria Raila ODINGA angeshinda uchaguzi

Huyu Mchungaji bila shaka ni mjaluo! tumechoka na kauli hizi za kuoteshwa na Mungu! Babu wa Loliondo alioteshwa na Mungu atibu watu na Kikombe matokeo yake tumeona! Maaskofu mwaka 2005 walituambia Kikwete ni chaguo la Mungu leo wamemgeuka sasa sijui Mungu kawaambia nini tena? sasa tungoje uchaguzi wa 2015 sijui wataoteshwa nani!

Ni mnyakyusa mkuu.
 
Namkubali sana mzee wa upako sema hapa aliteleza kidogo. It happens yeye sio mungu.
 
Mchungaji Anton Lusekelo au kwa jina maarufu la Mzee wa upako tarehe 31 januari 2013 ,ndani ya kanisa lake alisema Raila Odinga ndiye angeshinda uchaguzi wa Kenya na Uhuru Kenyatta asingeshinda labda asubiri miaka ijayo na si kwenye uchaguzi huu.

Aliongea maneno haya kwa msisitizo na kurudiarudia sana na kwa mujibu wake utabiri huo alikuwa ameoteshwa na mungu wake.

hivi wewe unamwona Lusekelo ni mtumishi wa Mungu? Kwangu mimi ni mtumishi wa Mungu kwa maana kuwa yupo ili Mungu wa kweli athibitike. Kwani shetani naye ni mtumishi wa Mungu, na kazi zake ni kuthibitisha uwepo a Mungu tu basi.
 
ANA UPAKO WA KINYESI CHA SHETANI, Mungu hawezi kumtumi mtu wa namna yake.
 
haaa haaa unajua maisha bwana watu wana namna nyingi za kutoka. Uliona wapi mtu mmoja ana vyeo vyote vya KIMUNGU? Mtume yeye! nabii yeye! sasa hata atajiita mungu maana anataka kujifanya anajua yajayo.
 
Namkubali sana mzee wa upako sema hapa aliteleza kidogo. It happens yeye sio mungu.

Unamkubali kwa lipi? Jitahidi kumwamini Yesu na jitahidi ujifunze na kusoma Neno lake ili upate ufahamu ili usiwe sehemu ya wale wanaoangamia kwa kukosa maarifa! Mtumishi wa Mungu utamjua kwa matendo yake!
 
Jamaa ni Tapeli kama Matapeli wengine tu. Kwangu hana tofauti na akina Papaa Msofe!
Sasa kama vyeo vyenyewe vya Askofu, mchungaji, mtume, nabii,(mtume na nabii) wanajipachika wenyewe! Unategemea nini?
Enzi hizo walikuwa wanaitwa majina hayo na watu..na siyo kulala na kuamka na kujiita hayo majina.. wakati mwingi mnatushushia heshma ya kanisa..ebu igeni wacatholic wanavyofanya..
 
kwani hamjui kama mzee wa upako ndo mrithi wa sheikh yahya hussein
 
Mchungaji Anton Lusekelo au kwa jina maarufu la Mzee wa upako tarehe 31 januari 2013 ,ndani ya kanisa lake alisema Raila Odinga ndiye angeshinda uchaguzi wa Kenya na Uhuru Kenyatta asingeshinda labda asubiri miaka ijayo na si kwenye uchaguzi huu.

Aliongea maneno haya kwa msisitizo na kurudiarudia sana na kwa mujibu wake utabiri huo alikuwa ameoteshwa na mungu wake.

Mla Sadaka at Work.
 
Hata mtoto wa Sheikh Yahya naye alitabiri kwamba Raila atashinda uchaguzi. Labda watakuja na maelezo mengine.
 
Mimi toka nlopomwona anajisifu na yale magari ya hela za waumini nilimdharau yy na waumini wake.they are all undergoes idiotism
 
ndio maana ukaitwa utabiri
kama ule wa hali ya hewa tunatangaziwa kimbunga kinakuja baadae
tunasikia kimepigwa ajua

Hahahahahaha,,,taratibu mkuu utagombana na watu humu kuna wafuasi ujue.
 
Yeah_hili
la kumwini
onategemea unamwamin kwa malengo gani,....maake siku hizi mambo ni mengi
mkuu,...watu wako kwenye payroll za makanisa na misikiti na wanaishi
mjini.

MKUU IGWE
Mm cmwamini kwa yote kwanza hilo jina analojiita mzee wa upak mm naona
ni kiburi tu jiulize kina paulo walifanya mangapi ktk injili lakini
hawakujiita majina kama hayo lakini leo utasikia mara nabii na mtume
mara ngurumo cjui mara brudoza hovyooooo.
 
Siye kila Mtu alitajaye Jina Lililo Kuu ni Wa Yesu. Katika Imani hakuna kinachoshindikana. Ili ufanye hayo unahitaji kufunga na kusali sana. Miongini mwa mambo ambayo shetani yanamshinda ni Kufunga, Maombi na Sadaka. Ukiwa katika hayo utakuwa wewe ni wa Mungu na hakika utafanya ya Mungu na Mungu kamwe hatakuaibisha.
Mchungaji Anton Lusekelo au kwa jina maarufu la Mzee wa upako tarehe 31 januari 2013 ,ndani ya kanisa lake alisema Raila Odinga ndiye angeshinda uchaguzi wa Kenya na Uhuru Kenyatta asingeshinda labda asubiri miaka ijayo na si kwenye uchaguzi huu.

Aliongea maneno haya kwa msisitizo na kurudiarudia sana na kwa mujibu wake utabiri huo alikuwa ameoteshwa na mungu wake.
 
MKUU IGWE
Mm cmwamini kwa yote kwanza hilo jina analojiita mzee wa upak mm naona
ni kiburi tu jiulize kina paulo walifanya mangapi ktk injili lakini
hawakujiita majina kama hayo lakini leo utasikia mara nabii na mtume
mara ngurumo cjui mara brudoza hovyooooo.

Makubwa
 
Alikwishasema hata kazi ya uchungaji ni usanii, tusubiri atawaambia nini waumini wake, ndoto ilikuwa wongo? Na kama ndivyo kwahiyo alioteshwa na mapepo? Hapa ndio inapothibitisha kuwa sio kila wanalosema latoka kwa Mungu wengine ni kwa tamaa zao.
mbona jibu rahisi, wizi wa kura
 
Back
Top Bottom